haki

  1. JamiiForums Tanzania Mwangasa: Kila mtu ana haki ya faragha, hadi pale mamlaka za uchunguzi zinapohitaji taarifa

    Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Mtandaoni, Joshua Mwangasa amesema kila mtu ana faragha ya Mawasiliano hadi pale yatakapohitajika kwa ajili ya suala la uchunguzi. Chombo cha Uchunguzi hutakiwa kuandika barua kumuomba anayemiliki taarifa kama kampuni ya mawasiliano kupewa taarifa hizo. Katika...
  2. JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika, itambulike Tanzania

    Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika. Haki hii inampa nguvu mteja kuwaambia watoa huduma wafute taarifa zake zote kwenye serves zao, ili mambo...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Haki za Binadamu; Waziri wa Katiba na Sheria hajasaini discharge za wagonjwa waliokuwa na matatizo ya Afya ya akili tokea Julai 2021

    Wizara ya Katiba na Sheria imejaa uonevu÷ Wakati katika Kituo cha kutunza Wagonjwa wenye matatizo ya Afya ya akiliI (Isanga Institution ) kilichopo Dodoma, kikitakiwa kutoa Wagonjwa waliopona, kila Mwaka mara mbili, Mwaka huu 2021 wapo wagonjwa waliopona na kuruhusiwa na wizara ya Afya na bodi...
  4. JamiiForums Tanzania James Rugemalira kuzishtaki taasisi zilizoiibia Serikali

    Baada ya kusota rumande kwa zaidi ya miaka minne kabla hajaachiwa hivi karibuni, hatimaye mfanyabiashara maarufu nchini, James Rugemalira ameanza harakati za kuzishtaki kampuni na taasisi za fedha anazozituhumu kuhusika katika wizi wa fedha za Serikali zilizomsababishia kesi ya uhujumu uchumi...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tunataka Paul Makonda awe accountable kwa matendo yake ya kuvunja haki za binadamu

    Tunaomba Jumuiya ya Kimataifa itusaide kumwajibsha Makonda. Ushahidi upo tele na USA alishaweka bayana wapi pa kuanzia. Tunataka awajibishwe
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuimarisha Mifumo ya Usimamizi wa Sheria na Utoaji wa Haki, akitoa rai kwa Mahakama kuendelea kutoka Hukumu na Maamuzi ya Haki kwa Watu wote. Akizungumza leo Oktoba 28, 2021 amesema, "Serikali itaendelea kuelimisha Jamii juu ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Pius Msekwa: Haki ya mtu inaweza kudhulumiwa hata Mahakamani, kuna watu wameumbwa na dhulma

    Spika mstaafu mzee Pius Msekwa amesema kuna watu wana tabia ya kupenda kuumiza na kudhulumu watu wengine, hata mahakamani haki ya mtu inaweza kudhulumiwa kwani kuna watu wameumbwa na dhulma, na hii si sawa. Mzee Msekwa anasema kimsingi katika bunge la vyama vingi panapaswa kuwepo KUB na Baraza...
  8. JamiiForums Tanzania LHRC yaikumbusha Serikali kurejea Mahakama ya Afrika

    Kituo cha sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimekumbusha Serikali ya Tanzania kubadili uamuzi wake wa kujitoa katika Mahakama ya Afrika na kurejea kwenye Mahakama hiyo ili kuimarisha heshima ya Taifa katika uwanda na kikanda. Novemba 21, 2019 Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kujitoa...
  9. JamiiForums Tanzania Ili kutenda haki na kutobambikia watu kesi, Mzee Kamara Kusupa apendekeza polisi wapunguziwe majukumu

    Mara ya kwanza niliposikia msamiati wa “mzungupori” sikuelewa, nilidhani msemaji anamtania mzungu mshamba anayetoka Ulaya kijijini. 1. Lakini baadaye nilipomuona mlengwa, nikaelewa kumbe walimaanisha chotara? Baba mzungu na mama Mtanzania, Rangi ya kizungu ila nywele za kipilipili. 2...
  10. JamiiForums Tanzania Navalny atunukiwa tuzo ya juu ya haki za binadamu ya Umoja wa Ulaya

    Kiongozi wa upinzani nchini Urusi aliye gerezani ambaye pia ni mkosoaji mkubwa wa rais Vladmir Putin, Alexei Navalny leo ametunukiwa tuzo ya juu kabisa inayotolewa na Umoja wa Ulaya kuhusu haki za binadamu. Katika ishara ya wazi ya ukosoaji kwa Ikulu ya Kremlin, viongozi wa bunge la Umoja wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

