habari

  1. Daby

    Kwani kesi ya Lissu haiwezi kurushwa na vyombo vya habari?

    Sheria inasemaje? Kesi kurushwa live... Mahakama haiwezi kuingiza mamia ya watu ila wakii-stream kesi hata tulioko vijijini tunaangalia. Sijui sheria inasemaje? Au vyombo vya habari havijawahi kuona umuhimu wa kurusha kesi! Au sheria inaruhusu wanahabari wanahofia kuwa blackmailed na dola...
  2. Kisesetusese

    Ni miaka sasa niliacha kutazama habari kwa tv

    Siasa Imeacha nisiangalie habari yyt kwa tv. Kuna mengi sana dhuluma na ufisadi. Kutowajibika kwa watendaji wa umma
  3. Imani rubaba

    Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  4. UHURUWANGU

    Vyombo vya habari Tanzania - Bado ni BASTOLA ya Wananchi au zimegeuka kuwa SILAHA za Watawala?

    Katika jamii yoyote huru na inayothamini demokrasia, vyombo vya habari ni uti wa mgongo wa haki na uwajibikaji. Habari ni daraja kati ya wananchi na watawala. Waandishi wa habari ni walinzi wa ukweli, si mashabiki wa nguvu. Lakini leo hii, nchini Tanzania, swali kubwa linazidi kuibuka: Je...
  5. Fbn

    Vyombo vya habari vya siku hizi vimegeuka tabia za kusifia mabosi wao kukashifu watu mfano Baba levo

    Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond. TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
  6. Nyani Ngabu

    Tanzania tena kwenye habari za kimataifa!

    Labda ni hisia zangu tu ila naona kama vile Rais Samia kapunguza safari za mara kwa mara nje ya nchi. Kama kweli safari zake zimepungua, moja ya sababu yaweza kuwa ni sifa mbaya ya serikali yake kuhusu uminywaji wa demokrasia. Habari za kukamatwa kwa Tundu Lisu na zile za kutokushiri chaguzi...
  7. A Father

    ITV Tanzania na kidokezo bila habari kamili

    Taarifa ya HABARI ITV SAA 2 usiku wa tarehe 14/04/2025 imenishangaza na kuniachia swali mbona kimepitishwa kidokezo pekee bila kusomwa habari ya serikali kupiga marufuku masomo kuendelea likizo?
  8. Dalton elijah

    Matumizi ya Akili Mnemba Kwenye Taaluma ya Habari

    Katika enzi ya kisasa ya kidijitali inayobadilika kwa kasi, ujumuishaji wa akili bandia (AI) katika tasnia umesababisha mabadiliko ya uandishi wa habari . Teknolojia za AI zinaunda upya jinsi habari zinavyokusanywa, kuchambuliwa na kusambazwa. Wakati maendeleo haya yana ahadi ya ufanisi zaidi...
  9. Dalton elijah

    Maswali Yanayoulizwa kuhusu Matumizi ya Akili mnemba katika Taaluma ya Uandishi Wa Habari

    Maswali yanayoulizwa mara kwa mara 1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
  10. N

    Sheria za Habari Zanzibar bado kizungumkuti

    Katika Sheria ya Usajili wa Uwakala wa Habari, Magazeti na Vitabu Namba 5 ya Mwaka 1988 iliyofanyiwa marekebisho na Sheria no 8 ya Mwaka 1997 yapo maneno kadhaa yaliyotumika ambayo yanaonekana kuwa na mapungufu na ambayo yanakwaza uhuru wa Vyombo vya Habari. Matumizi hayo ya maneno...
  11. Youbettersleep

    HABARI MABOSS ZANGU : JE! UNAHITAJI RAMANI YA NYUMBA AU CHOCHOTE KATIKA UJENZI? BONYEZA 👇👇👇

    Habari! Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING) 2. Makadirio ya UJENZI (BOQ) 3. KUJENGEWA NYUMBA UKINUNUA MATERIALS AU KUTUKABIDHI PESA 4. USIMAMIZI WA JENGO LAKO BEI ZETU NI NAFUU SANA...
  12. The Palm Beach

