Sisi wakatoliki kuungama ni amri ya Kanisa, tena inakujitaji kuungama dhambi zako zote walao mara moja kwa Mwaka...(Unless kuna updated version)
Sasa tukiwa vijana wadogo secondary huko kuna janja wa form five hivi alikuwa katoka seminar akawa anatueleza conspiracies za kuungama na ukoloni...
Wanabodi,
Makala yangu Gazeti la Nipashe la 24/11/2024
Vipindi 6 vya TV vya PPR Kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
1. Prog. 1 - Ufunguzi wa Waziri wa Habari, Jerry William Slaa - https://youtu.be/bTs3S76UuoY
2. Prog. 2 - Mada Kuu-1 -Wajibu wa Media kwenye Uchaguzi wa Serikali za...
Habari zenu wana JF mimi ni mgeni humu, na nilikua naomba mnisaidie japo ushauri.
Nina mjomba wangu .amemaliza kidato cha nne mwaka huu na nikimuuliza kuhusu ndoto zake na kitu anachopenda kufanya ananiambia anapenda computer na umeme na anatamani awe mtu anaefanya kazi za graphics...
Muungano wa vilabu vya waandishi wa Habari nchini(UTPC),wameingia kwenye mvutano mkali la waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro baada ya kuzuia mkutano wao usifanyike.
Mkutano huo uliokuwa umepangwa kufanyika kesho ,umepigwa pini na UTPC kwa madai ya kuwepo kwa hisia Kali kutoka kwa waandishi...
Mwenyekiti Mbowe, kwa kiasi kikubwa, bila ya kuwahusisha viongozi wenzake na wanachama, ndiye aliyeingia kwenye maridhiano bandia na Samia. Na ni yeye, ndiye mara nyingi aliwashawishi wanachama na viongozi wenzake kuwa maridhiano yalikuwa na faida na dhamira njema.
Leo kila mmoja ana uhakika...
Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa
kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini
wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma.
Bora hata jirani zetu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katibu wa Itikadi ,uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Mheshimiwa CPA Amos Gabriel Makalla anatarajia kuzungumza masuala mazito na waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi muda wa saa nne Asubuhi ya Leo Ijumaa ya tarehe 29.
Ambapo msemaji huyo wa CCM chama kiongozi Barani...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto wanayafurahia kweli. Tafsiri yake inawachochea kutamani kutumia.
Hii iwe hata kwa matangazo mengine...
Poleni kwa majukumu.
Ndugu zangu hapa katikati kuanzia miaka ya 2010 limeibuka wimbi la waandishi wa habari pamoja na vyombo vyao vya habari ambavyo vimekua ni zaidi ya janga kabisa.
Kwanza kabisa waandishi hawa ni weupe kichwani kiasi kwamba hadi wanatia aibu, mfano kuna radio na waandishi...
Habarini wenyeji wangu.
Kwa mwenye kuzijua ofisi za Tume ya maendeleo ya Ushirika TCDC Dodoma anielekeze na kama una chombo cha moto kama boda boda anipeleke asubuhi hii majira ya saa mbili.
Kesho mh. Rais atakuwa katika mahafali ya Mzumbe University. Niliwahi kufika hapo, majengo yao yanakufanya uvute kumbukumbu za High School, au primary schools, hakuna ghorofa.
Thinking aloud, coz bodi ya mikopo inakula karibu trillion, let universities justify what they feed the...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 nchini, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendesha mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo Waandishi wa Habari mkoani humo kuhusu masuala ya uchaguzi.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo Novemba 23, 2024...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa, amesema licha ya kufungua milango ya ushirikiano kwa Wadau wa Sekta ya Habari kuifikia ofisi yake wakati wowote, anawaalika kuwa tayari kusema, kusikia, na kukubaliana na hali halisi.
Waziri Silaa alitoa kauli hiyo leo...
Naombeni kuuliza maana hapa kunawatu wanabishana mmja anasoma diploma in accountance chuo cha TIA Na mwingine DUCE bachelor of education in physics.
Ni nani anaweza kuajiliwa kwa haraka kuliko mwingine japopokwa kunachangamoto ya ajira. Nani anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha mshahara...
Naombeni kuuliza hapa kuna nduguu angu anahitimu chuo kikuu kwa kozi ya bachelor of education in physics,
Je anaweza kutumia cheti cha f4 au f6 kuweza kuanza kozi nyingine mbali na hiyo
Nadhani kuna shida mahali kwenye tasnia hii. Zembwela ni wale comedian katika habari. Ivona Kamuntu na Salim Kikeke ni magwiji katika tasnia. Ikawaje Zembwela ambaye elimu yake katika habari haijulikani, akawa Mwenyekiti wao?
Hii tasnia haina seniority?
Maswali yaliyokuwa yanaulizwa pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.