gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Gwajima kazima kiki ya Tundu Lissu

    Wa Tanzania bana watu wa ajabu kweli. Drama ya Gwajima imewafanya wasahau kuhusu Tundu Lissu. Hongera sana GwajiBoy kwa kazi yako nzuri.. Pole sana Lissu. Hawa ndio Wa Tanzania unao wapigania
  2. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Zipo standing orders, siyo ugomvi na Gwajima

    Zipo Sheria zao zinasema vyama hivi vya kiraia visishiriki katika siasa. Nilikuwepo kule siku moja nimekwenda kuanzisha Chama changu cha Buddha. Akatokea kiongozi mmoja,aliposikia nataka kufanya nini, akasema jihadhari,usijihusishe na mambo ya siasa. And this soft-speaking person alikuwa...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Suala la barua kwa kanisa la Gwajima alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya serikali Samia inapima upepo tusimame imara

    Suala la barua kwa kanisa la Gwajima kuhusu kufungiwa alafu mamlaka husika kuingia mitini bila kujibu ni kama mamlaka ya mama samia inapima upepo. Sasa sisi msimamo ni ule ule tunapinga vikali utekaji na mauwaji na hatukubali kanisa lifungiwe kwa kukemea mauwaji hayo, kitendo hiko cha kufungia...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Kwanini barua ya kufungiwa Kanisa la Gwajima itolewa siku ambayo Lissu ahafikishwa mahakamani?

    Tujiulieze ni kwanini barua inayodaiwa kuwa ni ya kulifunga kanisa la Gwajima itokewa siku ambayo Lissu anafikishwa mahakamani? Majibu: Hii ni dalili kesi ya Lissu haiwezi kudumu muda mrefu. Ni wazi watawala hawapendi mjadala kuhusu hii kesi na hivyo ni swala la muda tu kabla hii kesi haijafutwa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naamini Kanisa la Gwajima litakuwa kweli limefungwa, illa Kanisa litakuwa bado halijapkea rasmi hiyo barua

    Kosa la Gwajima ni kukanusha hii habari na kusema eti serikali ni nzuri haiwezi fanya jambo kama hilo. Hapa kakosea sana. Binafsi, naona huu ndio udhaifu wa Gwajima wa kung"ata na kupuliza kuhusu kauli zake kwa serikali na watawala kwa ujumla. Gwajima alitakiwa kusema hata yeye hizo taarifa...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Samaki hana ujanja ukimtoa ndani ya maji, hongera serikali kwa kumtupa samaki Gwajima nchi kavu,tuone sasa ngebe zake zitafanyikia wapi?

    Friends and Our Enemies, Kwanza nichukue nafasi hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya mambo ya ndani kwa kuifunga hiyo huduma uchwara ya anaejiita Askofu. Ilikua ni utamaduni wake wa muda mrefu sana KUGEUZA viwanja vya kanisa lake kama sehemu ya kushambulia serikali na watu mbali mbali...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala siasa

    Gwajima ni mwanasiasa mbunge na ni mchungaji hata kama angekuwa mtumishi wa Mungu pekee bado kukemea utekaji sio kosa wala sio suala la kisiasa ni suala la kupinga ugaidi sasa uagidi na siasa wapi na wapi ? Lawama hizi za uminyaji mkubwa wa wananchi atabeba Samia hata kama kuna watu wanamjaza...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Gwajima two mistakes kudharaiu mamlaka za Serikali na mamlaka za mbinguni, the bible is very clear,please taka radhi

    Wadau hamjamboni nyote? Gwajima it's not too late to ask for msamaha , .
  9. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi: kanisa la Gwajima limefungiwa au halijafungiwa?