    JasusiTV: Kukamatwa kwa Tundu Lissu, kufunguliwa shitata la uhaini kwampaisha. Vyombo 200+ vya habari duniani vyaripoti CNN, BBC, REUTERS, ALJAZIRA et

    https://youtu.be/ifBfgCwGG70?si=5olE9Kvs15AlxqIb ➡Ni ndani ya masaa 48 tu baada ya kukamatwa kwake kisha kufunguliwa mashitaka ya uhaini.. ➡Zaidi ya vyombo vya habari 200+ duniani kote ikiwemo CCN, SKYNEWS, AlJazira, BBC, Bloomberg, Lebanon News, vimeripoti tukio hili si ktk mtazamo wa kuwa ana...
  13. Echolima1

    Mjumbe wa Trump, Steve Witkoff anakutana na Putin huko St Petersburg

    Baada ya mkanganyiko wa mambo mengi yakiwemo masuala ya Iran, Tarrif Rais wa Marekani amtuma mjumbe wake ili kuzungumza na Putin kuweka sawa mambo yao.
  14. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Golugwa: Hatujawahi kusema tunataka Kupindua Serikali bali kupinga mifumo mibaya ya uchaguzi, na hii ndio maana ya Uasi

    https://www.youtube.com/live/H2WF6FYA97Q GOLUGWA: HATUJAWAHI KUSEMA TUNATAKA KUPINDUA SERIKALI Naibu Katibu Mkuu Bara – CHADEMA), Amani Golugwa akizungumza na Wanahabari leo, Aprili 11, 2025 katika Makao Makuu ya Chama Mikocheni, amesema Chama chake hakijawahi kutoa tishio la kutaka...
  15. B

    Natafuta kazi ya ualimu masomo ya Kiswahili na Literature

    Natafuta kazi ya kufundisha Secondary Kiswahili na Literature. Nimesoma, bachelor of education in adult education and community development
  16. Dalton elijah

    Waandishi Wa Habari Wanazidi Kuteketea huko Gaza

    Waandishi wa habari wameendelea kulengwa na kupoteza maisha katika mashambulizi ya mara kwa mara yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, hali inayozidi kuzua hofu na maswali kuhusu usalama wa vyombo vya habari kwenye maeneo ya vita. Katika tukio la hivi karibuni mwandishi wa habari Ahmed...
  17. Selwa

    Vyombo vya habari Tanzania ni hovyo! Suala la Chionda linatia aibu!

    Mambo 10 kufikirika kuhusu interview ya chionda ambayo inatrend 1. Picha inaanza Crown FM wameficha kwamba jamaa anaitwa Abas Chionda, yani ni muislam. Ameulizwa jina anasema Chionda tu, jina moja kwani ye mnyama? Wamefanya maksudi sababu wakristo wangekuja juuu kwa namna anavoongea unaweza...
  18. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kuendelea Kutoa Elimu kwa Waandishi wa Habari Mitandaoni

    SERIKALI KUENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAANDISHI WA HABARI MITANDAONI "Je, Serikali imejipangaje kuhakikisha ongezeko la vyombo vya habari mtandaoni haliathiri maadili na utamaduni wa Taifa letu" - Mhe. Toufiq Salim Turky, Mbunge wa Jimbo la Mpendae "Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano...
  19. S

    TBC acheni kujipendekeza Zanzibar ina chombo chake cha habari ZBC; Rais wa Tanzania yuko Dodoma nyie mwafanya nini Zanzibar?

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko Dodoma kwenye maadhimisho ya wiki ya afya kitaifa, TBC badala iturushie matangazo ya Rais Samia mubashara wenyewe wako Zanzibar kurusha matangazo ya waziri wa sheria wa kijikisiwa cha Zanzibar. Huu kwanza ni utovu wa nidhamu kwa Rais Samia ambaye...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Natangaza Habari Njema kwa Watanzania Wote

    Ndugu Watanzania wenzangu, Leo nasimama mbele yenu kwa moyo wa shukrani, upendo na tumaini kuu, nikitangaza Habari Njema si habari ya siasa, biashara, wala maendeleo ya kidunia, bali habari ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai, ambaye alikuja duniani kwa ajili yetu sote maskini kwa...
Back
Top Bottom