habari

  1. JamiiForums Tanzania Afisa Habari wa TFF: Sio kila jambo kuandikiana barua.

    "Klabu ya Yanga wao wamefika hapa TFF wameleta barua na kuondoka na wamesema hawana chochote cha kuzungumza na sisi na hata Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidao alipomuita CEO wa Yanga wazungumze alikataa, hizi ni taasisi kubwa na sio kila jambo tunapaswa kuandikiana barua kama tunatoa posa"-...
  2. I

    JamiiForums Tanzania Msaada; Naweza kuomba mkopo kusoma shahada nyingine nikiwa bado nina mkopo?

    Kwanza nashukru, nyote ni wazima wa afya . Naombeni kuuliza hivi, ukisoma education na ulipata mkopo kama unataka kuongeza degree nyingine mara baada ya kihitimu. Unarudisha mkopo kwanza ndo uombee tena ?? Na kama ushaanza chuo kwa muda wa mwaka 1, je inawezekana kufuta usajili uka apply upya
  3. JamiiForums Tanzania Yanga wameamua kuvaa roho ya fitna kama nguzo yao kuu ya habari

    Leo nimeona niamke na Neno la Uzima. Natumaini litaenda kuwabariki wasomaji wengi. Moja ya tabia mbaya ambazo mtu unaweza kuhusishwa nazo ni tabia ya kueneza fitna. Ni moja ya nguzo za shetani zenye nia ya kuleta taharuhi, kuharibu na kuficha ukweli. Ukweli unahusishwa na Mungu. Uongo...
  4. JamiiForums Tanzania Askofu Musomba: Hatuwezi kuhubiri injili pale ambapo haki haitendeki, Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka

    "Tutahubiri habari njema ambapo haki inatendeka." Mhashamu Stephano Lameck Musomba, Askofu wa Jimbo Katoliki Bagamoyo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Serikali iwe makini sana na hivi vyombo vikubwa vya habari km ITV na Mwananchi, hasa Mwananchi kipindi hiki cha uchaguzi wadhibitiwe, not friendly

    Watanzania huwa tunafuatilia hotuba za kiongozi wetu mkuu wa nchi, from A-Z tunajua Rais alichozungumzia. Jana Rais alikuwa kwenye ibada ya Iddi Kinondoni-Dsm, mashehe walisisitiza amani, utulivu wa nchi, umoja wa kitaifa, kaangalie gazeti la Mwananchi leo "BAKWATA yataka haki uchaguzi mkuu"...
  6. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu

    Mmmh Mkurugenzi mzima wa idara ya habari anaandika hivi. CHAUMMA jitajidini muwe na namna ya kuvutia kwenye uandishi wenu
  7. JamiiForums Tanzania Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

    Wanabodi Leo ni siku ya Jumapili,najitahidi siku za Jumapili,niwe naleta mada za holistic approach Huu ni uzi wa swali tuu, nimeona jinsi washabiki wa NRNE walivyo chachamaa kwenye mitandao ya kijamii,utadhani wametiwa ndimu!,mtu yoyote ukiposti chochote,wanakuja na NRNE sio tuu za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na kichwa cha habari hiki, Jasusi la mbinguni lamkimbia mama

    Habari yenyewe inaanza kwa kusomeka hivi:- "Ktk hali isiyokuwa ya kawaida, jasusi toka mbinguni lamkimbia mama. Ni maajabu na kweli, lkn yametokea. Jasusi toka peponi laufyata kwa mwanamke. Japo jasusi liliahidi kuchafua hali ya hewa mpk moshi utoke endapo watekaji wataendelea...
  9. JamiiForums Tanzania DRC yapiga marufuku Vyombo vya Habari kutoa taarifa kumhusu Rais Mstaafu, Joseph Kabila

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imepiga marufuku vyombo vya habari nchini humo kuripoti kuhusu shughuli za aliyekuwa Rais, Joseph Kabila, pamoja na kufanya mahojiano na wanachama wa chama chake cha siasa. Amri hii inajiri wakati kukiwa na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya Bw...
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wa Yanga wapiga marufuku Vyombo vya Habari na Viongozi kufanya promotion mechi ya Juni 15, wasema wakinyang'anywa points siku hiyo ligi itaisha

    Wazee wa Yanga SC wameomba isitokee chombo cha Habari chochote kikatangaza ama kufanya promotion ya mchezo wa Juni 15 na kuitaja Yanga SC. Wazee pia wamesema isitokee Kiongozi wao akapeleka kwani akipeleka timu uwanjani juni 15 ataondoka yeye milango ipo wazi. "Tarehe 15 ndio itatoa taswira ya...
  11. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kuwekewa ngumu kufatilia uchaguzi Burundi

    Toka jana, waandishi na watangazaji wengi nchini Burundi, wamekwama jijini Bujumbura. Lengo lao lilikuwa kufuatilia mchakato mzima wa uchaguzi. Chama tawala cha CNDD-FDD, kiligawa nchi na kupata majimbo 5 ya uchaguzi. Waandishi hao na watangazaji, kwa mjibu wa taratibu za chama tawala, CNDD-FDD...
  12. JamiiForums Tanzania Una habari? Mwisho wa mambo yote umekaribia!

    Mwisho wa mambo yote umekaribia; basi, iweni na akili, mkeshe katika sala. Zaidi ya yote iweni na juhudi nyingi katika kupendana; kwa sababu upendo husitiri wingi wa dhambi.
  13. JamiiForums Tanzania Vichwa vya Habari Vya Magazeti hapo Kesho

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Mwananchi "Furahisha yamfurahisha ndugu BENSON MASALA MAKALI SINGO KIGAILA" NIPASHE "Oparesheni C4C (CHAKA FOR CHAKA) Yaanza Kwa Kishindo Jijini Mwanza" MWANAHALISI "Mrema na wenzie waambulia aibu katika Viwanja vya Furahisha" MAJIRA...
  14. JamiiForums Tanzania Habari zenu ndugu watanzania

    Hope you are doing good
  15. JamiiForums Tanzania Matumizi ya pombe kupungua kwenye nchi ni habari nzuri au mbaya?

  16. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  17. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  18. JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  19. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi kapotosha, hakuna chombo cha habari kimefungiwa kwa kumkosoa Rais

    1. VYOMBO VYA HABARI VILIVYOFUNGWA Katika mkutano wa Oslo Forum, Maria Sarungi ametoa madai ya kupotosha kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini, akieleza kuwa kuna vyombo vingi vya habari vimefungwa na Rais Samia ili kujitengenezea njia rahisi ya ushindi wa Mwezi Octoba. Hakuna chombo cha...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, nina milioni tatu nataka nikaanze maisha

    Habari za muda wakuu, Nina milioni 3, nataka nikaanze maisha sijui pakuelekea, nipo Arusha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…