gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Mtu au kikundi kinachofanya utekaji kinaharibu taswira ya CCM

    Hiki ndicho alichoongea Gwajima. Nchimbi kakiongea tena. Hapa yeye ameonesha ujasiri na uimara mwenzie alisema ni drama na akawa anawaya tu hana mamlaka. Tupate somo kuwafanya watu dhaifu kuwa viongozi, ni hasara kwa Taifa. === SAHIHISHO Emmanuel Nchimbi alizungumza haya Septemba 13, 2024...
  2. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Haji Manara anamshambulia Sana Gwajima??

    Haya madhaifu Yake hakuyaona kabla Gwajima hajaamua kua mkweli na kupinga utekaji? Inamana Gwajima asingetoka hadharani kupinga utekaji Manara asingempiga vita, kosa la Gwajima NI kukosoa serikali na kukemea utekaji. Inamana watu kama wakina Manara na Steve Mengele wanafurahia watu kutekwa...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima ameandika barua kuomba msamaha kwa Rais na Watanzania

  4. R

    JamiiForums Tanzania Miaka mitano kwa mbunge yatosha, tuwapumzishe waliokuwepo kupitia funzo alotupa Bishop Gwajima

    Salaam! Nichukue fursa hii Kutangaza kuwa Mimi ni mmoja wa waumini juu ya ukomo wa kutumika kwa Nafasi ya ubunge na kwa miaka mitano pekee. Askofu Gwajima ametupa funzo kuwa, miaka mitano inatosha kabisa kwa mbunge, akatafute changamoto nyingine, haya mambo ya kufanya Jimbo kama lako, ndio...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete ni bora kuliko Gwajima na Mpina?

    Salma Kikwete na Ridhiwani Kikwete bi bora kuliko Gwajima na Mpina!!!!. Huyu Mama ambaye anaongea pumba tu kila akipewa nafasi ni sawa na hawa vipanga !!! Mafisadi naona wameshikilia nchi kweli kweli
  6. Ngongo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa Katiba ya Sasa Gambo,Gwajima hawana pa kukimbilia !

    Heshima sana wanajamvi. Kipindi cha nyuma enzi za TANU na CCM ya wakati uleeeeeee iliwepo nafasi ya wagombea ndani ya chama wanapofanyiwa mizengwe walikuwa nafasi ya kukataa rufaa kwa wananchi. TANU ya wakati ule kipindi cha nyuma waliwahi kuondosha jina la Sarawat kwa mizengwe.Sarawat...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuwakomboe waumini wa kanisa la Gwajima

    Waumini wa kanisa la Gwajima ni watanzania wenzetu ambao wametekwa kiimani. Wanahitaji kukombolewa kutoka kwenye kadhia hii. Waumini hawa wanatumiwa kama vitega uchumi na ngao ya binadamu dhidi ya watu wajanja wanaofanikisha ajenda zao kupitia kwao. Taarifa zilizothibitishwa na DC Msando...
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima & Polepole watajificha mpaka lini?

    Watoke hadharan wahojiwe nn kinawaficha? Kama wanahofia usalama wao mahabusu zipo salama kabisa. Wanapata hifadhi
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki kutoa hifadhi kwa waumini wa Gwajima

    Kufuatia kufungwa kwa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima), viongozi wa kanisa hilo sasa wamesema wamepata hifadhi katika Kanisa Katoliki kigango cha Bikira Maria Kimara Dar es Salaam. Akizungumza leo Julai 27 katika ibada iliyofanyika katika ukumbi wa Kilato uliopo Kimara Stop Over...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki Lawapa Mahala Pa Kuabudia Waumini wa Gwajima

    Katika hali ya kuonesha mshikamano Kanisa Katoliki Limeamua kuwapa sehemu maalumu ya kuabudia waumini wa kanisa la Ufufuo Na Uzima lililochini ya mchungaji Gwajima ambaye pia alikuwa mbunge wa Kawe. Kanisa la Gwajima lilifungwa kwa kukosa vigezo na hii ni baada ya Gwajima kuhoji kuhusu utekaji...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Wajumbe wa CCM Wilaya ya Kinondoni washiriki Mkutano Mkuu Maalum, Gwajima hajaonekana

    Wakuu, Aliyekua Mbunge wa Kawe Askofu Gwajima hajaonekana kwenye mkutano mkuu maalum wa CCM, au ndo kashiriki Mtandaoni?
  13. Tanganian

    JamiiForums Tanzania Naomba kuchangia hoja aliyoleta Mheshima Dkt. Dorothy Gwajima , kuhusu kuchangia malezi ya watoto hasa mzazi wa kiume

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za dhati kwa Mwenyezi Mungu . Pili ,kwa Mheshimiwa huyu kuwa karibu sana na jamii , napenda aendelee kuwa katika nafasi hii kwa vile anajua wajibu . Naomba kutambua mchango wa wadau wote humu ndani kwa michango yao , kwa pamoja katika kuchangia hoja ...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Anayeweza kutueleza Gwajima kafanya kosa gani atueleweshe

    Anayeweza kutueleza Gwajima kafanya kosa gani atueleweshe. Kwasababu naona maandiko mengi sana lakin hakuna mtu ametuelezea kosa lake hasa ni nini??
  15. N

    JamiiForums Tanzania Sijaona waziri anaeshirikiana na jamii kwa moyo wa kujitolea bila makamera kumzidi Dkt Dorothy Gwajima, Her Responsibility exceeds her power

    EDIT: Sio waziri tu, ni viongozi wakiwemo mawaziri, maspika, wakuu wa mikoa, wabunge, n.k. Kujua matatizo ya wananchi kwa ukaribu ni msingi wa utatuzi wa kweli. Ni muhimu kwa viongozi kuwa karibu na waathirika moja kwa moja badala ya kutegemea tu ripoti kutoka kwa viongozi wa chini. Mara...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mama Gwajima, sunday schools na day care zimekuwa nyingi, nakushauri unda task force za kuwatembelea kwa kushtukiza kuangalia mienendo yao.

    Dkt. Gwajima D Watoto wadogo ni rahisi kupelekeshwa kwa namna isio sahihi. Ingawa usalama wa watoto hawa unakuwa jukumu la wamiliki pale watoto wanapokuwa shule ila tunahikkishaje kama wanazuzingatia kisahihi? Amid kuwepo na ripoti za wafanyakazi wa hizo day care na wapita njia kuwarubuni...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jawadu: Polepole na Gwajima wana chuki na ubinafsi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed, amesema kauli zinazotolewa na baadhi ya wanachama wa chama hicho, wakiwemo aliyekuwa Mbunge wa Kawe (CCM) ,Askofu Josephat Gwajima, na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, hazina...
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe!

    1. Ndugu zangu yale maombi ya Baba Askofu Mkuu Dr Josephat Gwajima (PhD) yamejibu? 2. Wanasiasa wengi kwa sasa wamechafuka zaidi ya kinyesi chenyewe! Lucas Mwashambwa Isanga family ChoiceVariable Tlaatlaah DR HAYA LAND
  19. Parabolic

    JamiiForums Tanzania DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam. Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa ajitokeza kusali na waumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Bara Amani Golugwa amefika ukumbi wa Tanzanite Kimara Korogwe kushiriki ibada ya jumapili na waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima. Golugwa amepokelewa na Naibu Katibu Mkuu wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church...
Back
Top Bottom