habari

  1. Komeo Lachuma

    Kwa nini Muhamad Wakristo wanamdharau, hawana hata Habari naye na hata heshima ipasavyo hawampi?

    Ukiacha kuwa Biblia haikuwahi kumzunguzia utasema ok. Ni sababu yeye alikuja miaka 600 plus baadaye. Lakini pia hakuwa na umuhimu katika Uyahudi na Ukristo. Yaani Biblia imemzungumzia hata mtu mpumbavu ikamwacha Mohamed. Nyie Wakristo kwa nini hata heshima hamumpi? Mnakaa kumtuhumu tu shutma...
  2. prync

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS

    Oya wazeee habari, ivi wataalamu wa interview za TBS embu tupeanile possible angles hasa kwenye kazi za CIVIL ENGINEERS
  3. MWANAHARAMU

    Inahitajika uwe na moyo mgumu kupinga Mila, tamaduni, dini za jamii yako achilia mbali kusema hadharani na vyombo vya habari

    Pongezi na pole ziende kwa Wachokonozi na huyu mwamba mpya anaitwa Chihonda. Hawa jamaa uwezo wao wa kuchallenge foundation za jamii kuhusu Imani na tamaduni zake inastaajabisha. Tena wanasema na kuongea hadharani.............
  4. Mme_Wangu

    Habari I'm a new member!

    Natumain umzima wa afya mimi ni mgeni humu natumaini nipata ushirikiano na nitajifunza mambo mengi Kwa sasa nipo Dar es Salaam. Hari ya hewa ya Leo ni mvua na kibaridi Kwa mbaaari. Asante
  5. Blasio Kachuchu

    Waajiri wathamini taaluma ya uandishi wa habari- Dkt. Mkoko

    Na Mwandishi Wetu. BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili. Akizungumza katika mahojiano na kituo...
  6. KakaKiiza

    Kuna hii habari imekuwa ikiwachanganya watu katika mahusiano hasa wadada kudhani ni haki yao!

    Wadada wa mjini wengi wamekuwa wakijikuta katika mivutano mikubwa ya mahusiano bila wao kujua na kubaki wakilia mjini! Unakuta binti kaingia katika mahusiano na mtu wanaamua kusogezana pika pakua wakati akienda kwa mwanaume amemkuta na kiwanja na kibanda au nyumba kabisa! lakini baada ya miezi...
  7. ELI COHEN

    Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
  8. ELI COHEN

    Hadi sasa sijaona online outlet hapa TZ ilio bora katika uandaaji wa content na habari hadimu zaidi hawa wanaitwa "The Chanzo". Tunasubiria TV chanel.

    https://youtu.be/oOR7rZHenKg?si=3XnIsvujJ8Er5PQp
  9. Yoda

    Waziri mlevi wa ulinzi wa Marekani ajisahau na kuvujisha kwa mwandishi habari mipango ya kivita kwa Yemen kupitia WhatsApp!

    Raia wa Marekani wamepigwa na butwaa baada ya mwandishi wa gazeti la Atlantic ambaye ni mhariri kudai aliungwa kimakosa na waziri wa Ulinzi wa US katika group la WhatsApp lilikouwa likijadili mipango ya mashambulizi kwa Houthi huko Yemen. Group hilo la WhatsApp lilijumuisha viongozi wakubwa wa...
  10. Scared

    Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  11. N

    Je, vioo vya TCL vina hali ya kuwa na mambo haya?

    Habari! Nihitaji kununua TCL android tv 32 ". Kwa Bahati nzuri nilifika Kariakoo nikatafuta hizo TCL na kuzIpata lakini cha ajabu vioo vyake naona si kama nlivyotarajia kwani ukivipiga piga (gusa gusa) wakati screen inaplay video vinaleta hali ya mawimbi au mwanga mweupe mdogo.(Unapo vigusa...
  12. L

    Job seeker

    Habari ya muda wanajamii,niende Moja kwa Moja kwenye lengo tajwa hapo juu.mimi ninaujuzi kwenye kampuni zinazotoa mikopo midogo na ya kati(Small and medium sized loans).I offer my services in three different angles: 1.Finance and Accounting. All works concerning accounting and Finance i.e...
  13. P

    Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  14. Setfree

    Shetani nakukemea: Acha kupotosha watu kwa habari za uongo

    Wewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala ya kuwaachia hata pumzi kidogo, unawaongezea maumivu. Unawatupia mapepo yanayowatesa kwa magonjwa...
  15. V

    Hodi hodi wana JF, mimi ni member mpya

    Hodi hodi wana Jf, mimi ni member mpya katika jukwaa hili naombeni mnipokee. Mimi ni mfanya biashara ninayejihusisha na; Kuuza na kufunga CCTV CAMERA. Asanteni.
  16. B

    Mwenye vitabu hivi

    Habari humu ndani. Nahitaji vitabu vifuatavyo: JANGA SUGU la WAZAWA, Vuta nkuvute, nzowa kama sijakosea pamoja na Nagona
  17. 1Africa54

    Habari wana JAMII FORUM je nikitaka kuuza madini lazima niwe na kibali ?

    Habari wana JAMII FORUM naomba kujua nikiwa na madini naweza kuuza bila kua na vibali vya uchimbaji ?
  18. Roving Journalist

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari: Kipaji pekee hakitoshi katika kufanya kazi za kihabari

    Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imeweka bayana msimamo wa kisheria wa Sheria ya Huduma za Habari kuwa kipaji pekee hakitoshi kumfanya mtu afanye kazi za kihabari kama hajapitia katika taaluma ya Uandishi wa Habari na kukidhi vigezo. Msimamo huo umebainishwa na Kaimu Mkurugenzi...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Ukiwa Down hakuna mwenye habari na wewe. Ukifanikiwa hata wale waliokudharau watajifanya wanakujua. Kata shingo wapite hivi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wakati upo down hakuna anayetaka kujihusisha na wewe isipokuwa watu Wachache Sana ambao ni wenye upendo wa KWELI kwako. Hawataki kujihusisha na familia yenu. Na pengine hawataki watu wajue ninyi ni ndugu kwa Sababu ya Hali yako ngumu. Kwenye magrupu ya...
  20. Knock life

    Maulidi Kitenge , anatumika na CCM kufifisha harakati za upinzani , angalia anavyoripoti habari zinazohusu CCM na CHADEMA

    Hii Taarifa ya huyu diwani kuhama Ccm na kujiuzulu angalia anavyo andika. Ushauri endelea Ku-deal na michezo simba na yanga achana na siasa
Back
Top Bottom