Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu?
Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,?
Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
Mara nyingi tumekuwa tukiweka mifano ya USA kama ndio Target, lakini kwa wakati husika inabidi tupatumie kama what not to became; na upuuzi unaofanyika sasa unaweza kupelekea ionekane kama ni the norm, hivyo hata kama tumepotea sasa hivi kama target ni Current USA basi huenda ndio tutadumbukia...
Wataalamu wa Afrika wamepongeza nafasi ya China katika kuendeleza haki ya maendeleo katika bara zima la Afrika, wakisisitiza namna inavyoheshimu njia ya kipekee ya maendeleo ya kila nchi.
Hayo yameejiri wakati Semina ya Kwanza ya Haki za Binadamu kati ya China na Afrika ilifanyika Ijumaa huko...
Kada wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina amedai kuwa miongoni mwa sababu zilizopelekea 'misukosuko ya kisheria' kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ni kwakuwa anapigania haki, demokrasia na ulinzi wa raslimali za Taifa
Akizungumza na wanahabari kwenye viunga vya Mahakama Kuu ya Tanzania...
Rais wa Chama cha Wanasheria nchini Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, ametoa tamko kali akilaani kitendo cha polisi kuwashambulia raia na Wakili Mahinyila ndani ya viunga vya Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam.
Amesema, “Shambulio lolote dhidi ya wanasheria ndani ya eneo la Mahakama ni...
Nachanganyikiwa mnyonge ni mtu wa aina gani? Mgonjwa ama maskini?
Kama mnyonge ni mgonjwa sasa hawa wagombea wanaojiita wanyonge tunachaguaje wagonjwa wasio na nguvu watutumikie? Watapata wapi nguvu ya kututumikia? na Taifa litaendeleaje?
Kama mnyonge ni maskini kama mimi niambiwe maana...
Disclaimer:
Uzi huu umeandaliwa kwa madhumuni ya kutoa elimu na kuibua mjadala wa kitaalamu na kiraia kuhusu uamuzi wa TCRA dhidi ya JamiiForums. Yalichopishwa hapa hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri rasmi wa kisheria, bali ni uchambuzi wa kisheria na kikatiba kwa lengo la kuelimisha na kujadili...
Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate.
Mfano.
Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi.
Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
Haya ndugu zangu Wanaccm nimeona na mimi niazishe thread yakuwajibu wahuni wa no reforms no election twende nao sambamba hawa watu mpaka kieleweke kati ya sikio na kichwa nani kamzidi mwenzie
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo huwezi kuipoka kwa namna yoyote ile, you cannot abrogate freedom of expression.Hii haki ya kikatiba...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kibamba kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, leo Septemba 2, 2025, akiwa kwenye mkutano wa kampeni katika Kata ya Saranga, amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura akibainisha kuwa dalili za uchaguzi huru na wa haki zinaonekana...
Kwa sasa nchi ipo kwenye sitofahamu, Kila kiongozi anajinasibu yuko sahihi, swali wanataka kutupeleka wapi, tuko wapi na tunaelekea wapi?
1; Nikimuuliza comrade Kikwete nani ametufikisha hapa atajibu nini??
2: Nikimuuliza Mh Samia tuko wapi na unataka kutupeleka wapi je utakuwa na jibu!!
3: Hoja...
Habarini ndugu zangu wana JF, jana nikiwa naburudika bar ukazuka mjadala wa walevi kuhusu no reforms no election
Kinachosikitisha asilimia kubwa ya wadau waliochangia hoja wanadai hizo reforms hazina msaada wowote kwa raia wa kawaida zaidi zaidi ni janja janja ya Tundu Lissu kujipatia urais...
Mtanzania anaogopa kufa na au kuwa mtumwa akidai haki yake wakati tayari ni maiti na mtumwa.
Mnaogopa kutekwa wakati tayari ni mateka,kweli mmekuwa mateka chini ya chama tawala chenye elementi za udikiteta .
Hakuna usawa watu wanaingiziana mabilioni kwenye account zao,wanaendesha magari ya billion 20 lakini Mimi hata hela ya kula sina,nimekopa kausha damu hivi sasa nimepata presha hela ya kulipa Sina,nawasihi Angela Kizinga,Elvis na Abdul mnionee huruma mniletee hata kabilioni na Mimi nipate raha...
Unajua ni sehemu tu tuliyobakisha ambayo uwezo wa JF ndio uwezi kufanya kufungia comment na tukawapa makavu mfano wakina chiembe Lucas Mwashambwa ChoiceVariable MamaSamia2025 October 2pm Tlaatlaah Niko pamoja na Samia @nicholasmari said: na wajinga member wengine ambao wanasupport uwovu na...
Wanabodi
Kufuatia mazungumzo ya rais wa TLS juzi kuomba kuonana na Rais Samia,kumuomba pamoja na mambo mengine,ni kuomba Lissu aachiwe,kanuni za uchaguzi zirekebishwe,Chadema ishiriki uchaguzi.
Kiukweli,sijawahi kuona rais msikivu kama Samia!,siku ya Jumanne mtu aombe kumuona rais,kesho yake...
Habari ya Wednesday Wana Jf,
Neno la Leo Kwa ufupi,
Watu tunasahau sana tukidhani tutatawala daima. Tukumbushane tu ZAMA hupita. Leo watu Wanadai Haki na mambo mbalimbali Kuna viongozi hawaumizi kichwa Katika Hilo lakini miaka MITANO iliyopita waliitaka hiyo Haki.
Nani asiyejua kuwa Kuna...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 26, 2025 jijini Dar es Salaam, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema kumekuwapo na msisitizo mkubwa wa kulinda amani nchini huku haki ikisahaulika.
Amesema ni muhimu kutambua kuwa amani ya kweli haiwezi kuwepo...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jjijini Dar es Saam rais wa TLS Chama cha Wanasheria (Tanganyika Law Society ) Wakili Mwabukusi amesema kuwa kuna maeneo 7 critical na 6 niya muhimu sana hata kesho yakifanyiwa marekebisho uchaguzi unakuwa wa uhuru na haki tukikaa mezani tuone tatizo liko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.