Nimefuatilia yanayoendelea hapa nchini kwetu, nimejukuta nikijiuliaza swali, hawa ndio viongozi wa kutuletea watanzania maendeleo tunayoyatamani kama nchi?
Kesi ya Lissu bila shaka watu/viongozi wanaotegemewa walikaa wakapanga kumpa kesi ya uhaini ili kumkomesha. Sasa angalia aina ya mashtaka...