Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,355
- 11,500
Jamaa yangu anasema ameambiwa aagize China Majenereta 500 kwa kuanzia. Na mtaji kapewa kuongezea.
Wameandikishana na mchakato umeshafanyika mtu mkubwa mmoja kamwambia hawezi agiza kwa jina lake so atamtumia yeye.
Umeme mgao haukuwepo kwa muda mrefu sana. Ilikuwa umeme hauwezi katika kila siku na kwa masaa mengi kama sasa. Kinachoendelea kuna watu wanafahamu jikoni kunapikwa nini.
Maji huku niliko sasa ni siku ya 7 hayatoki. Na hatuelewi kitu gani kinaendelea. Hii tabia angalau kipindi cha nyuma haikuwepo. Je ni makusudi au ni dharau?