halima mdee

Halima James Mdee (born 18 March 1978) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Kawe constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Lukuvi tembelea na Ununio beach kuna ushuru unatozwa kuanzia Halima Mdee alipokuwa Mbunge

    Nisiongee mengi tembelea tu wewe mwenyewe mh waziri Lukuvi utagundua hapo Coco beach ni " cha mtoto" Yaani ni mwendo wa ushuru tu, ukiingia na gari ushuru, ukitaka kupiga picha ushuru yaani ni full ushuru. Maendeleo hayana vyama.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa mama Makinda, hawa akina Halima Mdee ndio " self made Opposition" kwa sasa tuwape muda!

    Na wanaweza kufanya vizuri bungeni na watanzania wengi wakashangaa kwa sababu watakuwa wanatenda kwa kumaanisha na siyo kutafuta kiki. Mama Makinda amesema wao waliunda self made opposition iliyotakiwa sana na Nyerere ili kuikosoa serikali na kwamba walikuwa wakali kuliko hawa akina Freeman...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Halima Mdee amevaa barakoa akiwa bungeni, ni jambo jema!

    Kiukweli sina mengi isipokuwa kumpongeza mbunge wa viti maalumu jimbo la Kawe kupitia Chadema mh Halima James Mdee kwa kutinga ndani ya ukumbi wa bunge akiwa amevalia barakoa usoni kama tahadhari ya Covid 19. Ni jambo jema. Maendeleo hayana vyama!
  5. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

    Mnyukano wa kugombania madaraka ndani ya Chadema sasa umethibitika. Tayari Hilda Newton na Devotha Minja wameanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha. Wanafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba Mdee na wenzake hawarudi. Wanatumia nguvu kubwa kupamba na kundi la kina Mdee kuliko nguvu ambayo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kisheria Halima Mdee na wenzake wamepoteza ubunge baada ya kukata Rufaa Chadema badala ya kwenda mahakamani!

    Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao. Na kwa mujibu wa sheria mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa. Mgaya anasisitiza...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 wakata Rufaa CHADEMA

    Wabunge wa viti maalumu kupitia CHADEMA mh. Halima James Mdee na wenzake 18 wamekata rufaa kupinga kuvuliwa uanachama na kamati kuu ya chama hicho. Chanzo: Mwananchi My take; Hongereni kwa kuzingatia muda. Maendeleo hayana vyama! ==== Mwezi mmoja tangu wabunge 19 wa Viti Maalum waliokuwa...
  8. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee na wenzake 18 kukimbilia ACT Wazalendo?

    Siasa sio mbaya ila Wanasiasa ndio wabaya . Dada zetu walichagua njia ya moja ya kuchagua maisha tonge kwanza liende kinywani kufia chama badae. Njaa haina baunsa..muda wa akina Halima Mdee kukata rufaa Baraza kuu la CHADEMA umeisha leo ni dhahiri kuwa hawana nia ya kukata rufaa baada ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha Halima Mdee na wenzake 18 muda wa kukata rufaa kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA unayoyoma!

    Siasa siyo uadui. Nakumbuka kamati kuu ya CHADEMA iliketi tarehe 27/11/2020 na kuwatimua chamani wanachama wake takribani 19 wote wakiwa ni akina mama. Katiba ya Chadema inatoa muda wa siku 30 muathirika kukata rufaa endapo hajaridhika na maamuzi ya kamati kuu. Leo ni tarehe 22/12/2020 hivyo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Bunge litakumbukwa kwa vituko vya Wabunge; akina Mwambe, Lijualikali na Halima Mdee. Pia, Wabunge watatu kufariki mfululizo!

    Mwaka 2020 utakumbukwa sana katika historia ya bunge kwani katika mkutano mmoja wa bajeti wabunge watatu walifariki. Rip Dkt. Rwakatale, Rip Ndassa, Rip Dkt. Mahiga Kadhalika 2020 tumeshuhudia vituko vya kila aina kutoka kwa wabunge wa CHADEMA na hasa Cecil Mwambe, Lijualikali na Halima James...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni vema angewalaumu ACT-Wazalendo na akina Halima Mdee akiwa nchini lakini siyo Ubelgiji

