Kwanza Nikiri kuwa mimi ni mnufaika wa Mfuko wa Bima ya Afya NHIF,
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekuwa nguzo muhimu ya ustawi wa afya nchini, lakini kwa sasa unakabiliwa na changamoto kubwa ya kuongezeka kwa gharama za matibabu ya magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama shinikizo la damu...
Habari za masiku wana Jamiiforums
Wanaume tuwe wakali kwa wake zetu yani hizi marathon kila mwezi kuombana ruhusu kisa kwenda Dodoma, Arusha au mwanza kukimbiakimbia bila sababu.
Mambo yanayofanyika uko ni uchafu baada ya marathon kuna kuwa na event sijui party wake za watu wanaliwa mpaka...
Wakuuu habari za weekend.
Ndugu zangu kumekuwa na mawazo potofu wanawake wote WANAOENDA gym wanaliwa.
Wakuuu sikatai wanaoliwa wapo hapo ni asilimia 0.01 na wanaliwa na trainer kwa utafiti wangu .Mimi ni mtu wa mazoezi naelewa.
Wakuuu nitoe angalizo msicheze na Dem anaenda gym anaweza...
Mwanamitindo na influencer mmoja maarufu Chelsea Robinson aliamua kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio (bum implants).
Lengo lake lilikuwa kupata umbo la kuvutia zaidi ambalo lingeendana na maisha yake ya mitandaoni, na kuvutia followers wengi.
Lakini mambo hayakwenda kama alivyotarajia…...
Ukipita Kinondoni, Sinza, Tabata na viwanja mbalimbali utagundua kwamba mashoga sasa ndiyo hao wavulana wanaoshinda gym wakibeba vyuma na kujenga miili.
Hali hii sina uhakika, ila nadhani inachochewa na madawa wanayomeza vijana kwa ajili ya kututumua misuli.
Huenda hizo food supplements zina...
Wasalam mabibi na mababu,
Kama mnavvojua wilaya ya handeni - Mkata kwa sasa ni sehemu inayokuwa kwa kasi sana.
Kuwepo kwa Ofisi za Halmashauri Mkata, Hospital kubwa ya wilaya, Lakini yote kwa yote ni mji uliokuwa na muingiliano na watu tofauti tofauti kama vile watumishi wa umma, wafanya...
NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
Wakuu mambo vipi....Binafsi sio mkufunzi(gym trainer) ila napenda sana mazoezi na ninayajua mazoezi kuliko hata hawa wanaojiita ma-trainer,nimeanza kupenda mzoezi ya gym nikiwa form 3 (2013) so unaweza kuona nina experience ya miaka 11.
Mazoezi pia yanaambatana na aina ya vyakula tunavyokula...
Habari
Muda mrefu nimekuwa nikitamani kuanza mazoezi ya mwili gym, lakini mara zote huwa napatwa na hofu kuwa pale gym mimi pekee yangu ndio nitakuwa kimbaumbau
Wale watu wa gym mliwezaje kuanza mkiwa na mili yenu membamba mimi naona noma wakuu.
In most cases, hawa watu huwa wananyege sana.
Kwenda gym kwa ajili yakujikinga kupata hiyo kitu ni kama kuongeza petrol kwenye moto.
Hii sijui kitaalamu imekaaje....
Wandugu kwema,
Naomba kujua kwa maeneo tajwa hapo juu..ni wapi naweza kupata Gym. Nimeulizia sana na kutafuta kwenye mitandao ya kijamii sijaona.
Mwenye kujua anisaidie location na ikiwezekana namba za simu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.