haki

  1. I

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

    Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
  2. JamiiForums Tanzania Maharagande: Jeshi la Polisi Hutumiwa Kuminya Mfumo wa Utoaji Haki Nchini

    Hotuba ya Msemaji wa sekta ya Mambo ya Ndani ACT Wazalendo Ndg. Mbarala Abdallah Maharagande kuhusu bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani kwa mwaka wa fedha 2022/23. Utangulizi: Jana Alhamisi tarehe 5 Mei 2022 Wizara ya Mambo ya Ndani iliwasilisha bungeni hotuba ya bajeti kwa mwaka wa fedha...
  3. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

    Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake . Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote. Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire. Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila...
  4. JamiiForums Tanzania Wapiga debe hawatambuliki kisheria, abiria ana haki ya kusafiri mazingira salama kusiwe na kelele

    Licha ya abiria wengi wa usafiri wa daladala na mabasi makubwa kukumbana na usumbufu wa wapigadebe katika vituo vya mabasi imeelezwa wapigadebe hao hawatambuliki kisheria. Mwenyekiti wa Chama cha Kutetea Abiria Tanzania (CHAKUA), Hassan Mchanjama anasema: "Kwenye sheria wapiga debe hawapo...
  5. JamiiForums Tanzania CCM ifanye siasa za haki

    Mbinu zinazotumiwa na CCM kuitawala Tanzania hazitoutiani sana na zile zilizokuwa zikitumiwa na makaburu na Wakoloni dhidi ya waafrika. Katiba, tume ya uchaguzi, ajira mbalimbali na teuzi vyote vinazingatia kuibakiza CCM madarakani watu wapende wasipende, Waichague au waikatae, wanaCCM na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

    ..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa. ..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili. ..Msikilizeni Mdude...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Tume ya Haki za Binaadamu na Utawala bora haijawahi kulaani mauaji ya raia?

    Leo nimeingia katika website ya tume ya Haki za Binadamu na Utawala bora (THBUB) nimeona kwa kipindi cha 2015 hadi 2022 hawajawahi kutoa tamko la kulani mauaji ya raia yaliyowahi kutokea nchini ikiwemo mauaji ya Akwilina, na raia kadhaa kule Zanzibar kipindi cha uchaguzi. Hata hivyo imeonesha...
  8. JamiiForums Tanzania Kuwezesha Ufikiaji Stahiki wa Elimu ya Digitali Katika Taasisi za Elimu ni Utekelezaji wa Haki ya Msingi ya Watoto, Vijana

    Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion). Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Shabiby, baadhi yetu tunazipenda huduma za magari yenu, kwanini hamna route ya Dar/Dom - Mwanza? Hamtutendei haki

    Wakuu bila kupoteza muda. Kama mnavyojua, gharama za ndege, miaka michache hapo nyuma zilipanda kwa speed ya mwendokasi. Basi kama ujuavyo sisi wazee wa uchumi wa kuunga unga tunakuwa hatuna option nyingine zaidi ya kupanda ma-bus. Nipo hapa nafanya plan yangu ya safari zangu za Dar - Mbeya...
  10. JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  11. JamiiForums Tanzania Watoto wanavyokosa haki ya kunyonyeshwa maziwa ya Mama

    Kama inavyofahamika kwamba Unyonyeshaji una faida kubwa kwa mama na mtoto ikiwemo uimarishaji wa afya ya akili katika maendeleo ya mtoto, kuwalinda watoto dhidi ya magonjwa, kupunguza hatari za utipwatipwa, kupunguza gharama za huduma kwa mtoto na pia kuwalinda kina mama wanaonyonyesha dhidi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Asasi za Kiraia: Kukosekana kwa Mifumo Imara chanzo Wanawake kukosa haki za Uongozi Zanzibar

    ZANZIBAR IMEELEZWA kuwa kukosekana kwa mifumo imara inayotoa fursa sawa za upatikanaji wa haki za msingi kwa wanawake na wanaume katika jamii nyingi nchini ndio chanzo cha wanawake wengi kukosa uwezo wa kusimama kudai haki zao na kushiriki kikamilifu katika ngazi mbalimbali za maamuzi. Hayo...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. Akizungumza na...
  14. JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi chini ya Sirro limeshindwa kuwaweka hadharani wauaji wa muuza chipsi Yusufu Deus, IGP UJAYE TENDA HAKI.

    Naamini IGP Sirro anakaribia kustaafu utumishi wake kwenye jeshi la polisi uliodumu kwa zaidi ya miaka 30. Japo amefanya mengi lakini yapo ambayo bado ananyyoshewa kidole kwayo. Japo ni mengi lakini naomba niwasilishe swala hili moja tuu kwa leo. JESHI LA POLISI CHINI YA SIRRO limeshindwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania *Wanyonge kweli hukosa haki kwa kutokuwa na subra na kutokuwa na pesa*

  16. JamiiForums Tanzania Pavu Abdallah: Iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za Binadamu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022 Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kinana: Kila mwanaccm ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa, wanaccm jitokezeni kugombea ndani ya chama

    #NUKUU YA WIKI KUTOKA KWA MAKAMU MWENYEWE WA CCM- BARA NDUGU ABDULRAHMANI KINANA. "WanaCCM wajitokeze kwa wingi kugombea nafasi mbalimbali ndani ya Chama chetu. Kila mwanaCCM ana nafasi, haki ya kuchaguliwa na kuchagua." Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Ukumbi wa Diamond Jubilee -...
  18. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Iundwe Tume kwa ajili ya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Kibinadamu awamu ya 5

    Kuna haja kubwa ya kuundwa kwa Tume ya Majaji kwa ajili ya kuwapa nafasi waathirika wa vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binaadam vilivyofanyila wakati wa utawala wa Rais Magufuli kupata Haki zao. Watu ambao wamepoteza ndugu zao, waliotekwa, waliobambikiwa Kesi nk. MUHIMU I repeat a call...
  19. JamiiForums Tanzania Anayejua vyema haki na wajibu katika kuandamana anisaidie

    Nimekuwa nikiskia kuandamana ni haki ya kikatiba. Lakini duniani kote kuandamana ni ugomvi wa wazi kati ya serkali na waandamanaji kias kwamba ni kama uasi. Hadi kutangaziana ubabe. Mtaalam wa sheria na siasa za uongozi na utawala anisaidie kujua dhana ya kuandamana ni wakati gani inakuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kukataliwa Goli la Simba dhidi ya Coastal, Azam TV Hamtutendei Haki Wateja Wenu

    Kwema Wakuu, Najua hili litawafikia sababu JF ni Platform kubwa. Nyinyi Azam TV ndio mmepewa haki ya kuonyesha Mpira wa Ligi yetu pendwa ya NBC Premier League. Sisi Subscribers wenu tuna haki ya kupata Matangazo hayo katika ubora wa hali ya juu bila ukakasi. Yaani Sisi kwa kununua ving'amuzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…