haki

  1. B

    Kwenu: ACT Wazalendo, CHADEMA na wote wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo

    Mabibi na mabwana na hasa wapenda Haki, Uhuru na Maendeleo. Haki zetu, Uhuru wetu na Maendeleo yetu haviwezi kuwa sehemu ya mjadala wa kuwa tupewe au tusipewe. Hivi ndiyo vinavyotafsiri utu wetu kama binadamu. Hivi ni mali yetu na ni vya kupiganiwa na kulindwa kwa nguvu zetu zote. Ni heri ya...
  2. B

    Maajabu ya CCM kutaka amani bila haki

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Nimefuatilia kauli takribani zote kuhusiana na uchaguzi mkuu zinazotokea katika chama hii kubwa. Si katika uzinduzi wa kampeni si katika walioongea katika kampeni au popote kuhusiana na uchaguzi 2020. Hakuna wanaposema neno 'haki'...
  3. M

    GE2020 Kuenguliwa kwa wagombea: Pemba wahimizana kuandika usia kabisa maana sasa wako tayari kwa lolote

    Katika hali inayoashiria uwezekano wa umwagaji mkubwa wa damu huko Zanzibar hasa kisiwani pemba, wananchi wa huko wakiwa na hasira kali kutokana na kuenguliwa wagombea wao, wamejiapiza kukabiliana na chochote kilicho mbele yao hata ikibidi kupoteza maisha yao. Wamehimizana kila mmoja kuandika...
  4. GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

    Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi. ===== LIVE FEED: MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA...
  5. GE2020 Sera ya upinzani ingepaswa kuwa moja tu, kuondoa udikteta na kuruhusu Haki na Uhuru

    Nimefurahishwa sana na sera ya Chadema ya, uhuru, haki, na maendeleo. Ila binafsi ningependa kama ingeweza kusomeka, kuondoa udikteta, kuleta haki, na uhuru. Udikteta, kukosekana kwa haki na uhuru, ndo mambo yaliyokithiri kwenye utawala wa Magufuli kwa miaka mitano iliyopita. Kwanini uhuru na...
  6. GE2020 Zitto Kabwe: Tutaandamana nchi nzima kudai haki ya wagombea wetu walio enguliwa kwenye uchaguzi

    Anaandika mhe Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Twitter kwamba chama chake kitafuata taratibu zote za kisheria kudai haki pia wanaunga mkono tamko la mwenyekiti wa chama hicho pamoja mgombea urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu kwamba lazima wananchi wafanye...
  7. GE2020 Leo nimeamini Mbowe mzalendo, Wahariri TBC wachukuliwe hatua kutangaza kinyume na sheria za utangazaji

    Mbowe mzalendo alianza kwa ku test uzalendo wa watangazaji TBC Kama anayoongea watarusha Live yaliyo kinyume na sheria za utangazaji. Kuna upande Kuna mtu Alikuwa akimwangalia kama aonyeshe je anasikika live? Yule mtu alitoa ishara ya Siri ya kuwa ndiyo. Akaona akiwakaribisha Lissu na Salum...
  8. GE2020 Hoja fikirishi: CHADEMA kwanini mnadai Uhuru wa Vyombo vya Habari huku mkivinyima haki, kufukuza na kuvidhalilisha!?

    Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii. Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao. Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa...
  9. Hakuna amani kwa waovu na wasiotenda haki

    HAKUNA AMANI KWA WAOVU NA WASIOTENDA HAKI Tangu zamani za Biblia, watu walihimizwa KUTENDA HAKI ili wapate baraka na kibari kutoka kwa Mungu. AMANI huletwa na Mungu katika jamii au taifa na ni matokeo ya watu KUTENDA HAKI. Watu wakimuasi Mungu na KUACHA KUTENDA HAKI, Mungu huondoa AMANI...
  10. V

    Wajinga wanamwita kibaraka wa mabeberu. Wenye Wazalendo na wapenda Haki wanamwita mtetezi na kiongozi shupavu

    Ni vigumu kuelewa ukweli pale akili zinapokuwa zimefungwa kwenye nguvu ya itikadi. Moja ya kazi kubwa ya itakadi ni kupofusha ufahamu wa mwanadamu. Yesu alipokuja kuwakomboa wanadamu kutoka kwenye utumwa wa Shetani, mafarisayo, Masadukayo na miongozi wa dini walimtungia hila nyingi na kumpa...
  11. S

    GE2020 Maelezo haya ya Devotha Minja yanasikitisha, Tume ya Uchaguzi tunaomba muingilie na mtende haki

    Yanayoendelea Morogoro, Mwaka huu hakuna kupita bila kupingwa. Pole sana Devota.#NiYeye2020
  12. M

    GE2020 Kama NEC inabariki ubakwaji wa haki ya Msingi ya Wananchi ya kuchagua na kuchaguliwa basi wananchi wataanza kudharau chaguzi na hii ni hatari sana

    Tunasoma kila mahali, watu wanafanyiwa michezo ya ajabu kwenye uchaguzi, kuna vyama vinavyolalamika wagombea wake kutekwa, kuna vyama vinavyolalamika fomu zao kuporwa, kuna watu wanalalamika wakurugenzi kutokutoa ushirikiano, wengine wanalalamika ofisi za Taasisi muhimu za Uchaguzi kufungwa...
  13. GE2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  14. Shibuda azua balaa! Awaambia viongozi wa Dini kuacha unafiki na kujipendekeza

    John Shibuda amezungumza kwenye Kongamano la maombi na maridhiano ya amani lililofanyika Mjini Dodoma. Shibuda amenukuu maneno ya baba wa taifa iliyosema 'watanzania hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa kujidanganya hayapo' au kutumia mbinu za kifalsafa za kuyafubaza lakini yapo. Anasema Rais...
  15. K

    Haki ndiyo inaleta amani

    Video hapa inajieleza
  16. J

    Lema na Heche, msisahau kuwa Mohamed Dewji ni mwanaCCM na ana haki ya kuipigia kampeni popote alipo

    Nimewasoma Godbless Lema na John Heche wote wakiwa ni wanachama wa Chadema kule twitter wakimlalamikia Mohamed Dewji anayeimiliki klabu ya Simba (49%) kwa kuipigia kampeni CCM kwenye Simba Day. Nawakumbusha tu Chadema kwamba Dewji ni mwanachama halali wa CCM aliyezaliwa mkoani Singida pamoja na...
  17. Tundu Lissu ni ‘mwanakulitafuta, mwanakulipata’. NEC tendeni haki, kama kavuruga mkateni kwa mjibu wa sheria, kanuni na utaratibu bila huruma

    Tundu lisu ni mwanasheria mzuri sana anajua lipi ni kosa kisheria na lipi si kosa kisheria Kama anajua kuwa kufanya maandamano ya shangwe na bashasha wakati wa musiba wa Mzee Mkapa si kosa kisheria basi atagombea Urais wa JMT Kama anajua kuwa kuidanganya mahakama kuwa hawezi kuhudhuria...
  18. Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  19. GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  20. J

    GE2020 Kibamba: CHADEMA wadai Mwanachama wa CCM amechukua fomu ya kugombea Ubunge kwa jina lao

    Aliyekuwa meya wa ubungo Jacob Boniface amesema kuwa mwanachama wa CCM aitwaye Athuman Abdallah Sudi amechukua fomu za kugombea Ubunge kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo kwa jina la CHADEMA. Jacob amesema hii ni mara ya pili Mkurugenzi huyo anaihujumu CHADEMA kwa kutumia barua fake. Jacob...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…