    Nilimsoma Tundu Lissu akiwalaumu akina Halima Mdee na wenzake kwa kukubali kuapishwa kuwa wabunge ilhali Uchaguzi haukuwa huru na haki. Nimemsoma tena Tundu Lissu akiwalaumu ACT-Wazalendo na Maalimu Seif kwa kukubali kujiunga na serikali ya Umoja wa kitaifa na kwamba wamewasaliti wananchi...
  12. 5

    JamiiForums Tanzania Video: Peter Msigwa amkosoa Vikali Spika Ndugai, Ampa Ushauri huu - Sakata la Halima Mdee na Wenzake

  13. K

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Halima Mdee kama ni Kamanda aachie Ubunge

  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, madiwani wa Chadema wanaapishwa na kuendelea na kazi kama alivyosema Halima Mdee?

    Miongoni mwa hoja za msingi za Halima James Mdee ni kwamba haoni mantinki ya wabunge wa viti maalumu kukatazwa kula kiapo cha kuwatumikia wananchi ilhali madiwani wa chama hicho hicho cha Chadema wanakula kiapo kuitumikia serikali hiyo hiyo ya Rais Magufuli. Ndiposa nauliza, madiwani wa Chadema...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na Mimi, tofauti tu yeye ni Senior Mimi nilikuwa Junior

    Maswahibu yanayomkuta Halima Mdee yalinikuta na mimi, tofauti tu yeye ni Senior na mimi nilikuwa Junior. (Soma kisa changu hiki cha ukweli kwa ufupi kabisa) Sehemu ya Kwanza. Baada tu ya kuhitimu chuo nje ya nchi miaka hiyo ya juzi kati nilirudi nchini na kupata kazi bila kuchelewa katika...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Peter Kibatala ajitoa kuwatetea Bulaya na Mdee kwenye kesi ya kuvamia Gereza la Segerea inayowakabili

    Taarifa kutoka Mahakama ya Kisutu zinaeleza kwamba Wakili msomi Peter Kibatala aliyekuwa wakili wa utetezi wa viongozi wa CHADEMA walioshitakiwa kwa Tuhuma za kufanya fujo kwenye Gereza la Segerea, amejiondoa kuwatetea baadhi ya washitakiwa kwenye kesi hiyo wakiwemo waliokuwa wanachama wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA Halima Mdee ni Mwanachama au siyo Mwanachama wa CHADEMA?

    Kufuatia kusudio la Halima James Mdee na wenzake 18 la kukata rufaa Baraza Kuu la CHADEMA wakipinga maamuzi ya Kamati Kuu ya kuwavua uanachama, kwa sasa hadhi yao ikoje? Ni wanachama wafu ambao Baraza Kuu linaweza kuwafufua au siyo wanachama na kwahiyo siyo Wabunge? Naomba vifungu vya Katiba...
  18. El Roi

    JamiiForums Tanzania Zaburi tuliyosomeshwa na Halima Mdee hai-support kabisa

    Nianze kwa kukiri kwamba nilifurahishwa kiasi kumuona Halima akitueleza vile mama yake alivyompa neno la faraja kutoka kitabu cha zaburi 35 katika masaibu yake. Ni tabia njema upande m moja kuona Watu wanakimbilia msaada wa vitabu vitakatifu kwa ajili ya faraja au hata kupata ufumbuzi wa...
  19. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Nimemuelewa Halima Mdee. Amekubali makosa, anataka maridhiano; yuko tayari kujirudi na kurekebisha mambo chamani mwao

    Leo, kama Mtanzania wa kawaida nisiye mwanachama wa chama chochote cha siasa nchini na kwingineko, nimepata bahati ya kumsikiliza Mhe. Halima Mdee aliyekuwa mzungumzaji mkuu kwenye mkutano wao na waandishi wa habari. Mhe. Mdee alikuwa mzungumzaji mkuu wa waliofukuzwa uanachama wa CHADEMA. Ni...
  20. Iwensanto

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Habari za asubuhi wakuu, Nimemsikia Dkt. Slaa akieleza kwa uchungu kuwa Bunge la Ulaya limeiadhibu Tanzania kwa kosa la kuminya Demokrasia. Na nchi zote za Umoja wa Ulaya hazitafanya biashara na Tanzania kwa kosa hilo, lakini jambo hilo limefanyika huku Bunge hilo likivunja Demokrasia kwa...
Back
Top Bottom