haki

  1. JamiiForums Tanzania Je, hii ni haki? Is this just?

    Hola amigos! Alamsiki! Umelala usiku kabla usingizi haujaanza kukukaba unasikia sauti kama kwichikwichi dirishani,........ile kuangalia hivi unaona kifimbo chembamba kimepenyezwa dirishani polepole kimenasa suruali yako yenye ile walet iliyobeba ada za mwanao. Kama paka! Unaamua kunyata na...
  2. JamiiForums Tanzania Moshi ndiyo wanaojua kusherekea Christmas na kuitendea haki

    Kuna utofauti Mkubwa sana kulia Christmas Dar na Moshi Tuanzie week ya maajilio ambao inaanzia jumapili ya mwisho ya November, ukiwa Dar makanisa hawana mda hata wa kuimba nyimbo za maajilio ni mwendo wa mapambio, vurugu vurugu, hakuna utaratibu. Mfano nyimbo karibu zote za Boney M. Kams First...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Miradi inakamilika kwa wakati, mnyonge myongeni haki yake mpeni

    Jana Tanzania tuliandika Historia kwa ufunguzi wa bwawa la Nyerere (JNHPP) kuanza hatua ya kwanza ya ujazaji maji hii ni hatua kubwa kwa taifa letu na kitu kingine nilichogundua ni kwamba Rais Samia Suluhu aliahidi atamaliza miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake amemaliza miradi mingi...
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
  5. JamiiForums Tanzania Ni nani alimtesa vile Rose Mhando?

    Katika interview yake pale Clouds ameeleza situations mbalimbali alizopitia katika maisha za mateso na kuumizwa hata kupelekea kubaki na makovu ya mwili na rohoni. Ni nani huyo mtu tishio kwa kiwango hicho? mpaka anaogopa kabisa kumtaja na anaishia kusema nimesamehe! Japo tumjue tu, hata kwa...
  6. JamiiForums Tanzania IGP Wambura na Jeshi lako, Kurusha Picha za "Wanawake wafanyabiashara ya Ngono", mitandaoni, ni Uvunjaji wa haki za Mwadamu... hatua zichukuliwe.!!.

    Mimi sitoongea sana, kwakua kilichotokea kinajulikana na tumeona. Mtuhumiwa lazima Alindwe, kitendo cha Askari wako wajinga wajinga kujichukulia sheria mkononi, kupiga picha hao Wanawake na kuanza kuwasambaza mitandaoni kwa Sura, Majina, na Kabila, ni kitendo cha ajabuu , cha kudhalilisha na...
  7. JamiiForums Tanzania Video: CCM wanatumia rasilimali za Serikali kujionesha. Hii ikemewe na wapenda haki wote

    Nimeshtushwa kidogo kuona Dereva akiwa na gari yenye nembo ya TASAF akijinadi Kwa mbwembwe kuwa yeye "kaheshimishwa" na Rais/Mwenyekiti wa CCM kuendesha "gari Kali". Anayazungumza haya akiwa na Uniform za CCM, Kwa Hali kama hii inaleta sintofahamu kubwa Kwa nchi huru, tunajua mnafanya ujinga...
  8. JamiiForums Tanzania Kama Katiba haijasema kuwa ajira ni haki ya kila kijana vijana muikatae kwa nguvu zote

    Habari vijana wenzangu, Binafsi Mimi siyajui machungu ya kuwa jobless. Nimemaliza tu kidato cha sita kisha kwenda JKT nikaajiriwa. Niliacha kazi mwenyewe na kupata kazi nyingine soon. Mimi sio mbinafsi, ninavyoona jinsi vijana wenzangu wanavyopata taabu naumia kiasi. Vijana wengi hawana...
  9. JamiiForums Tanzania Mika Mwamba alitendea haki beat kwenye hizi nyimbo

    Niko na JBL nasikiliza hizi nyimbo mbili ya kwanza ni dknob elimu mitaani aliitoa mwaka 2003 na hardman tamala ya mwaka 2004, hata baada ya miaka 100 hizi beat haziwez chuja, nyimbo hizi mbili zimenikumbusha mbali sana aisee asikuambie mtu Music is medicine na ukizingatia na huu ukimya wa usiku...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye Mahakama za Haki, Serikali dhalimu haziwezi kutoboa

    Tumezisikia kesi zikiihusisha serikali ya Tanzania.Tumeyasikia madege yakishikiliwa. Hivi serikali yetu inasimamia haki wapi? 1. Angalia hili la kuwafutia watoto wadogo matokeo ya mitihani. Wapi hukumu za jumuiya zinakubalika? Kwa nini hawakuwakamata wahalifu na kuwashughulikia kikamilifu hao...
  11. JamiiForums Tanzania Nani amelitendea haki jukwaa la michezo kwa mwaka 2022?

