haki

  1. JamiiForums Tanzania ACT: Kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu kwa Wakazi wa Kitongoji cha Miyomboni - Bagamoyo wanashinikizwa kuhama

    Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na kinalaani vikali ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ubomoaji wa makazi, uteketezaji wa mali, vitisho na ukatili unaofanywa na Kampuni ya Nolic kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilimo ya Azania Noble dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Miyomboni Kijiji...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

    Utawala wa sheria maana yake nini? Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga. Haki za wengine hawana habari...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza UNESCO kuhama kwa hiari Ngorongoro ni kulinda utu na Haki za Binadamu

    Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea. Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
  4. JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  5. JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Majibu yangu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi baada ya kunitaja katika hotuba yake akiongea na Asasi za Kiraia za Haki za Binadamu

    Kwako Dr Emmanuel Nchimbi; Nimechukua muda kutafakari uliyoyasema nchimbie lakini sasa acha nikujibu: Leo umeonyesha uungwana kwa maneno maana umesema kuwa uanaharakati si uhasama - na ulinitaja kabisa pamoja na kwamba ninajua kuwa jina langu akilisikia kimama chenu hukasirika ile mbaya - so...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  7. JamiiForums Tanzania DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu

    https://www.youtube.com/watch?v=PAgUqKix-FA DKT. NCHIMBI: Haki za Binadamu ni pamoja na Kijana anayetaka kusikilizwa, Mwananchi anayetaka kutoa maoni bila hofu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameyasema hayo leo, Julai 24, 2026, akiwa Mgeni Rasmi...
  8. JamiiForums Tanzania MADA: Kati ya Amani na haki ipi ianze mwanzo

    Mimi maoni yangu  Amani ni mlango wa haki. Huwezi kudai haki kwa bunduki mkononi. Hebu kwanza tuweke amani, ndipo tuketi mezani tuzungumze haki. MADA: Amani vs Haki - Ipi ije Kwanza? Wadau, Tumekuwa tukisikia watu wakisema "tunataka amani" na wengine wakisema "tunataka haki". Swali langu...
  9. JamiiForums Tanzania Kama Hana Haya usoni, atateka, ataua, na bado atasema "Tanzania tunajali Haki za Watu "

    Katika Makosa aloyafanya Magufuli, ni kukubali Kikwete kumchomekea huyu aliyefeli Darasa la Saba, akarudia rudiaz Kumaliza Kidato cha Nne tu ilikua ni vita patashika Nguo kuchanika ambaye Mwisho akaishia kusoma ELIMU za Mambo mbalimbali Kitu linateka, Linauma watu, Limemfunga Lissu bila sababu...
  10. JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Lazima Tubadilike, Tuwe Wakweli Na Tuishi Haki

    https://www.instagram.com/reel/Da0YWM7ilrx/?igsh=bDU3OGppamRkZWpv
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji wa Mbulu inatunyanyasa Watumishi wake kwa kutunyima haki zetu za msingi

    Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu. Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  13. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  14. JamiiForums Tanzania Jaji mkuu ana lalamika ucheleweshaji wa kesi na haki.

    Huyu angekuwa baba mkwe wangu kwa mke wangu nahisi mke angenikimbia. Hivi huyu jaji mkuu kafikaje mpaka kuwa jaji.
  15. JamiiForums Tanzania Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na anayedai haki nani ni Gaidi ?

    Kati ya chama kilichowaua watu ,kufanya utekaji na ulawiti wa watu na kuwapiga watu,kufanya ufisadi Nk na chama kingine kinachodai haki kipi ni chama gaidi? Nafikiri CCM mjirekebisheni kwa sababu Mungu anaweza kuzichoka tabia zenu na kuwaangusha.
  16. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Tunaamini katika ndoto ya kweli. Ndoto ya haki, ukweli na usawa. Sasa Chadema tutaifanya ndoto ya watanzania iwe ya kweli. Chadema hatupo kutaka kugawana madaraka na CCM ndio tuite maridhiano. Tunaamini katika maridhiano ya kweli. Walioamini kwenye maridhiano ya kugawana ela, vyeo na...
  17. JamiiForums Tanzania M7/7 Salute kwa wapigania haki wote wa Tanzania popote walipo!

    Kwa mara nyingine tena, wapigania haki wa Tanzania tumeonesha nguvu yetu kwa watawala haram very clearly. Hakuna ubishi kwamba sisi hatuna hata manati, lakini (for more than a week now) tumewalaza na viatu na kuwaandamanisha nchi nzima mazafakas wenye bunduki na vifaru. Na hii ni episode one tu...
  18. JamiiForums Tanzania Amani haijengwi na kutunzwa kwa njia ya kututumia SMS, amani hujengwa pale haki inapopatikana

    Wasaalam Makampuni ya simu yamekuwa yakituma ujumbe wa kuhimiza wananchi "kudumisha amani." Kwa mtazamo wangu, ujumbe huo unaweza kuwa na nia njema. Hata hivyo, unaibua swali muhimu: je, amani inaweza kujengwa kwa kutuma ujumbe mfupi pekee, wakati wananchi wengi wanaendelea kuzungumzia masuala...
  19. JamiiForums Tanzania Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

    Maxence Melo Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote. Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja...
  20. JamiiForums Tanzania DAR: Wizara ya Ardhi yatoa Hati zaidi ya 470, Waziri Dkt Akwilapo ahimiza ufanisi, Haki na weledi katika utoaji wa huduma

    Zaidi ya wananchi 470 wamepatiwa Hatimiliki katika banda la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakati wa Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba), yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Akizungumza leo, Julai 5, 2026...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…