haki

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa makanisa na misikiti kulipa kodi ili wapate uchungu na kusimamia HAKI

    Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake. Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha. Haiingiit akilini eti...
  2. haszu

    JamiiForums Tanzania Yule asemae asie na haki anahaki, na mwenye haki hana haki, wote hao ni waovu

    Naam, ni kutoka kwenye Biblia, pia yasema " Wema watawalapo watu hufurahi ila waovu watawalapo, watu huugua. Katika kutafakari neno hili nami nikaona si watu linalougua bali wapenda haki ndio wanaougua, yaani kuteseka. Wale waovu , wanaonufaika na uovu na wale wajinga ambao hawafaidiki chochote...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  4. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Wakristo, waislamu, na wapenda HAKI wote kesho tuungane na Wakatoliki katika SALA NZITO ya kuombea taifa

    Tumsifu Yesu Kristu ...kama ambavyo Mwashamu Baba Askofu Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, alitoa tangazo hili lilionea duniani kote kwa Wakatoliki wote na watanzania wote Duniani kote kwamba kutakua na Sala maalum kuombea taifa hili HAKI na AMANI kwa siku tisa mfululizo, Mungu ashuke naona...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakazi 700 Bagamoyo wapeleka kesi Mahakamani kudai kubomolewa nyumba zao kinyume cha Sheria

    Wakazi wa familia zaidi ya 700 wa Udindivu, Mtaa wa Kizimkazi, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani, wamefungua kesi ya madai katika Mahakama ya Wilaya ya Bagamoyo wakidai kubomolewa nyumba zao bila kufuata taratibu za kisheria. Wananchi hao wanasema hatua hiyo imewaacha bila makazi, huku baadhi...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Samia au mtoto kwa kikwete walikuwa wana nafasi nzuri ya kushinda uraisi kwa haki sio kwa njia hii wanayoitumia

    Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua kwenye sura za nchi na za kimataifa njia mbaya sana. Mtoto wa raisi mstaafu kikwete pia alikuwa na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Werrason kwa hiki Chuma na huyu Rapa kautendea haki huu Wimbo ambao sasa ni gumzo Congo DR na Kwingineko

  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

    Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka. Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi...
  9. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  10. winnerian

    JamiiForums Tanzania Kwa lugha ngumu ni kwamba: MFUMO UMEKUWA MALAYA WA UFISADI KUPINDUKIA NA KUKOSA CHEMBE YA HAKI

    Na matokeo yake hata mtu mwema aingie kwa kutumia mfumo huu, cha kwanza unamuharibu na kumfanya mtu mbaya sana. MFUMO NI MCHAFU KIASI KWAMBA HATA UWE NA NDOTO NZURI KIASI GANI, HATA UWE NA NIA NZURI KIAS GANI HUWEZI KUTENDA LOLOTE. BADILISHENI MFUMO UWE MFUMO MWEMA IBAKI KUWA NI JUKUMU LA MTU...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Aibu kwa Mhimili wa Mahakama: Kutoka kutumiwa kama kielelezo cha Utetezi wa Haki hadi kutumiwa kama kielelezo cha kuminya Haki

    Miaka ya 2000 hadi 2012 tuliofanikiwa kwenda kwenye Makongamano mbalimbali ya Masuala ya Haki, Afrika na Duniani kwa Ujumla tulikuwa tunaona ufahari mkubwa kujitambulisha kuwa tunatokea Tanzania kutokana na Maamuzi makini yanayotetea Haki za Binadamu na sanity kwenye Utawala wa Sheria yaliyokuwa...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Maduu: kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu

    Ndugu Wakili Maduu William Afisa uchechemuzi kutoka kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC) kwa niaba ya kituo cha sheria na haki za binadamu akitoa salamu katika mkutano wa CHAUMMA Amesema kilio kikubwa cha Asasi za kiraia ni ulinzi wa haki za binadamu kwa nguvu zote na ulinzi wa utawala...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kutetea Haki sio lazima uwe Chadema. Wapo Wanaccm wanaopenda Haki kuliko waliopo Chadema

    Poleni na Msiba! Kwa wale mnaofurahia hongereni! Ndugu zangu, kila siku Taikon nawaambia kuwa Haki ni jambo la mtu binafsi. Ni kama Imani tuu. Kamwe usije ukajiunga Dini au Chama fulani cha siasa kwa sababu ati kinajifaragua kutetea HAKI. Nope! Haki haipo katika Chama au Dini. Haki hukaa...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania Mithali 1612 Wafalme wakitenda yasiyo haki ni chukizo; Maana kiti cha enzi huthibitika kwa haki

    ……… Kwa manufaa yake wenyewe siyo Umma Britanicca
  15. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Shahidi wa Siri Bila Msingi: Uvunjifu wa Katiba, Sheria na Akili ya Haki

    Ni lazima tuseme kwa uwazi na kwa msisitizo: hakuna ushahidi wa ‘siri’ uliowahi kuwepo katika muktadha halali wa kisheria wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni uhalisia wa legal fact, na kinyume chake ni manufactured narrative inayokiuka misingi ya Katiba ya JMT, hususan Ibara ya 13(6)(a)...
  16. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ili lipo wazi kura za maoni kuna michezo live

    Hii nimesikia live katika kura za maoni kuna kituo wameongezwa wajumbe hewa 120 up kufika 400 na kufanya yule ambaye ana stahiri kushinda kushindwa alisikika msafiri mwezangu kwenye bus akiongea na simu Kwa madai yake ni kuwa hata MB akimaanisha mbunge kachukia tukio ilo maana na yeye ana hisi...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi CCM Kubadili Katiba Kuwatendea Haki Wana CCM, Nini Kilishindikana Kubadili Katiba ya JMT Kuwatendea Haki Watanzania?. Je Huu ni Uzalendo?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe Jumapili ya leo Leo naomba nianze makala yangu kwa mafunzo ya dini yangu, yanayosema mchungaji mwema, mwenye kondoo 100, kondoo mmoja akapotea, atawaacha wale kondoo 99, kwenda kumtafuta yule kondoo mmoja aliyepotea, na itakuwa furaha...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
Back
Top Bottom