Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.
Hivi hii hali ni kutaka tu au kujisahau? Yaan kitendo Cha mwanaume kuoa tu basi na kuvaa nguo Kwa kubadilisha kunaishia hapo full shati Moja au matatu, kazini, nyumbani na la kanisani.
Kumkuta mwanaume ameoa lakini kavaa kiatu Cha ngozi kimeachama kidogo ni kawaida sana.
Mtazame mkewe sasa...
Raia 2643 Kutoka kongo-DRC wameingia mkoni kwetu Kigoma kuomba hifadhi kutokana na machafuko ya vita yanayoendelea nchini kwao baina ya jeshi la nchi hiyo na waasi wa M23...
Hii ndiyo hali ilivyo katika Stendi ya Mabasi Chato, Je, tatizo ni nini? au watu wapo busy na kilimo hawasafiri tena? Je, nini kifanyike kwenye huu mradi ili fedha (kodi za wanyonge) zilizotumika ziweze kuwanufaisha Wananchi?
Kutokana na hali ya ukame inayoendelea nchini na hivyo kusababisha upungufu wa chakula. Kwenye baadhi ya maeneo baadhi ya wanaume wamekimbia nyumba zao na kuwaacha wanawake na watoto pekee katika familia.
Baadhi ya wanawake Wamekuwa wakijitaftia ridhiki kwa kwa kutembea umbali mrefu kuelekea...
Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu.
Kwa mimi hairidhishi kabisa!
Sijui kilichotokea.
Mvua ilikuwa vizuri
Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka mingine.
Lakini matokeo yamekuwa HASI.
Katika kilele Cha siku ya wanawake Duniani, uchumi wa mwanamke hasa mwanamke wa kiafrika ni duni kuliko uchumi wa mwanaume.
Wanawake wengi wa kiafrika hawamiliki Mali Kama ilivyo kwa sisi WANAUME, kuhusu za makusudi baina ya wanawake wenyewe wanapaswa kufanya ili kuinua uchumi wao ikiwa ni...
Mamlaka ya Hali ya Hewa mlitoa taarifa kuwa tarehe 3 Machi, 2023 kutakuwa na mvua kubwa katika Mikoa ya Mwanza, Simiyu, Geita, Mwanza na Mara.
Matokeo ya taarifa hii ikawa ni tofauti kabisa.
Kulikuwa na jua kali licha ya taarifa yao. Nawashauri kuwa toeni taarifa iliyo sahihi ili wananchi...
Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale...
Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi?
Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
Mkuu wa kampuni ya masuala ya kijeshi nchini Urusi, Wagner Group, amesema wapiganaji wake wameuzunguka mji wa Bakhmut mashariki mwa Ukraine, ambao Urusi imekuwa ikijaribu kuutwaa kwa miezi kadhaa sasa.
Kufikia asubuhi ya Ijumaa (Machi 3), Yevgeny Prigozhin alisema sehemu pekee ambayo haikuwa...
Baada ya wanajeshi na hata wafungwa wa Wagner kufyekwa kama nguruwe, Urusi iko katika hali mbovu sana, sasa kuanza kufuata wanafunzi na kuwalazimisha wajiunge kwenye usaili nao wakafie huko, hilo taifa hivi karibuni litaishiwa wanaume.
=====================
"Russia is preparing to draft...
Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277.
Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
baada
hali
laini
laini za simu
line
matangazo
mjukuu wa babu
njia
simu
tcra
tuma kwa namba hii
uhalifu mtandaoni
usalama mtandaoni
utapeli
utapeli mtandaoni
Baada ya uwepo wa taarifa kuhusu Kimbunga Freddy kuwa kina uelekeo wa kwenda Pwani ya Afrika Mashariki, Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema imejiridhisha hakuna madhara ya moja kwa moja katika maeneo ya Tanzania.
TMA imesema itatoa taarifa punde kutakapokuwa na haja ya kufanya hivyo...
Jumapili ya leo ni mwendo wa kugawa upendo kwa yoyote anayetaka connection aje pm na namba yake tu nigawe upendo basi tuendelee wakuu yaani hawa viumbe hawa bwana sio poa kabisa yaani bwana nimechoka kabisa
Kuna yule Mc comedian,mgogo, na kuna kipindi alikuwa mwalimu wa shule ya sekondari baada...
Aisee hali inatisha wakuu vijijini kiasi cha maambukizi kinatisha kinazidi kuongezeka takwimu zitatoka mtaona.
Shida ni hawa machangudoa wa kutoka Dar wanaleta vimelea mikoani, mfano msimu wa mavuno siku hizi mikoa ya Lindi Na Mtwara na wilaya ya Tunduru kwa sasa hali sio nzuri uchafu wa kila...
Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏.
Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
Urusi imesema itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha asilimia tano kuanzia mwezi ujao ikiwa ni kukabliana na hatua ya mataifa ya magharibi ya kuweka ukomo wa bei.
Naibu Waziri Mkuu wa Urusi, Alexander Novak amesema Urusi itapunguza uzalishaji wa mafuta ghafi kwa kiwango cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.