    Hapa nchini katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwepo na mambo ya kusikitisha sana kutoka kwa mhimili wa mahakama. Mwendenendo wa Mahakama zetu nchini umekuwa ni mwenendo usio na afya njema katika utoaji wa haki nchini, na kwa bahati mbaya inaonekana mahakama yetu imeridhika na kuridhia hali...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

    Haki haijawahi kujificha. Jaji Siyani kwa kujiridhisha kuwa: 1. Mshitakiwa wa pili alikamatwa akawasaidia polisi kumtafuta Mosses Lijenje Moshi, Boma Ng'ombe hadi Arusha, 2. Njiani wakapata mishikaki na Mo Energy, 3. Mshitakiwa wa pili akatoa maelezo kwa ridhaa yake ndani ya masaa 4...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sabaya: Haki Imetendeka na kuonekana ikitendeka

    Tathmini ya msingi inaonesha watu wengi kufurahishwa na hukumu ile bila kujali nini kitamtokea sasa baada ya hapa. Waliokuwa wapambe wake katika uovu, mitaani na mitandaoni wote wamesambaratika. Hivi Wamepotelea mashimoni kama mapanya wakichungulia kama vile hawakuwahi kuwapo wala kusema jambo...
  14. JamiiForums Tanzania Madhara ya kesi ya Mbowe na tofauti na kesi ya Sabaya

    Ukweli kesi ya Mbowe Kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi hii ni ya kutunga na ukweli pia kesi ya Sabaya kila anaeifuatilia anajua kabisa kuwa kesi yake ni ya ukweli. CCM wote wanajua kabisa kesi ya Mbowe ni ya kumkomoa na CCM wote wanajua kabisa Kesi ya Sabaya ni kweli alifanya makosa...
  15. JamiiForums Tanzania Vyombo vya umma vya kisheria na haki vimepunguza Kasi katika awamu hii, viongeze kasi

    Binafsi naona kasi ikipungua kwa Kasi ya hali juu kwa mashauri ambayo kimsingi mashauri yake yapo wazi kabisa tena hayana complications za aina yoyote ikimaanisha pande mbili ambazo zinashindana katika mgogoro kutoona umuhimu wa kuendelea na shauri usika na kuona wayamalize kinyumbani hapa Huwa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha viongozi wote wa ngazi za juu Serikalini na kwenye Vyama vya siasa. Urais hautafutwi bali urais ndio unakutafuta. Haki itamalaki kote

    Kwenye Taifa hili mimi ni mtu mdogo sana, sina mamlaka yeyote yale. Hata kwenye familia yangu sina nguvu yeyote ya ushawishi, naonekana wa kawaida sana sina maajabu yeyote. Lakini leo hapa nazungumza kitu kimoja kwa viongozi wa juu wa serikali na Vyama vya siasa kwa nguvu na mamlaka makubwa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Watanzania Bara kuanza kuteuliwa Zanzibar

    Haiingii akilini keki ya Zanzibar ni kwajili ya wazanzibari pekee ila keki ya huku bara Wazanzibari nao wana hila, yani chao ni chao peke yao ila chetu ni chao. Yani huko Zanzibar uongozi kuanzia uraisi, mahakamu wa rais, wakurugenzi wa mashirika, teuzi, n.k ni wao tu ila ukija huku si ajabu...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi jamii kukamata vyombo vya Moto na kubambikiza watu kazi

    Naomba mnieleweshe kidogo yawezekana ufahamu wangu mdogo Katika pitapita zangu mikoa ya Dodoma, Tabora na Morogoro nimekutana na hawa watu wanaojiita polisi jamii wakiratibu shughuli za Jeshi la Polisi. Sio vibaya kama wana vibari na wanazingatia sheria. Kuna vitendo vingi sana vinafanyika na...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia awataka wadau wa mfumo wa Haki kuzingatia Sheria

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema pamoja na ujenzi miundombinu ya utoaji Haki, mafanikio yanayotarajiwa hayawezi kupatikana endapo wadau wa mfumo huo hawatofanya kazi kwa kuzingatia Sheria. Ameeleza, "Tunaweza kuwa na majengo mazuri na mfumo bora wa TEHAMA, lakini kama Mahakimu, Majaji na...
  20. JamiiForums Tanzania Eminem ndiye rapper bora kuwahi kutokea, kikwazo ni rangi

    Siwezi kuongea kwa niaba ya watu wenye asili ya africa wote wanaopenda hip hop, wawe wabongo, wamarekani weusi, waingereza , n.k, lakini wacha nitoe maoni yangu, Eminem is the goat (great of all time), bigie na 2pac walikuwa hot lakini nadiriki kusema vifo vyao vilikuwa vikubwa mno kuliko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…