hai

“Haï” is an essay written by French Nobel laureate J. M. G. Le Clézio.

View More On Wikipedia.org
  1. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Welcome back TAL in political Arena. Ila, kumbuka Adui yako mkubwa bado yupo HAI, you used to offend the wrong enemy

    Pole Sana Kwa unayopitia na uliyopitia. Najua utakuwa umepata mshangao mtu mwenye akili za juu Kama wewe kutumika kumshambulia the wrong enemy. Hii ndo Ccm inaweza kumtumia yeyote yule kwa interest zake. Kitu ambacho nakupa Kama ushauri wewe na wasaidizi wako make sure Una follow ur instinct...
  2. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Nyerere: Ungekuwa hai, ungeshashitakiwa kwa uhaini.

    https://vm.tiktok.com/ZMAYcHd7T/
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali na Polisi Kilimanjaro mnataka mauaji yatokee Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai ndio mje kutoa salamu za rambirambi?

    Hofu kubwa imetanda kwa Wananchi wa Kijiji cha Mbatakero, Wilaya ya Hai, Mkoani Kilimanjaro kutokana na uvamizi unaofanywa na wafugaji wa Kimasai kwa Wakulima Maskini wa kijiji hiki huku uongozi wa kijiji hasa Mwenyekiti ukishutumiwa kupokea rushwa kutoka kwa hawa wafugaji ambao ni wageni eneo...
  4. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Walio hai wanaweza jitetea

    Usitungie marehemu hadithi kutafuta umaarufu; mambo ambayo wahusika ambayo can’t back up. Wakati hata familia hawajaulizwa. Hili ni jukwaa la merit
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea katika kipindi ambacho waheshimiwa watazomewa watakapokuwa wamekufa kutokana na yale waliotufanyia wakiwa hai

    Nakumbuka msiba wa baba wa Taifa ndiyo ulikuwa msiba wa kwanza kuleta huzuni kwa Taifa la Tanzania,msiba wa pili ni wa Rais wetu kipendwa Magufuri,naamini pazia la huzuni ya kweli lilifungwa kwa wale wanaojiita waheshimiwa,kama hawatabadilika basi wasubirie zomeazomea kutoka kwa watanzania na...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Inakuaje CHADEMA wanamtaja Hayati Magufuli kila mada zao ina maana wanamuogopa aliyepo madarakani sasa

    Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

    Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji. Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani? Serikali ikiwa upande...
  8. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  9. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kufarijiana kunaendelea kule Bumbuli karma ipo kazini siku zote

    Nakumbuka namna Mzee Makamba alivyokuwa akitokwa na maneno mazito kiasi cha meza kuu yote kuinama chini kwa kujawa na aibu, waliingiwa na tahayari (uncomfortable) ya wazi usoni mwao. Mzee Makamba akasema wema huwa hawafi huku akichombezwa na vicheko vilivyokuwemo mle ukumbini. Lakini miongoni...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 kwenye Kila Vizazi hai Vya Mifugo 100 Mifugo 27 ilikufa Mwaka 2024 Vifo Vimepungua hadi Mifugo 12 tu,Tunamtaka Samia Tena.

    SASA, KATIKA KILA VIZAZI HAI VYA MIFUGO 100 MIFUGO 12 TU HUFA KUTOKA MIFUGO 27 MWAKA 2020 KUTOKA NA SABABU MBALIMBALI. Rais Samia amepunguza kwa 225% Vifo vya Mifugo vitokanavyo na magonjwa mbalimbali Kwa kuanzisha mipango ya kutoa ruzuku ya mbegu na madawa(chanjo) Kwa Wakulima | Wafugaji...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  12. Organic Uncle

    JamiiForums Tanzania ORGANIC SUSTAINABLE AGRICULTURE. kilimo hai endelevu

    Kilimo hai endelevu Kilimo hai – kilimo kisichotumia kemikali za viwandani kama vile mbolea na dawa za kuua wadudu; hutegemea mbinu za asili. Endelevu – kilimo kinacholinda mazingira, kuendeleza uzalishaji wa muda mrefu, na kuzingatia ustawi wa jamii na uchumi. ELIMIKA
  13. FORTUNE JR

    JamiiForums Tanzania Jinsi simu zinavyoua roho za Vijana wakiwa hai

    Tunazaliwa katika zama ambazo simu zimekuwa na akili kuliko watumiaji wake. Mitandao ya kijamii imepata ushawishi mkubwa kuliko wazazi au walimu, ikitoa maarifa yasiyoisha lakini bila hekima. Vijana kama Jaden, mwenye miaka 19, wanakaa usiku kucha wakichunguza Instagram, TikTok na Telegram...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Mdude Nyagali wanatia huruma. Haijulikani kama yupo hai au amefariki

    Inatia huruma sana
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu- Viongozi waliokuwa madarani minaona acha waendelee sababu wananchi hai wanataka nini japokuwa sikubaliani na mambo mengi wanayoyafanya

    MIMI NIMETANGAZA NIA YA KUWA RAIS WA TANZANIA NI UKWELI WATU WANAHAKI YA KUNIPINGA ILA NASHANGAA SANA WATU HAO HAO UNAWAKUTA WANALALAMIKA KWENYE NYUZI NYINGINE Kuna watu kibao hawamsupport Rais Samia na ccm cha ajabu wanakuambia makonda anafaa, wengine dotto biteko, wengine makamba, wengine...
  16. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ajali: Bus la Hai Express limeshaua Watu. Polisi wanaitwa wakaokoe

    Ajali Nyingine: Bus la Hai Express limeshaua Watu. Kwenye Video Polisi wanaitwa wakaokoe
  17. A

    JamiiForums Tanzania Afisa wa Hamas Osama Hamdan: Mohammad Al Sinwar yuko hai

    Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.
  18. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Napenda kuuliza Serikali Huwa inawapeleka wapi watu wanaokufa na kuzikukwa Kisha wanapatikana wakiwa hai?

    Mapendo Daima..... Hiki kitu Huwa najiuliza mara nyingi sana Kila akipatikana mtu wa aina hii serikali huwachukua na kwenda nao na Huwa sijui inawapeleka wapi na kamwe Huwa hawarudi maisha Yao yote. Kuna tukio lilitokea Gaita kijijini miaka kadhaa imepita nikiwa Moja ya mashuhuda wa tukio...
  19. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Majeshi ya Israel yanamsaka Izz ad-Din al-Haddad kamanda pekee aliyebakia hai!!!

    Huyu ndiye afisa mkuu wa mwisho wa mrengo wa kijeshi wa Hamas ambaye anachukuliwa kuwa mmoja wa wasanifu wa Oct 07,2023 na bado yuko hai - Izz ad-Din al-Haddad, Kamanda wa Brigedi ya Gaza. Yeye ndiye shabaha inayofuata, shabaha inayofuata ya kuondolewa. Gaidi huyu wa kudharauliwa anayelivunjia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwabukusi: Tunamtaka Mdude akiwa hai

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, amevitaka vyombo vya dola kuhakikisha kuwa mwanaharakati Mdude Nyagali anapatikana akiwa hai, huku akilaani vikali kauli ya kutolewa zawadi ya Shilingi milioni tano kwa atakayesaidia kupatikana kwake akiwa hai au mfu...
Back
Top Bottom