Nimeipenda rangi nyeusi ila kuna sehemu nimeambiwa huwa inanyonya sana joto
Je nichukue rangi ipi au mchanganyiko wa rangi gani.
material ipi nzuri kwa bei isiyozidi laki 3, gari ina siti tano
Wakuu,
ATCL imeomba radhi (hata kama tunajua ni ya mchongo) lakini Msigwa kapata nguvu za kumwambia Zungu mwana ukome:BearLaugh::BearLaugh:.
Ila Zungu itakuwa alisahau kuwa serikali/chama kikizingua inabidi useme mitano tena🤣🤣, katoka nje ya script😂😂.
Ila ATCL tuambieni, hivi shida ni nini...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa kuhusu uwepo na mwenendo wa Kimbunga Kikali “CHENGE” ambacho kwa sasa kipo katika Bahari ya Hindi, upande wa kaskazini mashariki mwa Madagascar, takribani kilomita 2,400 mashariki mwa pwani ya Mtwara
Kimbunga Kikali “CHENGE” kilianza kuunda...
Huu ni ushauri wa mtu mwenye nia njema kabisa na wewe. Walio karibu na wewe najua watakushauri usiufuate, ila mimi nakushauri ufuate. Usipofuata, ni hiari yako pia.
Itisha press, uongee na Taifa. Inakuwaje mambo mengi yanaendelea vibaya, wewe upo kimya? Safisha hali ya hewa, watu watasahau...
Wakuu habari za muda huu?
Mada yangu inajikita kwenye Hali ya hewa ya mkoa wa Mbeya hasa Rungwe na Mbeya mjini.
Mkoa wa Mbeya kiufupi hauna kipindi Cha kilele Cha kumuacha mtu awe huru badala yake watu ni watumwa wa Hali ya hewa kuanzia January Hadi September kila mwaka.
A. Kuanzia January...
Wakuu,
Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025
Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
Wakuu leo nimeukumbuka ujumbe wa Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) dhidi ya kauli za watawala kudai makanisa kuingilia masuala ya siasa wakati huo kanisa linapambania haki na maslahi ya wananchi
"Nilikuwa nasikia watu wananirushia madongo 'wewe Askofu umeshindwa kazi ya uaskofu njoo...
GT.
Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule
Yote haya ni kumkamata Lissu
Mtu alikuwaga akifika hii hatua basi ilikuwa inahesabika "ITS OVER".
Visa bado vipo ila sio kama ilivyokuwa miaka ya nyuma, nafikiri hizi sober houses zimeokoa vijana sana kwa kiasi chake
Hawa jamaa walikuwa na uwezo wa kusimama kwa kujipinda kwa style hio hio kwa muda mrefu bila hata kuyumba...
Je, ulijua?
Wakati wa hali ya hewa ya baridi au msimu wa mvua, mijusi dume hujining’iniza kichwa chini miguu juu ili jike apateusingizi mzuri kwenye kajoto na kwa raha.
Kwa kufanya hivi, huonesha jinsi alivyo mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati kwa mwenzie.
Dume hukaa katika nafasi hiyo kwa...
Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi
Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa
Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali
Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama tuko Dar es salaam au Sudan
Twambieni utabiri kwenye mitambo yenu inaonyesha nini, tunapanda...
Mlima Kilimanjaro ni mlima mrefu zaidi barani Afrika na unajulikana kwa utofauti mkubwa wa mimea na viumbe hai. Kuna maeneo tofauti ya uoto wa asili yanayopatikana katika mlima huu, ambayo yanaweza kugawanywa katika maeneo saba (zones):
1. Lower Forest Zone: Hapa ndipo panapokuwepo na miti ya...
Jeshi la Zimamoto na Uokoaji limetoa tahadhari ya uwepo wa majanga baada ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania kuripoti uwepo wa mvua za wastani na juu ya wastani katika baadhi ya mikoa nchini huku likiwataka wananchi kuwa makini katika kipindi hicho pamoja na kuviasa vyombo vya usafiri kutopita...
Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo?
Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
Mamilioni ya Wamarekani wamearifiwa kujiandaa kwa hali ya hewa ya majira ya baridi. Jimbo la West Virginia limejiunga na majimbo mengine matano kutangaza hali ya dharura.
Baadhi ya picha zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha ndege zimefunikwa na theuji na kusabisha safari 2,000 za...
Habari wanajamvi,
Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja itaanza jioni ya leo. Krismasi kwangu ni fursa ya kuwasaidia wahitaji).
Leo nlikuwa mtandaoni, nikaona...
Naibu Waziri wa Afya na Mbunge wa Jimbo la Siha, Dkt. Godwin Mollel akizungumza wakati akiwa katika kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhamasisha Wananchi wa jimbo hilo kuhusu umuhimu wa kuchagua wagombea wa nafasi za uenyekiti wa mitaa kupitia chama hicho.
Sujui niwekeje swali.
Leo Dar mvua kidogo tu, joto limeshuka 26 degrees watu wanatembea na masweta kama wabibi.
Sasa nikaona niangalie na uko Njombe, nakutana na 13 degrees.
Yaani inakuaje kuaje. Asubuhi mtu unaamka, unaoga na kuwahi kazini au mnatumia ujanja gani kupambana na hii hali?
Wakuu, najua kuna wengine mtakua mnajua.
Ukiwa unacheki utabiri wa hali ya hewa kwenye App au Google eneo flani, utaona wameandika Precipitation hafu wanaweka asilimia flani, mfano 50%.
Sasa hiyo Precipitation 50% inamaanisha nini?
Ni probability ya mvua kunyesha Dar es Salaam ipo...