Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Habari ya muda huu wakuu, bila shaka walio wengi wetu wamepata fursa ya kumsikiliza Gwajima katika press conference yake , kwa ufupi baadhi yetu tumepokea ujumbe huu namna hii...
~Wengine wanamuunga mkono wakiona anagusa mambo ya msingi kama usalama na mageuzi ndani ya CCM.
~Wengine wanamkosoa...
Leo anawatetea waropokaji, ving'ang'anizi na wasusaji wa michakato ya kidemokrasia wa chadema kuhusu reforms ambazo tayari zimeshafanyika.
Vipi kesho ACT, LND, UDP au CHAUMMA nao wakaja na madai ya reforms kadiri ya mapenzi ya vyama vyao au mashinikizo ya mabwenyenye ya magharibi yanayofadhili...
Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.
Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana
Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
barabara
gwajima
jeshi
jeshi la polisi
kulinda
maji
makazi
mali
polisi
raia
uchimbaji
ujenzi
ujenzi wa barabara
usalama
usalama wa raia
visima
visima vya maji
wajibu
https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?si=GDIRDB1V7Sl-7kpn
Kwenye hotuba yake ya youtube ya leo anadai Serikali imefunga makanisa 2,000 ya Ufufuo na Uzima, na wafuasi wake milioni 4 hawana mahali pa kusali.
Kwa mujibu wa majibu ya AI CHATGPT, wafuasi wa madhehebu ya Pentecostal ni kama...
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa...
Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, akizungumza leo Julai 16, 2025 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari, amesema, "Nataka nisisitize kwamba mimi bado ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi na nitaendelea kuwepo"
"Mara nyingi Watu wasiopenda mema, ukizungumza tu jambo...
Yaani mnajitekenya wenyewe halafu tena mnacheka wenyewe. Kwahiyo mmeana Suala la 'Genius' Lissu huko Mahakamani linawaendea vibaya mkaamua kukaa Kikao na Mfumo ili kuja na Jambo la ghafla ambalo litateka Akili za Watanzania na kutotilia maanani Sakata la Lissu?
Halafu nikiwaambia hamna Akili...
Naibu Katibu Mkuu wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), Askofu Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, amesema Kilutheri la Afrika Mashariki (KKAM) la Ubungo Kibo walilokuwa wakisalia limevunjwa kwa madai kuwa liko eneo la barabara.
Waumini wa Ufufuo na Uzima walikiwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Soma hapo 👉Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Afrika Mashariki (KKAM) lililopo Ubungo Kibo Jijini Dar es salaam ambalo kwa Wiki tatu limetumiwa na Waumini wa KKAM na Waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Josephat Gwajima kufanya Ibada, limevunjwa na kubomolewa...
Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki KKAM lililokuwa Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam ambalo pia kwa jumapili mbili waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima wamekuwa wakisali hapo limevunjwa na eneo hilo panaonekana hakuna ibada zitakazoendelea siku ya leo
Jambo TV imefanya jitihada za...
Kesi ya Kikatiba nambari 16408 ya Mwaka 2025 iliyofunguliwa na waumini 52 wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) inatarajiwa kuanza kusikilizwa leo Julai 11, 2025 katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu inayoketi Dar Es Salaam.
Waumini hao 52 wanadai kufanyiwa...
Shauri lilofunguliwa na Bodi ya Wadhamini la kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa jina la kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Josephat Gwajima limeahirishwa kusikilizwa leo Julai 11, 2025 mpaka tena Julai 14, 2025.
Bodi ya Wadhamini inaiomba Mahakama kutupilia...
Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu!
Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu.
Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!!
Wanakaribia kutema bungo!
Wakuu
====
Ni kweli? baada ya Rais Samia kushiriki kwenye uzinduzi wa mahema ya kanisa la Mwamposa Askofu Gwajima alitoa hii kauli inayosema "Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake"
Naomba kufahamu ukweli wa jambo hili.
Kanisa Katoliki lina uzoefu wa miaka 2025 kupambana na watawala wakorofi wasiopenda haki. Mnachopaswa kuelewa wafuasi wa Kanisa la askofu Gwajima ni kwamba hamtashinda vita vyenu na watawala kwa kuzungumza lugha zizizoeleweka (tongues), hizo hi blaa blaa haswa na hazitowasaidia kamwe!
Kanisa...
- Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao.
- Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini kutobadili msimamo wa imani kwa Mungu wao maana kufanya hivyo nisawa na na kumkana Mungu. Kuna verse...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.