Kumekua na matukio mengi sana kwa watu kuuliwa maeneo mbali mbali nchini kuanzia mwishoni mwa mwaka 2021 hadi leo hii kila siku yanaibuka mauaji sababu zikiwa wivu wa mapenzi,dhuluma,tamaa ya mali na hasira.
Binafsi naona kwa hali ilivyo sasa uhai wa binadamu umekua kitu cha kuchezea kama...