Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mkurugenzi Mtendaji wa Manara TV, Haji Manara , ameibuka kidedea katika kura za maoni za kuwania nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kariakoo, jijini Dar es Salaam.
Kura hizo za maoni zilifanyika leo Jumatatu tarehe 4 Agosti 2025, chini ya usimamizi wa chama...
Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji.
Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa...
Wakuu!
Baada ya msanii chipukizi wa Singeli, Dogo Patten, kususia mahojiano kwenye kipindi cha Gen Talk cha Mjini FM, gumzo limeibuka mitandaoni likihusisha watangazaji na mashabiki. Tukio hilo limezua hisia kali baada ya vipande vya mahojiano kuonyesha watangazaji wakimshinikiza msanii huyo...
Wakuu!
Hili la Haji Manara na mke wake wa zamani Rushaynah "kujifanya wamerudiana" linapaswa kuangaliwa kwa jicho la pili.
Ni kama sehemu ya mkakati wa kupotosha fikra za Watanzania na kuwatoa kwenye reli ya mjadala mzito unaoendelea kuhusu mustakabali wa Taifa letu, hususan sakata la viongozi...
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi.
Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia kofia.
Muda si muda watazamaji wanagota laki +.
Na ukweli hawa hawakunifuata mimi.
Wamemfuata Haji...
Baada ya Haji Manara kutangaza nia ya kutaka kuwa Diwani Kariakoo na kuchukua Fomu kupitia chama cha Mapinduzi CCM
Dulla Makabila, amemua kutoa ya moyoni kuhusu maamuzi hayo ya Haji Manara
“Kama pale tu ulikuwa hauna mamlaka yeyote na ukaninyoosha ndugu yangu safari hii ntasikia tu...
Mwanahabari na aliyekuwa Msemaji wa zamani wa vilabu vya Simba na Yanga, Haji Manara, amechukua Fomu ya kuwania Udiwani katika Kata ya Kariakoo, Jimbo la Ilala kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Zoezi la uchukuaji fomu...
wakuu
======
Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central.
Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
"Inawezekanaje mechi inachezwa kati ya Simba na Yanga alafu refa ni Haji Manara? Yaani mtu atachezewa faulo katikati yeye atapeleka kwenye penati wakati hata hakuchezewa kwenye box. Au mshika kibendera ni Ahmed Ally, offside zote atasema ni magoli. CCM wametulazimisha tuende kwenye uchaguzi...
Nimeandika sana Threads zako hapa JamiiForums na Kukushauri mengi ila una Kiburi, Ushamba na Upumbavu mwingi. Haji Manara hivi kuna Mtu ambaye hajui na nakumbuka hata Baba yako alishakuambia kuwa Wakosee wote ila siyo Mo Dewji kwa Mema ambayo Tajiri wa Watu alikufanyia (hasa Kukufungulia Dunia)...
Wanaume kama manara ni wachache mno siku hizi
Mimi siku nipate mwanaume atakaenipokea bila hata Nida hakii ningeshukuru
Wengi ni materialist.huna kitu anakuchezea Tu.
Mungu atamlipia Manara
Ngoja niongee nae mtu mzima mie Kwanza Nida ninayo.
Hebu nawe msaidie Rafiki yako wa wasiwasi kwani ANAUMBUKA tu sasa Mitandaoni japo huwa Unamtumia kama Condom. hasa katika Kukufanikishia mambo yako ya Yanga SC na akishayatimiza kwa 100% na Wewe kuona Ufanisi wake huwa Unamtupa na hata Kumpiga Majungu na Rafiki yangu mwana Yanga SC lia lia...
Wakuu,
Wanatumia mbinu zile zile, kila jambo kubwa (lenye maana) likitokea lazima kizuke kitu, Makala alipotoa boko la kutishia usalama wa taifa na Ebola huku la Siglada likazuka, likapelekwa hadi muda wa ripoti ya CAG. Jana Lissu amekamatwa chaaaap saga la Manara na twiga wake likawa...
Ni dhahiri kwamba kwa sasa Haji Manara fedha imekata. Keller zoote,lakini msingi wake hela hakuna.
Ally Kamwe na yeye amekaba balaa, aisee wapare wana unga wa miti na makopera. Tutamaliza makafara ya mbuzi na kondoo za Dar kwa ajili ya huyu dogo. Ni mkavu kama mwili wake. Dogo hachimbwi dawa...
Tukiwa watoto pale Mnazi Mmoja Primary School enzi za Headteacher Mzee Chalila.
Tulipata mwanafunzi mgeni tukaambiwa ametoka Bunge Primary School .
Mimi somo la Hisabati lilinipiga chenga ila masomo yote yakujieleza pamoja na English nilikuwa vizuri sana,huyu mgeni yeye alizijua hesabu kwa kiasi...
Ni kwamba......
1. Hata siku moja usije Kumuamini 100% kiumbe kiitwacho Mwanamke
2. Hata siku moja usipende Kujimaliza 100% kwa Mwanamke / Mkeo
. Hata siku moja ukiwa katika Public usipende sana kumtambia Mkeo wa Watu kwani hawa Hawatabiriki
4. Hata siku moja usiyaamini maneno matamu matamu...
Bibie sasa anataka kuweka Hadharani Jambo lako na yule Tajiri wa Dubai (sasa Marehemu) na Tajiri wako wa sasa Dar es Salaam. Haji Manara kwa bahati mbaya Wanahabari wengi (hasa wa Michezo) wanajua hilo tatizo lako na nakumbuka hata baadhi wa Watu wa Simba SC walitaka Kukupiga nalo likumalize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.