haki

  1. JamiiForums Tanzania Siku ya Haki za Kijamii Duniani 2023

    Inaadhimishwa Februari 20 kila mwaka ikiwa na lengo la kupaza sauti dhidi ya dhuluma katka jamii, Umoja wa Mataifa (UN) unaeleza Kaulimbiu ya Mwaka 2023 ni ‘Kushinda Vikwazo na Kufungua Fursa za Haki ya Kijamii’. Umasikini na kukosekana usawa vimeongezeka kutokana na migogoro ya kiuchumi na...
  2. JamiiForums Tanzania Shule zetu (Kayumba vs Wakishua (private schools)

    Mtoto wa maskini anasomea daftar gharama zaidi ya elfu mbili |2000 na mtoto wa tajiri shilling mia mbili. Maskini ataendelea kuwa maskini Na tajiri kuwa tajiri kwa sababu ya hali ya nchini. Elimu bure iko wapi au fumbo mfumbie mjinga! bora ingebaki ada ya shule mara kila siku mwanafunzi...
  3. JamiiForums Tanzania Bomoabomoa Kipunguni, Ukonga walipwe haki zao

    Habari za jioni Kumekuwa na tathmini mbalimbali hapa kati kupisha ujenzi wa uwanja mpya wa ndege maeneo ya Kipunguni, Ukonga. Mwekezaji ametoa mzigo mzuri watu walipwe, kinachoonekana wale wanaopima wamebadili kuwa dili zao. Hapa kati walipita nyumba kwa nyumba wakati wa kupima na pia wote...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya wananchi/wadau kuwasilisha mapendekezo ya jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai

    Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko kuhusu wananchi kutoridhishwa na utekelezaji wa majukumu ya Taasisi zinazosimamia haki Jinai nchini kuanzia kwenye ukamataji wa mtuhumiwa, upelelezi,utoaji wa dhamana, uendeshaji wa mashtaka, kesi na eneo ambalo aliyehukumiwa anatumikia kifungu chake...
  5. JamiiForums Tanzania Vurugu za London za mwaka 2011 zinaweza kuwa za msaada mkubwa kwa tume ya haki jinai

    https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
  6. JamiiForums Tanzania CCM inahitaji pongezi nchi hii, tulipotoka tunapajua wenyewe. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni

    Kwa wale waliozaliwa miaka ya 60 na 70 na 80 wanaelewa tunaposema japokua mapungufu yapo ila serikali ya Tanzania chini ya CCM inahitaji pongezi kwa tulipofika mpaka sasa. Vijana wa nchi hii wanahitaji kuelimishwa zaidi katika hili maana wamekua mabingwa wa kulalamika tu. Mnyonge mnyongeni ila...
  7. JamiiForums Tanzania Approach ya Rais Samia ya Tume ya Kuchunguza Haki Jinai haitawaacha madhalimu salama

    Wasalaam wana JF Mama yetu ana akili kubwa ana safisha uozo kwa umakini mkubwa. Ushaidi utatolewa na udhalimu utawekwa wazi na madhalimu watatajwa na kujulikana. Si muda mrefu tutajua mbivu na mbichi, tutawajua watesi wa watanzania na unafki wao utawekwa hadharani. Mwenye Enzi Mungu...
  8. JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Wananchi hawana imani na taasisi zinazotoa haki

    Siku tatu baada ya Tume ya Kutathmini Mfumo wa Haki Jinai ianze kazi yake, imesema Tanzania kuna mmomonyoko na upungufu wa imani za wananchi kwa taasisi zinazotoa haki. Tume hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti, Jaji mstaafu Mohammed Chande na Makamu wake, Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Ombeni...
  9. JamiiForums Tanzania Bunge halijatenda haki kutowasilisha muswada wa Bima ya Afya kwa wote

    Naendelea kushangaa juu ya kigugumizi cha wabunge juu ya muswada huu muhimu unahusu afya za watanzania. Hili ni jipu la muda mrefu sana lenye kuhitaji tiba. Siku za nyuma Serikali imekuwa inakwepa kuwasilisha muswada huu bungeni. Hata hivyo vision ya Rais Samia ilikuwa ni kuwasilisha muswada...
  10. JamiiForums Tanzania Wameamua wawe na mtoto moja tu licha ya kuwa na uwezo wa kuongeza na kulea, je hii ni haki kwa mtoto wa kiafrika?

