halotel

Viettel Tanzania Public Limited Company, trading as Halotel,is a mobile communications company, providing voice, messaging, data and communication services in Tanzania. It is owned by Viettel Global JSC which is the state-owned Investment Company from Vietnam investing in the Telecommunications market in several countries worldwide. It has invested up to $1 Billion into the Tanzania's telecommunications market. The Company was the first company in Tanzania allowed to lay its own fiber optic cable and has placed over 18,000 km of optic fibers, providing all 26 regions of Tanzania services.The Tanzanian telecom market is one of the most competitive markets in Africa and Tanzania has over 71% mobile phone penetration. The company aims to capitalize on the providing a very wide coverage as quickly as possible and the company claims to cover over 81% of the country's area soon to be the higher than any of the major providers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bundle za halotel

    Nahitaji agents wa kuuza bundle za halotel na Yas 0658204909
  2. concordile 101

    JamiiForums Tanzania Halotel acheni wizi

    Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data. Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote. Huu ni wizi na nadiriki kusema huu mtandao ni majambazi
  3. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Halotel mbona hivi?

    Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
  4. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa mitandao ya simu (Vodacom, yas, airtel, halotel, etc)

    Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto ambayo nyie makampuni mnayo ni urasimu haswa linapokuja suala la mtu mwenye nia ya kufanya kazi na...
  5. josephbnd

    JamiiForums Tanzania Nimepokea ujumbe kutoka Halotel kuwa nimejiunga na huduma ya AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia

    Majira ya saa 10 jioni ya tarehe 09.12.2024 nimepokea ujumbe huu 1 na 2 (chini) kutoka mtandao wa Halotel Tanzania 🇹🇿 kuwa nimejiunga na huduma ya #AfyaCheck ambayo siijui na wala sijawahi kuisikia. Na mbaya zaidi wanasema huduma ile siku ya kwanza BURE baada ya hapo makato yanaanza ya 200Tshs...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel Tanzania wanaunganisha wateja huduma bila ridhaa zao

    Haloteli wanawaunganisha wateja automatic siku hizi ili kama salio lako huwa hawalikati kutokana na kwamba huna huduma yoyote toka kwako basi wanalazimika kukuunga bila ridhaa yako wewe mteja. Ujumbe wa kwanza [AFYACHAP] Umefanikiwa kujiunga na huduma ya AfyaChap kutoka HALOTEL BURE kwa siku...
  7. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Halotel mjitafakari mmebakia nyie

    Habari ndugu wanajamvi. nitoe pole pole za dhati kwa watanzania WOTE ,kutokana na msiba na janga La kuanguka kwa jengo La kariakoo. Baada ya pole hiyo, nipende kutoa malalamiko YANGU kwenda kwa mtandao WA laini za simu, kampuni ya HALOTEL. Kampuni hii imeshindwa kulinda wateja wake kwa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halotel imekuwa na changamoto ya mtandao hivi karibuni, MB hazirudishwi na watoa huduma hawatoi ushirikiano kwenye kurasa zao

    Kwa siku kadhaa sasa kumekuwa na changamoto ya mtandao wa Halotel hasa internet na mawasiliano ya kawaida, lakini kibaya zaidi kampuni haitoi ushirikiano kwa wateja wake na ukiangalia kila mteja analipia huduma hivyo ni lazima aipate sio ombi tena kwa maana ameshailipia. Pia soma: KERO -...
  9. Mudi_kidato

    JamiiForums Tanzania Halotel sim bundle

  10. G

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa halotel, Weka speed test yako na eneo ulipo, naanza mimi.

    pima speed yako >> minya hapa << Halotel internet speed test yangu nimepima nikiwa Iringa mjini, Je huko kwako ni ngapi ?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Halotel fibre

    Kwema kuna mtu anatumika hii huduma ya Halotel fibre??
  12. abramaleko

    JamiiForums Tanzania Halotel Fibre

    Jamani kwa aliyeshatoka kutumia hii huduma ya halotel fibre ipoje na ipo reliable? Mm kwa sasa nakaa goba ila natumia hii router ya airtel 5g nalipia hii 30mbps kwa 110,000 na during peek hours yani haifai kabisa internet ni slow balaa yani mfano mm nafanyaga voice chat mara nyingi via discord...
  13. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Natafuta router ya mtandao wa Halotel au Universal router

    Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
  14. Selemani Sele

    JamiiForums Tanzania Je, Halotel Unlimited Internet ya 50,000 kwa mwezi ni nzuri?

    Kuna mtu kaniambia kuna halotel unlimited ila ikipita gb 24 inapungua spidi, je hiyo spidi ipoje baada ya 24gb.
  15. Bigmaaan

    JamiiForums Tanzania Nina Halotel CUG Line, nawezaje nunua vifurushi vya kawaida?

    Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
  16. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Halotel bando lipo ila Internet [kasi] unajitafutia

    ...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  18. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Msaada: Laini yangu ya Halotel imepata matatizo ya kiintaneti

    Nimesajili laini ya Halotel mpya, hii ni baada ya kupoteza laini niliyokuwa nikitumia ambayo haikuwa na matatizo yoyote, ni vile tu nilisajiliwa na mtu ambaye niko mbali naye kwa sasa (Ex) Laini hii niliyosajili leo haina ufanisi kabisa kwenye suala zima la kimtandao. Yaani ipo very slow...
  19. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania TCRA waichunguze kampuni ya simu za mkononi ya Halotel

    Mtandao wa Halotel umekuwa na tabia ya kukata salio la muda wa maongezi mara tu unapoongeza salio. Hii imenitokea zaidi ya mara tatu sasa, na nikipiga simu huduma kwa wateja naambiwa kuna huduma nimejiunga inayokata salio hilo, wakati hakuna huduma yoyote ambayo mimi nimejiunga. Mbaya zaidi...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Postpaid internet connection kwa Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel

    Wakuu Salaam, Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri. Asante.
Back
Top Bottom