Katiba haina hadhi

Katiba haina hadhi

Haki Madhubuti

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
201
Reaction score
182
Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT.
Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua huyu ndugu kaisoma katiba Ila mapenzi ya dini anataka furaha katika jambo hili.
Her silence means a lot. Labda hataki malumbano na uongozi wa Zanzibar.
Tusilee uoga, unafiki na itikadi kali. Lazima viongozi wawe majasiri, wakweli bila kuogopa changamoto mbele yao.
 
Screenshot_20260616-171956~2.png
 
So what! Muungano mambo lazima yawe “even”.
Hakuna kitu kama hicho.
Tanganyika walishaivuruga Zanzibar kwa miaka mingi sana, hakuna Mtanganyika aliepaza sauti kukemea uovu wa watanganyika kwa Zanzibar iweje wakati huu ambao Wazanzibari wameanza kuona tofauti kwa kipindi kidogo tu cha miaka michache. Watanganyika mnabweka kama mbwa koko.
Historia ina kawaida ya kujirejea.
Wazanzibari wanahitaji Zanzibar yao yenye mamlaka kamili.
Tafakari!
 
Acha hisia na tafakari. Unity yetu sio ya lazima lakini ilikuja wakati so many forces wakijaribu kufanya mambo yao. “Cold War agenda”. Na pia Maritime issues ilichangia.
 
Taratibu za international Maritime boundaries inaipa Zanzibar eneo zima la bahari kuu pamoja na nusu ya Zanzibar channel. Tanganyika mtakula wapi uchumi wa bluu? Mamlaka kamili Zanzibar lazima!
 
Sasa imezidi katika utawala wa JMT, Katiba haina hadhi. Tanzania ni nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar. Tamko la rais wa Zanzibar Kwamba 17th June ni Holiday ni kosa la kisheria na pia “stubbornness” kwa utawala wa rais Hassan wa JMT.
Sheikh mkuu wa Tanzania aliomba pia “Bara” wapumnzike”. Najua huyu ndugu kaisoma katiba Ila mapenzi ya dini anataka furaha katika jambo hili.
Her silence means a lot. Labda hataki malumbano na uongozi wa Zanzibar.
Tusilee uoga, unafiki na itikadi kali. Lazima viongozi wawe majasiri, wakweli bila kuogopa changamoto mbele yao.
Hapo kwenye stubbornness ulikusudia kufikisha ujumbe gani?
 
Rudi shule
Nipo kidato cha nne mwaka huu.
Mwezi huu nipo likizo
Muda huu nipo kwa mjomba Karagwe, nacheza game kwenye screen yake ya mita 2 ukutani aliyonunua Jijini Tokyo wakati huo akiwa anachukua shahada ya pili ya Uhandisi.
 
Taratibu za international Maritime boundaries inaipa Zanzibar eneo zima la bahari kuu pamoja na nusu ya Zanzibar channel. Tanganyika mtakula wapi uchumi wa bluu? Mamlaka kamili Zanzibar lazima!
Tanganyika sio land locked country.
 
Back
Top Bottom