    The Citizen ni gazeti. Ni chombo cha habari kinachoaminika. Gazeti linasema kuwa kanisa hilo limefungiwa na Emmanuel Kihampa [should be Kidampa, honestly], ambaye ndo msajili sijui wa nini….Registrar of Civil Societies. So which is which? Kanisa limefungiwa [hata kama taratibu hazijafuatwa] au...
  10. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Mwamposa anaposifia viongozi wa serikali hajaingiza siasa kanisani, Ila Gwajima anapozungumza ukweli anaingiza siasa kanisani

    Huku ndipo serikali ilipofikia. Magufuli pamoja na ukali wake wote, pamoja na mvutano mkubwa baina ya wateule wake na Gwajima, hakuwahi kuthubutu kumfungia Kanisa.Unajua kwanini? Mahala ambapo neno la Mungu linahubiriwa, mahala ambapo watu wanapata huduma ya kiroho ni mahala ambapo hata kama si...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Gwajima akaidi wito wa Serikali wa kufungia Kanisa, Aendesha Mahubiri kama kawaida watu waalikwa Youtube Wengine Kanisani Jioni Hii

    Gwajima ameshea link ya mahubiri yake yanayoendelea kufanyika leo jioni licha ya serikali kufungia kanisa lake. Mahubiri hayo yamerushwa LIVE kupitia link hapo chini Jioni hii baada ya Mamlaka Kufungia kanisa lake https://www.youtube.com/live/g10-9yfylls?si=zRlpPOJivq1pOcJg Gwajima ambaye leo...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Akaunti zote za kanisa la Gwajima, na zile zake binafsi na za viongozi wote wa kanisa zigandishwe (frozen) ila kusubiri hatima

    Nashauri itolewe amri akaunti zote za kanisa, magari, vifaa vya kanisa, viwanja vyote vipigwe tanchi na viwekwe chini ya kabidhi wasii mkuu (Administrator General). Hii iende kwa akaunti za Bodi ya Wadhamini, wajumbe w Bodi hiyo, wachungaji, na viongozi wote wa kanisa hilo nchi nzima. Viongozi...
  13. 888I

    JamiiForums Tanzania Kufungia Kanisa kwa Sababu ya Hoja za Gwajima? Taifa Linapotea Mwelekeo wa Haki na Uhuru

    Tarehe 2 Juni 2025, nimeona barua inayojinasibu kuwa ni ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya kulifungia Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church @ Ufufuo na Uzima, linaloongozwa na Mbunge wa CCM, Askofu Josephat Gwajima. Kisingizio? Lakini kwa anayesoma hali kwa makini, hoja ya kweli ni moja tu...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Gwajima Mbwa Mjanja kamwe habwekei Uani kwa Adui bali hutafuta Kichaka chake cha mbali ili akibweka anajua akimbilie wapi

    Kinachonishangaza una Marafiki zako Mfumoni ila wameshindwa hata Kukushauri namna ya kufanya na umeingia 18 zao.
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumekucha.....na najua sasa hivi Mwamposa na Mwacha huko waliko meno yote Kicheko tu kama Ngiri, kwani Masalia ya Gwajima yatahamia Kwao

    Serikali imetangaza kulifutia usajili Kanisa la Ufufuo na Uzima, linalomilikiwa na Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, ikiwa ni siku moja tangu kiongozi huyo wa kiroho atangaze msimamo wake wa kuendelea kukemea vitendo vya utekaji na watu kupotea. Chanzo: mwananchi_official Gwajima kama...
  16. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Gwajima

    Nina somo rahisi. Wanasiasa walio wengi ni viumbe wasahaulifu hasa wanapokabiliwa na uchaguzi. Somo nililopata ni kwamba Gwajima hakujifunza kitu toka. kwa Job Ndugai. Wanaotaka asamehewe wanapoteza muda.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

    Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume amlipua Gwajima kwa kutaka Misikiti kugeuzwa Sunday Schools

    Katika chapisho lenye maneno makali kwenye mtandao wa X (zamani Twitter), mwanasheria na mwanaharakati mashuhuri Fatma Karume amemshambulia vikali Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kwa nia ya kutaka “misikiti igeuzwe kuwa Sunday Schools.” Kauli hiyo imeibua mjadala mzito kuhusu uhuru wa...
  19. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Askofu Gwajima ni kutopevuka kisiasa na kuuzwa kirahisi katika propaganda

    Inahitaji akili ya ziada kung'amua kuwa alichokisema na anachokifanya Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ni "high level propaganda" yenye nia ya kuwalinda wale wale anaoonekana kuwatuhumu. Mara ngapi inapotokea hali fulani ambayo haina taswira nzuri kwa serikali unasikia mtu anasema "Rais kuna...
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
Back
Top Bottom