Hili ni somo kwa mashabiki. Muwe na akiba ya maneno kuunga mkono kila kitu.
Hivi kweli viongozi wenu wanaweza kukaza mpaka mwisho? Kama sio kuja kula matapishi yenu ni nini?
Hao viongozi sio watu wa kuwaamini sana. Fikiria kuna mtu aliitukana Yanga mzima matusi ya nguoni kwamba hamna akili...
Alianza press yake kwa mbwembwe sana,akimnanga rais wa TFF na TFF yake,ghafla akaulizwa swali na mwandishi kuhusu X wake aliyemkashifu,alijibu kwa kinyonge na kumaliza press.
Wakati wa kutoka nje alionekana akibubujikwa machozi na kusema anamuachia Mungu
Hii ni mara ya pili Haji Manara...
Kwa tuliosoma vyema Lugha na Mbinu za Lugha kwa hakika tumekushangaa sana kwa jinsi Haji Manara ulivyoishupalia hii Kauli ya Rais wa TFF Wallace Karia aliposema kuwa Yanga SC wakaendelee na Sinema zao kama wamechoka Kucheza Mpira. Na najua wapo wana Yanga SC Wapumbavu nao watakuwa wamekuunga...
Kama ulikuwa unataka Kumsema Rais wa TFF Wallace Karia kutokana na Chuki zako Binafsi basi ungetafuta right platform ya Kumsema lakini siyo wakati wa Uzinduzi wa Mfuko wako wa Haji Manara Foundation unaacha kutuambia Malengo yako na unatumia muda mwingi Kumzungumzia Karia na TFF.
Kwanza mtambue kuwa Haji Manara hajawahi kuwa mwana Yanga SC kutoka Moyoni bali ni mwana Simba SC lia lia aliye Yanga SC kwasababu tu za Maslahi mapana ya Kiuchumi.
Pili alichokifanya Haji Manara ni kutafuta tu Uungwaji mkono wake wa Taasisi yake aliyoizindua kutoka kwa wana Yanga SC na hasa...
Ukimuona kobe juu ya mti ujue kapandishwa..Manara anapata wapi ujasiri wa kuisemaea yanga..Manara ni nani kwenye uongozi wa yanga...Manara ndio mratibu mkubwa wa mambo ya kitoto kwa kisingizio cha utani wa jadi...Manara anasahau kama anadhalilisha watu....juzi kati alimdhalilisha askari...
Kitendo cha Manara kuitisha Press Conference na kuizungumzia Yanga kwa Lugha za kushurutisha timu dhidi ya TFF na Rais wa TFF bila kuwepo msemaji wa Yanga Alikamwe, ni kuivunja heshima Yanga. Yanga ni taasisi yenye heshima nchini ikijihusisha na Soka na bidhaa za soka, lakini kitendo...
Kwa akili ya kawaida tu wala you don need to go to school kwamba Zungu katumwa kufanya uchochezi kwa niaba ya wana utopolo.
Wamemtuma kuropoka na sio vinginevyo, wako nyuma yake, wao wanamlipa mshahara, wanamhudumia mkewe kwann asiropoke.
Kama ameweza kuwakana Simba kwa sababu yao hawezi...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amezungumzia sakata la mechi ya dabi ya Kariakoo pamoja na kauli ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, kuhusu ombi la Yanga SC la kutaka Bodi ya Ligi ijiuzulu.
Soma: Manara amchana Rais wa TFF, Wallance Karia...
Inadaiwa Haji na Mkewe Zai, wanamtuhumu MaiMartha Jesse kwa kumtusi Mkewe Zailyisa kupitia mahojiano na Online Tv yake ya Mai Tv, kuwa ni mwanamke asiyefaa kuwa mke wa Mtu kutokana na kitendo chake Cha "Kutoka" na ex wake siku Moja kabla ya mfungo wa mwezi mtukufu, walipokutana katika harusi ya...
Mimi namuona kwenye mitandao ya kijanii kutwa ni kujimwambafai tu kuwa anamiliki pisi kali,mara wako wanafuturu kwenye mahotel makubwa.
Lakini kiukweli huyu jamaa sijui anafanya shughuli gani ya kumpatia pesa za kula bata namna hiyo.
Mwenye kujua anijuze tafadhali.
Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
Tunajua kuwa unatumia mwanya huu kutaka kuonekana una Uchungu na Yanga SC na unaipenda (wakati si kweli kwani Wewe ni mwana Simba SC lia lia) ili Maamuzi Makali yamhusuyo Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe yakitolewa Wiki ijayo au baadae basi Uongozi wa Yanga SC ukurudishe Wewe katika Usemaji na siyo...
Na mlichokisahau mlijitahidi sana kulificha hili hasa wa Waandishi wa Habari mbalimbali ila mkasahau kuwaambia Walinzi wa Hoteli husika nao Wauchune wasiseme na hata Wataalam wa IT wa hiyo Hoteli nao Wauchune na kama kawaida yangu Mzee wa Kuzipata zile Taarifa Ngumu na Zilizofichwa Tanzania...
Manara ametusaidia toka akiwa bado Simba na baadaye walipomfukuza aliendelea kutusaidia. lakini naona kwa sasa mnamwona kama hana mchango kwa Yanga hapa ilipo. Nimeona hata kwenye harusi haji mmweka mbali na hamumpi ushirikiano mkubwa na heshima yake. tukumbuke ametutoa mbali sana.
Kila nikiangalia Picha za Matukio mbalimbali ya Haji Manara na Mkewe Zaylisa naona ni kama vile Haji Manara ni Mtumwa Tukuka, analazimisha Kupendwa na Mkewe Zaylisa halafu ananyenyekea kiasi kwamba huenda hata huwa anampigia Magoti Mkewe Zaylisa ili asimuache.
Na hata nikimuangalia Mkewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.