Peter Msigwa: Halima Mdee kama ni Kamanda aachie Ubunge

ah ah sasa ataendaje kinyume na matakwa ya mwenyekiti bapa.....huu ni upepo tu ndugu msigwa jaribu rudia uchunguaji
 
Msigwa atulie kama ananyolewa coz hamna namna.

Kukosa kwake ubunge tena kapigwa na mwanamke mh Msambatavangu isiwe sababu ya kuzuia wenzake kishamba ivo

Yeye aendelee tu na kazi yake ya uchungaji ova
 
Msigwa atulie kama ananyolewa coz hamna namna.
Kukosa kwake ubunge tena kapgwa na mwanamke mh msambatavangu isiwe sababu ya kuzuia wenzake kishamba ivo
Yeye aendelee tu na kazi yake ya uchungaji ova
Msambwatawangu kampiga Msigwa peupe.

Usijaribu kumtania mbunge Msambatavangu, mimi huyu mtani wangu.
 
Mbona yeye alipokuwa jela walimlipia faini mbona hakuzikataa hizo pesa aseme sitaki pesa zenu za sisiem, wanaume wana wivu hao wangepata wao huo ubunge kama mama Tanzania angeukataa? Avumilie tu.
 
Another golden response from Msigwa! Wonderful!
Hahaha jamaa sura mbaya hahahaha, domo hilo hahahaha, si tuliwaambia msimtukane Dkt Magufuli mkadhani mnamtukana yeye bali mnadhalilisha taasisi ya urais (umma wa watanzania).
 
Hahaha jamaa sura mbaya hahahaha, domo hilo hahahaha, si tuliwaambia msimtukane Dkt Magufuli mkadhani mnamtukana yeye bali mnadhalilisha taasisi ya urais (umma wa watanzania).
Mudawote🤣
 
Msigwa ni deepcover
Deep cover huwa wapo Dark, huwa wana operate on their ways...hawana timelines wao kazi yao ni kuhakikisha kila kitu kinakwenda kwa maslahi ya taifa.
Deep cover siyo vibaraka watu au kikundi cha watu. Wanaweza wakam burst hata mkuu wa nchi.
Bado unadhani Msigwa ni Deep Cover ambaye yupo Dark?
 
Back
Top Bottom