Tutanyonywa sana huo ni ukoloniambo leo umeletwa kwa mtindo wa utandawazi.wakubwa wanashirikiana na mabeberu kuwadhoofisha wananchi kiuchumi ili waendelee kutunyonya.Hvi inakuaje bando zinaisha ghafla hivi?
Gb kumi natumia jf, fb, insta, na YouTube pekee. Movie sidownload hakuna consumption kubwa na nimewasha data saver alaf GB kumi hazimalizi siku mbili kweli...
Jaman wadau na nyie mnaliona hilo?
Asante sana kwa mwongozo.Ukitumia halotel, ww mtumiaji mwnyw unakuwa huelewek
Mtandao ambao hautafuni data ni Airtel au ukiweza nunua ruta ndogoMkuu nimewasha data saver kabisa
Nitakupaje kitu ambacho sinaNipe rafiki,
I'm short halotel wanazingua, siku hizi... Kwenye bundle hata unajiuliza nilikuwa na Gb 10 nimetumia kwa masaa 6 na hapo ni light consumption, natumia light apps labda Instagram lakini reels kweli za kunyonya almost 6 Gbs kwa muda huo kweli?Nchi hii wateja tunateseka basi tu ni kama hatuna serikali (TCRA)
Ki router changu cha mkononi natumia mtandao wa haloteli, nilikinunua kwaajili ya kusafiri nacho kipotable. This one time nimeenda field for 18 days, kumbe kanda husika kulikuwa na maintainance ya nini sijui kwenye minara yao, watumiaji hatujupata internet for almost 6 days, hatukupewa taarifa, no apology, no compensation . Imetoka imetoka!
Nasikia kwenye masuala ya internet ndio wanashika mkia 😂 kwahiyo sisi ndio tumejichanganya.I'm short halotel wanazingua, siku hizi... Kwenye bundle hata unajiuliza nilikuwa na Gb 10 nimetumia kwa masaa 6 na hapo ni light consumption, natumia light apps labda Instagram lakini reels kweli za kunyonya almost 6 Gbs kwa muda huo kweli?
Pole ila ndo hivyo ni kuwahama tu