Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.
https://www.youtube.com/live/o_B5LqZdbCY?si=omR1VXMDoSHBZPLq
Honestly, nimeshindwa kuelewa hii maana yake ni nini hasa...
Polisi wamezuia majengo na mali zote za kanisa la GCTC - Ufufuo na Uzima Tanzania nzima zisitumiwe na wenye Mali kwa kuwa eti "jina la kanisa" lililosajiliwa serikalini...
Hakuan mtu nimemshusha vyeo kama gwajima kwa kitendo cha yeye kwenda kuchukua fomu ya ubunge hivi watanzania kweli tutatoka hapa
Nakupa scenario mbili za matukio ya gwajima uone alivyokuwa mtu wa hovyo
Wakati wa utawala wa magufuli likaja sakata la madawa ya kulevya gwajima akatajwa- baada...
Askofu Josephat Gwajima akiwa na walinzi wake aenda kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya WanaCCM kumteua tena kugombea ubunge wa jimbo la Kawe.
======
Ufuatiliaji uliofanywa na JamiiCheck umejiridhisha kuwa kipande cha video kinachomuonesha Askofu Josephat Gwajima akienda kuchukua fomu ya ubunge...
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory Of Christ Tanzania Church waliokuwa wakisali pembeni ya barabara Ubungo Kibo jijini Dar Es Salaam
Leo Juni 29, 2025 eneo ambalo waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Glory of Christ Tanzania Church wamekuwa wakitumia kwa maombi, liko chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi leo Jumapili. Hali hiyo imejiri baada ya zuio la kufanya ibada katika majengo ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar...
Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja.
Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
Askofu Mkuu Baba wa Imani Dr Gwajima PhD - Mwangalizi wa Makanisa ya Ufufuo na Uzima duniani. Anatajwa kuhudhuria Bungeni ambapo litavunjwa rasmi tayari kwa uchaguzi.
***Tumtakie matashi MEMA Baba Askofu Mkuu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Kawe (CCM). Ulikua wakati mwema kuwa Mbunge wetu
Askofu Josephat Gwajima sasa kaisha. Kwanini hakujifunza toka kwa Jobless Ndugai juu ya kutotabirika kwa mama yao?
Alijionyesha kama mtu anayejiamini kumbe mwoga wa kawaida!
Ajirokeze na kupayuka kama mrume kweli tumuone.
Japo alikuwa na hoja, hali ilivyo ni ukweli kakimbia hoja na kuangka...
Salaam, Shalom!
Yaani itatokea Askofu na TEC wakaamua kuungana pamoja na Mtumishi Gwajima kwenye jambo lake hapo October, yaani kutokomeza Wasiojulikana na agenda zingine zingine 😃
Unadhani kishindo chake kitakuwaje?
Kwako Lucas Mwashambwa ,johnthebaptist
Mungu ibariki Nyikani.
Karibuni 🙏
Jeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo.
Video: Jambo TV
Jumapili iliyopita (Juni 15, 2025) waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima (Glory Of Christ Tanzania Church) walisali pembeni ya barabara ya Morogoro chini ya mti ikiwa ni eneo la karibu na kanisa lao
Leo Jumapili ya Juni 22, 2025 eneo walilofanyia ibada askari wamepaki gari lao wakiwa juu ya gari...
Tazama, nasubiri kusikia Mpina na Gwajima wakiukana usukuma wao ila Mungu humpa chochote yoyote amtakaye.
Hongera Mama Samia kipenzi Cha Wasukuma na Kanda yote ya ziwa.
SAMIA MITANO TENA#
Kwa taarifa tu, Hii fimbo inamaana ya Mamlaka ya juu kabisa - Kisukuma
Mkuu wa Utawala na Fedha wa Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church - Ufufuo na Uzima, Askofu Baraka Thomas Tege amedai kuwa, tangu kanisa hilo lilipofungwa Juni 2, 2025 na hatimaye majengo ya yao kulindwa na Jeshi la Polisi nchi nzima, hakujawa na makabidhiano yoyote ya mali zikiwamo fedha za...
Jina: Josephat Mathias Gwajima
Tarehe ya Kuzaliwa: 19 Desemba 1970
Mahali alipozaliwa: Kabale (Koromije), Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza
Uraia: Mtanzania
Hali ya Ndoa: Ameoa Grace Gwajima
Watoto: Watatu
Lugha: Kiswahili, Kiingereza
Elimu
1979–1985 – Kabale Primary School, Mwanza – Elimu...
Baada ya habari za utekaji kufikia mabeberu na watu wengi wakilalamika akiwemo josephat gwajima
Jeshi la polisi limeamua kufanya siasa kwenye kushughulika na hili swala badala ya weledi
Wanachofanya kwa jicho la kawaida tu ni kiini macho na mbaya zaidi hii script wameshakosea tokea mwanza hata...
1. Kama katiba ingelikuwa bora, Samia asingejipitisha mwenyewe kuwa mgombea urais ndani ya CCM. Lkn katiba imempa mamlaka makubwa sana, kiasi kwamba kila mwanaccm anaogopa kumpinga.
2. Kama katiba ingelikuwa ni bora, Gwajima asingelikuwa mafichoni. Kwani kafanya kosa gani? Kusema ukweli ni...
Rais Samia ujue kabisa ya Ndugai hayapo kanda ya ziwa, askofu Gwajima na Mpina hawatakuomba msamaha hata ni kwa gharama ya kuwafukuza ccm watakuwa tayari.
Malezi ya watoto kanda ya ziwa na malezi ya watoto kanda ya Pwani ni vitu viwili tofauti.
Kanda ya ziwa baba ndiyo kiongozi wa familia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.