hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Mens niko kwenye ndoa miaka 3,tangu mwaka jana nimekua kwenye hali isiyo nzuri financially,sasa majuzi nacheki status naona wife kapost mwanaume rika langu kanunua ndiga akapost na chattings zao za kupongezana. Sikuona wivu kwamba jamaa rika langu kavuta chuma mimi sina ila nilifedheheka baada...
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Serikali haina pesa. Hali ni mbaya ya kusua sua baadhi ya Donors waanza kulalamika

    Baadhi ya donors wameanza kulalamika kuwa wanachangia pesa lakini hazitumiki vizuri. Zinatumika katika kusafiria na kulipana posho. Mnakumbuka pesa za kukubali uwepo wa Covid 19 na kupigwa chanjo? Tumezila sisi wakuu... Tumewana kwa namna mbalimbali. Inaumiza lakini unaona wenzako wanapiga...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Hali ya Kateshi jioni hii

    Kateshi!
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu. Hali ya mabank au financial system ilikwa paralysed na mabank kibao yakafunga biashara mf bank ya...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Ushelsheli atangaza hali ya dharura kufuatia mafuriko na mlipuko

    Rais Wavel Ramkalawan wa Ushelsheli ametangaza hali ya tahadhari Alhamisi, akiwaamuru raia wote isipokuwa wafanyakazi muhimu kubaki nyumbani, baada ya mlipuko katika duka moja la vilipuzi na mafuriko kutokana na mvua kubwa. Taarifa ya Ikulu mjini Victoria, imetolewa kufuatia mlipuko mkubwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Chanjo za corona zimepotelea wapi? Na uviko hali ikoje?

    Yale machanjo yetu tuliyopewa zawadi na mabeberu bado yapo? Siyasikii kabisa siku hizi kama hapo awali kwa jinsi yalivyokuwa yanapigiwa chapuo la mwendokasi. Nasikia kulikuwa na mafurushi kadhaa ya chanjo. Sijui ni mafurushi ama makapu, lakini naamini hayo machanjo yalijazwa kwenye kapu fulani...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya hali ya hewa (TMA) tunaomba maelezo juu ya hili

    Baada ya mvua kubwa zilizoharibu kila zao lililopandwa, sasa zimetulia. Ikifika saa 8:30 mpaka saa 9:00 jioni, kunakuwa na wingu zito sana kama vile mvua kubwa itanyesha sasa hivi. Kila mtu anakimbizana kuwahi kujikinga na mvua. All of a suden after 30 minutes /1 hr or so, wingu zito...
  9. JamiiForums Tanzania Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

    Hello! Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu. Baadaye Mzee...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii ya utoaji mimba kiholela, p2 zimegoma au zimezira

    Kwa kipindi sasa jambo hili la utoaji mimba kiholela limeshamiri na limeanza kuzoeleka na kuonekana la kawaida kabisa mtaani. Utaskia tu mtaani wakiongea, aah pisi fulani kafinya bana, si unaona kachuja, hajui mimba ni ya nani na mshkaji aliyembambikia kamakazia sio yake na kwakuwa pisi bado...
  11. JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri

    Habari , nahitaji mabati used. Pc 50 nalipa cash mkononi nipo moshi mjini Mawasiliano 0672701329
  12. JamiiForums Tanzania Nahitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri ,,

    Habari waungwana , nipo hanitaji mabati used yaliyoko katika hali nzuri Nahitaji. Pc 50 Nipo moshi mjini Mawasiliano ni. 0672701329
  13. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Polisi kumng'ang'ania mtuhumiwa na hali ya kuwa walalamikaji hawana mpango na kesi tatizo ni nini?

    Wakuu kuna jamaa yangu alipatwa na tatizo wakawa wamempeleka polisi, kule polisi akapata dhamana kwa sababu kosa lake lilikuwa lina dhamana, akaenda kuzungumza na wale waliokuwa wanamshitaki na wakawa wameelewana kuwa mambo yasiendelee mbele zaidi yaani kufika mahakamani. Sasa changamoto...
  15. JamiiForums Tanzania Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  17. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo tusaidieni hili la taka Sinza, hali ni mbaya

    Nikiwa kama mwananchi nimeona nitumie jukwaa hili maana naamini wahusika wengi wapo humu na wengi wanaweza saidi kupaza sauti. Nimepita eneo la Sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT kiukweli hali ya usalama wa afya ni mbaya kwa wakazi hao. Nilifanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa maeneo...
  18. JamiiForums Tanzania Je unahitaji vitanda vya hostel? Nauza vitanda na magodoro yake, viko kwenye hali nzuri sana

    Nauza vitanda na magodoro yake, ni vitanda double deck vina magodoro yake tayari. Size ni 3x6 Mbao ni Pine na Cyprus Bei 100,000 na godoro lake. Location: Dar es Salaam Waweza nipigia 0717454455/ 0767454455
  19. G

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  20. L

    JamiiForums Tanzania China na Marekani zaafikiana kuhusu suala ya hali ya hewa

    China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo. Baada ya duru mbili za mazungumzo, China na Marekani huko California zimetoa taarifa ya pamoja ya kuhusu kuimarisha ushirikiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…