Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
Sababu za kwanini Gwajima alishaona amekufa kisisasa
1. Gwajima aliupata ubunge kwa kauli ya raisi Magufuli, "Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima, Nileteeni Gwajima. "
Gwajima aaliletwa ila kwa gharama za kuharibu uchaguzi, kula fake ziliokotwa kwenye mabox na video zilisambaa, ila akapita...
Hakika kuna jambo Gwajima alikuwa analipanga. Alikuwa anajikosha kujifanya nini sijui, kipindi cha uchaguzi dola inakuwa makini kwa asilimia 1000,000, kama unataka kufadhili magenge ya uhalifu utajulikana tu
==================
"Usiku huo huo majira ya saa tano, kanisa lilivamiwa na magari ya...
Inavyoonekana kila mtu anayempinga raisi wetu hana budi yatamkuta ya kumkuta.
Hao hapo ni baadhi tu ya majina ya watu waliokutana na dhahma kama matokeo ya kupingana na mawazo ya mama.
Kwa bahati mbaya hana muda wa kujibu hoja watu wakitoa hoja yeye anakimbilia kuwashughulikia.
Jazba mihemko...
Hili halina ubishi kuwa sasa kuna kundi kubwa wanaopinga kimyakimya huu utawala huu ambao haujali maisha ya Watanzania
Nidhamu ya woga haipo na ufisadi umetamami kila kona huku wananchi hawana uhakika wa kula hata mlo mmoja
Akina Luhaga mpina wapo wengi . Akina Gwajima wapo wengi ila wamekaa...
Tunapoelekea kwenye uchaguzi, tutaona na kusikia mengi mojawapo yakiwa ya Josephat Gwajima na Humphrey Polepole dhidi ya chama na serikali yao. Je kuna uwezekano wa kuibuka mitandao ya ndani ya kimaslahi ndani ya CCM?
Hawa ma comrade huko CCM kwenye chama chao, wasipuuzwe.
Wanayo maono kuhusu chama chao na wameonyesha uthubutu zaidi ya yehote yule ndani ya chama, huenda ni chambo au wana tengeneza kitu na umoja ambao labda kuna walio nyuma yao. Mungu awasaidie hawafanyi na hawa zungumzi kwa ubaya ni kwa mema.
Kama Gwajima na Polepole Wamesema, Basi Chama Kimeanza Kupiga Chafya.
Homa ya Ukweli Inakuja?
==============For English Audience=============
You know things are getting interesting when voices from within CCM, a party famed for its strict discipline and "family secrets stay in the family"...
Ni kweli nataka kuanza na sisi wananchi, njoo mtaani uone reaction ya watu kuhusu utekaji , wanadhani watu wa usalama wapo Kila kona mtaani , hivyo raia wengi wamekuwa waoga kuongea ,na ukiuliza chochote watatuambia Mimi sitaki kuongea kitu unataka nitekwe, maofisini pia watu wamekuwa waoga...
Nadhani Askofu Gwajima aliiweka wazi hii,ndio Wazalendo namba Moja nchini .
Kuna MTU aliandika humu, kua Wazalendo wetu Kwa Mujibu wa Katiba wanataka mtu ambaye ni Mzalendo pia kwenye Kiti atakyelinda Rasilimali za Nchi na Maisha ya Watu Kwa Wivu mkubwa.
Naam Kwa Nguvu za watekaji, mbinu zao...
Wakati fulani nyuma niliandika humu kuwa siasa za mwaka huu zitakuwa kama za Kenya ambapo Rais ataungana na kiongozi mkuu wa upinzani kwenye jukwaa moja kama Uhuru na Odinga walivyoungana.
Nilisema Mbowe ataungana na Mama Samia na kuunda timu moja ya Kampeni wakati Lissu ataungana na Sukuma...
Friends and our Enemies,
Hebu Gwajima kuwa Mstaarabu,umeskia gwajima kuwa mstaarabu Biashara imeshaisha hiyoo...
Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Gwajima..
Unajua hadi mtu anafikia hatua ya kutengeneza podium fake kuaminisha umma kuwa anafanya Press na vyombo vya habari hewa huku...
Ukisikiliza maneno yake katikati ya mstari kama mwanasaikolojia utagundua mambo mawili au matatu
1-Kujinyenyekeza kwa vyombo vya ulinzi na usalama na kujionesha kuwa ni mtetezi.
2-Kuhadaa wanaohudumu kwenye vyombo hivyo kana kwamba ana ubunifu wa namna ya kuvifanya viwe na maisha bora zaidi...
Wakuu Polepole kaahirisha Mkutano wa Kesho kuipa Nchi usikivu juu ya Uzinduzi wa Dira ya Taifa !!
Uzalendo ndio huo, sio kwamba kaahirisha kwakua anamuogopa Rais SAMIA , La hashaa !! Kaarisha kwakua Kwa Upande Mmoja Watanzania Wanatakiwa Kuielewa Dira yao ya Taifa!.
Hapa pia Kuna kitu, Rais...
Gwajima hafai kuanza kikosi cha kwanza ,anabidi kutokea benchi .
Kwahiyo Mimi namuita Super sub.
"Eti tuwape minimal reform then tuingie katika uchaguzi tuwapige"
Wote ni wachumia tumbo,
Wote Ni matapeli,
Wote ni wanufaika wa mfumo mbovu uliopo,
Hawa Wana tofauti gani na CCM yote? Au Wana tofauti gani na wakina Lowassa, Sumaye, Fatma Karume&.com na magenge yote ambayo baada ya maslahi yao kuguswa ndio waliibuka kujifanya watetezi wa wananchi...
Friends and our enemies
Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...
Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.
Viongozi...
1. Kufanya wafanye kazi kwa weredi na ustadi wa Hali ya juu sana
2. Kutoka kuendesha na kutumika na wanasiasi kwenye mambo ya siasi kisa njaa na familia zao.
3. Kuwafanya wafanye kazi zao bila presha yoyote kutoka kwa mtu yoyote.
4. Kufanya wawe na confidence na wasimuogope mtu yoyote na kuhofua...
Kila kitu kinajionyesha wazi kua muungwana anapitia msongo wa mawazo wa kiwango kibaya zaidi, na binafsi yangu napendekeza apatiwe usaidizi wa mapema hasa wa kisaikolojia. Na kwa hulka yake ya kujimwambafai na kufurahisha wafuasi wake na public kwa ujumla, anaweza kuadai kwamba yupo fiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.