    Ni wazazi wawili, mke ni mhasibu taasisi ya kiserikali, mme ni engineer, kielimu wapo vizuri kuna moja aliweza kusoma masters yake nje ya nchi na mwingine ni hapa hapa bongo ila ana elimu kubwa. Mtoto walie nae ni moja tu yupo darasa la saba. Sababu kuu ya kuwa na mtoto moja ni mke kutotaka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ana nia njema Watanzania wapate haki, ila Watanzania hawajui Haki! Je, Tumsaidie kuelimisha umma Katiba, Sheria na Haki au?

    Wanabodi, Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Nipashe ya leo 5/02/2023 Makala ya leo, ni kuhusu haki za binaadamu, na kwa wale wenye kumbukumbu mzuri ya safu hii, makala za mwanzo kabisa zilikuwa ni makala mfullulizo za “Kilio Cha Haki” ambazo nilizungumzia sana haki jinai. Ukosekanaji wa Haki...
  12. JamiiForums Tanzania Hapa mnyonge tutamnyonga na haki yake hatutampa ng'o

    Nilikuwa nikijiuliza hivi inawezekana vipi serikali iongozwe gizani na kwa wakati huohuo tunaambiwa eti unapambana na ufisadi. Unawezaje kupambana na ujambazi au ufisadi gizani. Ndo mana hata kwa nyumba tu taa zinawashwa usiku kwa nje ili jambazi au mhuni akina au akikatiza uweze kumuona na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Umekosea Prof. Adolf Mkenda: Utendaji mzuri popote sio haki

    Hakuna jamii yeyote Duniani ambayo kuna usawa kwenye kila kitu. Hata hapa Marekani watoto wa George H Bush wamekuwa maarufu na kuwa Governors na mmoja Raisi kwasababu babu yao alikuwa tajiri, baba akawa tajiri akaweza kuwasomesha shule nzuri sana na kuwapa elimu bora. Hii haina maana kwamba hawa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuwasaidie wananchi kupata haki zao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika kuhakikisha wanapata haki zao kwa wakati ametoa wito wa mapitio ya sheria ili kupunguza michakato...
  15. JamiiForums Tanzania Je, mtoto wa nje ya ndoa ana haki ya urithi?

    Habari za asubuhi, mchana na jioni. Hapa mtaani kuna sekeseke limetokea, mzee mmoja Mangi wa Rombo ameowa mwanamke wa kidogo kutoka mkinga huko Tanga. Katika maisha yao ya ndoa wamejaaliwa watoto 3 ila katika hao watoto mmoja wa kiume sio wa Mangi na alimpima DNA huko kenya ikaonesha kweli sio...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini Februari 1, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2023 PROF. EDWARD HOSEAH, RAIS WA TLS Mh. Rais, dhana ya Suluhu kutatua migogoro na kukuza uchumi imekuja...
  17. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai kuanza kuzichunguza TAKUKURU, DCEA, Polisi, Magereza na Mahakama kesho

    Akizungumza leo Jumanne Januari 31, 2023 Ikulu Chamwino, Dodoma wakati akizindua tume ya kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, Rais Samia ameitaka tume hiyo kuichunguza ofisi hiyo juu ya utendaji kazi na uendeshaji ili kubaini kasoro zilizopo na kutoa mapendekezo...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt Mpango: Kuna manung’uniko mengi ya Wananchi kuhusu mifumo yetu ya haki jinai

    Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango amesema manung’uniko hayo ya Wananchi yanaonesha changamoto nyingi zilizopo kuanzia ukamataji wa wahusika kujua hata haki zao pamoja na ucheleweshaji wa upelelezi. Amesema “Nitoe mfano kuna kijana alikamatwa mwezi mmoja na nusu uliopita #Mwanza, wazazi wake...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo wa kudai haki jinai nchini imeharibika kutokana na kupuuza mifumo ya maadili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha Taasisi za Haki Jinai chini Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 31 Januari, 2023 Katibu Mkuu kiongozi Moses Kusiluka Jukumu kubwa la tume ni kufanya tathmini ya kina ya mfumo wa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania WANAOJISIFU NI WATENDA HAKI, KUMBE WAO NDIO WAPINDA HAKI KULIKO

    Angalia sana kila anaejisifu na kujidai kutenda haki, sio wote wapo kama wasemavyo, Huku wanasema hivi na kule wanasema vingine, Chukua tahadhari sana Ikibidi chambua sana mpaka upate kitu safi 100% halafu ndio uunge mkono Wengi huwenda kwa maslahi yao zaidi Angalieni wasiwapoteze Haki hutendwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…