Maana Halisi ya NRNE (No Reform No Election)

Maana Halisi ya NRNE (No Reform No Election)

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,880
Reaction score
6,973
Kume kuwa na tafsiri potofu ya baadhi ya watu kwamba NRNE ni Ku hamasisha uvunjifu wa Amani, wakati No Reform No Election, maana yake Halisi ni kwamba uchaguzi unaofanyika katika mazingira yakuto kutoa nafasi sawa kwa wengine ni sasa Sawa na kutokuwepo Kwa uchaguzi. Wahusika wajitafakari na kuchukua hatua stahili iwe ni wapinzani au walioendesha uchaguzi na kuufadhili
 
Tokea tarehe 9 nov, hadi leo reply ni 2 tu! Aisee
Bado unaamini manoo noo hayo si vurugu
 
Back
Top Bottom