Haki za Binadamu; Waziri wa Katiba na Sheria hajasaini discharge za wagonjwa waliokuwa na matatizo ya Afya ya akili tokea Julai 2021

Philip Matolo

New Member
Nov 2, 2021
2
0
Wizara ya Katiba na Sheria imejaa uonevu÷

Wakati katika Kituo cha kutunza Wagonjwa wenye matatizo ya Afya ya akiliI (Isanga Institution ) kilichopo Dodoma, kikitakiwa kutoa Wagonjwa waliopona, kila Mwaka mara mbili, Mwaka huu 2021 wapo wagonjwa waliopona na kuruhusiwa na wizara ya Afya na bodi zinazothibitisha kuwa wamepona.

Sasa toka mwezi July 2021, discharges za watu hawa zipo mezani kwa Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ndio huzisaini ili waweze kuondoka. Waziri huyu toka abadilishiwe Wizara amekuwa hatoi ushirikiano kwa Idara zilizoko chini yake kama hii.

Tunaomba haki itendeke watu hawa ambao wapo zaidi ya 23 waweze kuondoka, maana pia wanaigharimu Serikali kwa Chakula, lakini pia ni haki yao kutoka hapo maana Walisharuhusiwa.
 
Anataka ambao wameshapona nao waanze kuugua upya wakiwa humo ndani au shida nini?
 
Wizara ya Katiba na Sheria imejaa uonevu÷

Wakati katika Kituo cha kutunza Wagonjwa wenye matatizo ya Afya ya akiliI (Isanga Institution ) kilichopo Dodoma, kikitakiwa kutoa Wagonjwa waliopona, kila Mwaka mara mbili, Mwaka huu 2021 wapo wagonjwa waliopona na kuruhusiwa na wizara ya Afya na bodi zinazothibitisha kuwa wamepona.

Sasa toka mwezi July 2021, discharges za watu hawa zipo mezani kwa Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ndio huzisaini ili waweze kuondoka. Waziri huyu toka abadilishiwe Wizara amekuwa hatoi ushirikiano kwa Idara zilizoko chini yake kama hii.

Tunaomba haki itendeke watu hawa ambao wapo zaidi ya 23 waweze kuondoka, maana pia wanaigharimu Serikali kwa Chakula, lakini pia ni haki yao kutoka hapo maana Walisharuhusiwa.
Mkuu id umefungua leo, tena kwa real name, then uzi wa kwanza umeanza na bwana waziri

Kwa kweli umetisha.

Sasa omba zisisainiwe faster faster na wakatolewa kisha wakakugeuzia kibao, utajuta.
 
Sasa hivi kwanza tunashughulika na wanaotuza pesa kwenye sherehe. Hayo mengine yatasubiri🙆‍♂️
 
Mkuu id umefungua leo, tena kwa real name, then uzi wa kwanza umeanza na bwana waziri

Kwa kweli umetisha.

Sasa omba zisisainiwe faster faster na wakatolewa kisha wakakugeuzia kibao, utajuta.
😅😅🤣Yaani itakua ukichaa sasa, sio Afya ya akili iliyothibitishwa iko Ok
 
Back
Top Bottom