haki

  1. M

    Je, unajua tendo la ndoa ni haki katika ndoa na lisipotimizwa linaweza sababisha ndoa kuvunjika?

    Iko hivi, ndoa ni mkataba kati ya mke na mume, na mkataba huo una masharti mengi ikiwemo haki ya tendo la ndoa, sasa inapotokea mwanandoa ananyimwa haki hii moja kwa moja mkataba unakuwa umevunjwa kwani masharti ya mkataba hayajatimizwa. Haki hii ni lazima iwe imevujwa kwa makusudi bila...
  2. GE2020 Clouds 360, leo imemtendea haki Tunda Lissu, imeitendea haki Chadema, imewatendea haki Watanzania, hongera sana, mbarikiwe sana!

    Wanabodi, Mtu, Taasisi au Chombo chochote kikifanya jambo jema, jambo zuri la kustahili pongezi, mimi huwa napongeza, hivyo hili ni bandiko la pongezi kwa Clouds Media kupitia kipindi chake cha Clouds 360, leo kimemtendea haki Tunda Lissu, na pia kimeitendea haki Chadema, na katika kuzitenda...
  3. Maandamano yanayoendelea yatufunze kuona haki za binaadamu kwa jicho pevu

    Katika nchi zinazoendelea watu wamekuwa wakiuawa na watu wasiojulikana au wengine wakifa mikononi mwa polisi. Watu wamekuwa hawaoni umuhimu wa kuikumbusha serikali kuhusu hayo kwa visingizio kuwa aliyekufa au kuonewa alikuwa akifanya kazi fulani, tabia fulani au alikuwa na itikadi fulani hivyo...
  4. P

    Mr Pompeo: Wenye kudhulumu haki ya kuishi wapo Minneapolis

    Niliusoma ule ujumbe wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani kumhusu mkuu wa mkoa wa Dar juu ya watu kudhulumiwa haki ya kuishi, kichwani mwangu zikaja kila aina ya fikra. Zilikuwa ni tuhuma nzito zilihitimishwa kwa RC wa Dar kunyimwa haki ya kuingia Marekani. Lakini kesho hakuna binadamu aijuaye...
  5. GE2020 Ado Shaibu: CHADEMA ni chama cha siasa. Kina haki ya kuandaa Wagombea Zanzibar

    MAJIBU YA KATIBU MKUU WA ACT WAZALENDO ADO SHAIBU ALIPOULIZWA KUHUSU KAULI YA CHADEMA KUSIMAMISHA WAGOMBEA ZANZIBAR. Kwenye Mkutano wake na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu aliulizwa na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa ACT Wazalendo baada ya CHADEMA...
  6. Mwanamke usimnyime sana haki yake ya mapigo ila mpe ukiwa huna hasira

    Nilisimulia kisa cha mimi kupigwa na wife na frying pan na remote jichoni. Wengi walinilaumu kuwa nilipaswa nimchakaze vibaya wife. Soma Siku ambayo wife alinipa kipigo cha paka mwizi... Sikushauri! Usimpige mwanamke ukiwa na hasira naye akiwa na hasira utamuua. Wanawake wenyewe hawa wa siku...
  7. Muswada wa Marekebisho Sheria-2020: Unajua watu hawataweza kudai haki kwa niaba ya Wanyonge? Viongozi wa juu Serikalini hawatashtakiwa moja kwa moja!

    Asasi za Kiraia 220 zimefanya uchambuzi wa muswada huo wa sheria na kuwasilisha mapendekezo ya mabadiliko ya muswada huo kwa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria. Taasisi hizo zimeeleza kuwa japo kuwa zinafahamu muswada huo una lengo wa kusasisha Sheria iliyopo sana huku ikibaki kuendana na...
  8. Paris, France: Maelfu waandamana kudai haki itendeke kwenye kifo cha Mfaransa mweusi aliyefia mikononi mwa Polisi mwaka 2016

    Waandamanaji zaidi ya 20,000 wamekusanyika katika Mji Mkuu wa nchi hiyo, Paris kudai haki itendeke katika kifo cha Mfaransa mweusi Adama Traore aliyefia mikononi mwa polisi mwaka 2016 Uchunguzi wa mazingira ya kifo Traore (24) umekuwa ukiendelea kwa miaka minne huku kukiwa na ripoti za kiafya...
  9. Haki ya kuandamana na tamko la Tanzania kuhusu maandamano Marekani!

    Kufuatia kifo cha kikatili cha Mmarekani mweusi George Floyd, kumetokea maandamano Marekani na sehemu mbalimbali duniani kote tangu wiki iliyopita. Hapa kwetu Tanzania haki ya maandamano imetamkwa kikatiba katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Matukio mengi sana ya kuogofya yemetokea...
  10. Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

    "Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump • “Asilimia 80 ya...
  11. "Wapigania haki” USA ni noma sana, sijui ni haki gani hiyo? Jionee hapa, pure evil!

    Wanataka kumuibia, kagoma wamepiga karibia kuua
  12. P

    Kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi kuna cha kujifunza dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwa wanaharakati wetu wa Tanzania?

    Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua! Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
  13. Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

    Leo ni ujumbe mahsusi kwa Wazanzibari wapenda mabadiliko hususan vijana. Napenda nichukue fursa hii kuwaambia kwamba mabadiliko hayaji ghafla na hayaji katika sahanini. Mabadiliko yanapiganiwa, kwa gharama kubwa na mara nyengine kwa muda mrefu. Ukoloni wa Kireno Zanzibar ulidumu kwa takriban...
  14. Furaha na haki sawa kwa wote

    FURAHA NA HAKI SAWA KWA WOTE Waasisi wa The Civic United Front(CUF-Chama Cha Wananchi) walikutana katika Ukumbi wa Starlight Hotel, Mjini Dar es Salaam tarehe 20-21 Novemba 1992 walitoa Tamko ambalo ni Utangulizi wa Katiba ya Chama Chetu. Katika Tamko hilo walieleza kuwa:- "Sisi Watanzania...
  15. TANZIA Simpasa Eliakim, Mwenyekiti wa kamati ya haki za Bunge 2000-2005 afariki dunia

    Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe. Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna...
  16. Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

    lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki. Kuna system yenu mnaiita...
  17. Salaam za Eid El-Fitr 2020

    Mwezi umeonekana Kashimil India sasa sijajua wale wa mwezi wa kimataifa kesho watakula idi au watawasubiria Saudi jumapili
  18. F

    Spika Ndugai unakosea, Mbowe ana haki ya kuelezea mawazo yake na chama chake, anaowakilisha ni watanzania

    Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili) Ni jambo la kushangaza kuona...
  19. Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance. Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
  20. Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

    Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano. Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…