    Leo ni Desemba 3, tumeingia mwezi wa mwisho kwa mwaka huu! Ni member gani amenogesha zaidi jukwaa hili kwa mwaka huu? Karibuni
  12. JamiiForums Tanzania Je, Waislamu tunaitendea haki Qur'an?

    Hakika Mtume Muhammad (rehma na Amani ziwe juu yake) ametuachia vitu viwili ambavyo ndio Muongozo wetu Sisi Waislamu ambavyo ni Qur'an na Sunna, ndio vituongoze siku zote katika Maisha yetu. Lakini Kwa Masikitiko makubwa kabisa hakika tumeitupa Qur'an ambao ndio msingi mama WA kuwaongoza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yapitisha sheria itakayotambua ndoa za jinsia moja

    Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support By Brianna Herlihy Published November 29, 2022 The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61 to 36, which will require the federal government to recognize all marriages, including same-sex...
  14. JamiiForums Tanzania Wito: Ibara ya 18 ya Katiba iheshimiwe na wote! Kusifu na kupongeza ni haki, kupinga na kukosoa pia ni haki - si uadui, si chuki, si kinyume!

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Leo Kwa Maslahi ya Taifa" ya leo inajikita kwenye Ibara ya 18 ya Katiba kuhusu moja ya haki muhimu sana ndani ya katiba, yetu ya JMT ya mwaka 1977, kuanzia Ibara ya 18 – 24, katiba yetu imetoa haki zifuatazo: 18. Uhuru wa Maoni. 19. Uhuru wa mtu kuamini dini...
  15. JamiiForums Tanzania Ni Batili mawakili wa Tanzakujiita mawakili wasomi bali ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa zaidi

    Ni Batili mawakili wa TZ kujiita mawakili wasomi bali Ni halali kuitwa mawakili vilaza, Ila Ni haki waleta kesi kuitwa wasomi na wenye maarifa kuwazidi wao,soma hapa. Bila Shaka ndugu zangu wadau nyote mu wazima wa afya ,nakuombeni mrejee kichwa Cha habari Apo juu ni ubatili mkubwa,Kwa kweli...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo TV zilizopewa haki ya kuonyesha michuano ya Kombe la Dunia Qatar, 2022

    Afghanistan ATN Albania RTSH Angola TPA Argentina TVP, TyC Sports Armenia AMPTV Aruba Telearuba 13 Australia SBS Austria ORFServusTV Azerbaijan İTV Bangladesh BTVT Sports, GTVToffee Belarus Belteleradio...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Tunapofanya siasa na kuleta porojo za akina Majaliwa hatuwatendei haki wafiwa

    Wakuu, kwa kweli hii imekuwa too much. Kwa sasa baada ya ripoti kutoka sasa yamekuwa ni mabishano ya nani hasa aliyefungua mlango wa ndege. Je, hii ina umuhimu gani kwenye kudai uwajibikaji ukizingatia ajali ile imepoteza uhai wa watu ambao wanategemewa na familia zao na jamii kiujumla.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ujerumani walikuwa na haki ya kufungwa: Walienda wakiwa na lengo la kupigia kampeni LGBTQ

    Ujerumani walikuwa wamevurugwa baada ya tamanio lao la kupigia kampeni LGBTQ kugonga mwamba, maana Qatar ilisimama kidete kusema haiwezi kuruhusu kwenye ardhi yake mambo machafu kupigiwa kampeni waziwazi!! Timu ya Ujerumani wakaingia uwanjani huku wakilalamika kuwa WAMEZIBWA MIDOMO, na wakatoa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania Inazingatia Misingi ya Haki, Demokrasia, Usawa na Mafanikio

    "Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika kipindi hiki tumekuja na idea ya zile 4R's". - Rais Samia Suluhu Rais Samia ameyasema hayo katika mkutano...
  20. JamiiForums Tanzania Haki ya Kusahaulika ni nini? Kwanini ni muhimu?

    Mnamo Novemba 21, 2022, The Chanzo ilifanya mahojiano maalum na Mkurugenzi wa JamiiForums Maxence Melo kuhusiana na haki ya msingi ya binadamu ambayo watu wengi hawaifahamu: haki ya kusahaulika. Melo, ambaye ni moja kati ya wadau wakubwa wa haki za kidijitali nchini Tanzania, amesema haki hiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…