gwajima

Dorothy Onesphoro Gwajima also known Gwajima Dorothy is a Tanzanian CCM politician and a nominated cabinet member since 2020. She was appointed by President John Magufuli into the Magufuli cabinet and still presenlty serves as a Minister of Health, Community Development, Gender, Elders and Children under Suluhu Cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumbe walikaa kikao rasmi kumfungia Gwajima; Wana ufufuo wenzagu jumapili ijayo tukutane kwa wingi kwa maombi

    Kanisa la Mungu lipo mioyoni mwetu! Sisi tunamwabudu Mungu wetu wala hatujaua Mtu wala hatujaiba cha mtu wala hatujateka mtu. Jumapili ijayo chonde chonde makanisa yote ya ufufuo na uzima kila wilaya tukutane kwa maombi ya mkakati na nguvu zaidi kama majeshi ya bwana!! Wanakaribia kutema bungo!
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Gwajima: Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake

    Wakuu ==== Ni kweli? baada ya Rais Samia kushiriki kwenye uzinduzi wa mahema ya kanisa la Mwamposa Askofu Gwajima alitoa hii kauli inayosema "Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake" Naomba kufahamu ukweli wa jambo hili.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Gwajima msifikiri mtashinda kwa kunena kwa lugha zisizoeleweka nendeni kwa Wakatoliki mpate ujuzi wa kuongea lugha zitakazowashinda watawala

    Kanisa Katoliki lina uzoefu wa miaka 2025 kupambana na watawala wakorofi wasiopenda haki. Mnachopaswa kuelewa wafuasi wa Kanisa la askofu Gwajima ni kwamba hamtashinda vita vyenu na watawala kwa kuzungumza lugha zizizoeleweka (tongues), hizo hi blaa blaa haswa na hazitowasaidia kamwe! Kanisa...
  4. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Wasichofahamu waliofungia kanisa la Gwajima na hivyo kinawatesa

    - Kwenye ukristo manyanyaso hasa ya watawala huibua hisia kali za Imani. Waumini huamini shetani yupo kazin kuwatenganisha na Mungu wao. - Huko kwenye Bible kuna verse zinazo sisitiza waumini kutobadili msimamo wa imani kwa Mungu wao maana kufanya hivyo nisawa na na kumkana Mungu. Kuna verse...
  5. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe; Strategists wa serikali ya Samia wapo very smart, wamefanikiwa ku counter issue ya Kanisa la Gwajima kwa viwango vya juu sana

    Issue ya serikali kufungia makanisa ya Gwajima, ilileta impression kwa wa Tanzania wa kawaida kwamba " Rais ana uchukia Ukristo" , Jambo ambalo si kweli. Serikali ililifungia kanisa la Gwajima kwa sababu za kisiasa hiyo ni namba 2 lakini namba moja ni Gwajima kuwa " Msaliti" Kwa chama chake...
  6. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

    Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani? NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
  8. Ryan Holiday

    JamiiForums Tanzania Mpenda Haki? Mpenda Amani? Jumapili Tukutane Kwa Gwajima!"

    Habari ya uzima wana JF, Sina mengi ya kusema leo, ila niende moja kwa moja kwenye hoja, hakuna neno "amani" bila neno 'haki' nyuma yake. Kama wewe ni mpenda haki, amani, uhuru na mabadiliko ya kweli katika nchi yetu, basi haya yanayoendelea dhidi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima hayapaswi...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI: Askofu Josephat, Mungu anapotaka kumwinua mtu wa haki kumweka mahali pa juu, huruhusu matukio

    Mchungaji na Askofu wa makanisa ya GCTC - Ufufuo na Uzima duniani Brother Josephat Gwajima bado yuko chimbo, lakini hekima na mafundisho yake yako wazi na yanasema na ku - reflect kinachoendelea ktk maisha yetu wanadamu ktk nyanja za kiroho, kisiasa, kijamii, kiuchumi nk... Katika video hii...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Askofu Gwajima chukua fomu ya kuwania Urais

    Salaam, Shalom! Huu ni ushauri wangu na maoni yangu binafsi. UWEZO unao, Nia Unayo, na ujasiri huo pia unao. Nakushauri, chukua fomu ya kuwania Urais baada ya reforms kufanyika kupata Tume huru ya uchaguzi. Ubunge si level yako tena. Nawasilisha 🙏
  11. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Gwajima amekosa hoja,sasa ameamua kutumia wafuasi wake kama ngao ili awapambanishe na vyombo vya dola, polisi simameni imara

    Friends and Our Enemies, Gwajima baada ya kushindwa na kukosa mashiko ya kisheria kufuatia kufutwa kwa kanisa lake kwa kile kinachodaiwa ni kukiuka taratibu na masharti ya uendeshaji wake sasa amemua rasmi kuzua vurugu na tafrani. Zipo taarifa za uhakika kuwa amepanga kila juma pili kukusanya...
  12. upupu255

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Askofu Gwajima amechapisha ujumbe Instagram asema 'Kawe tusiunge mkono wasaliti'

    Wakuu wa JamiiCheck huku kimewaka tunaomba uhalisia wa taarifa hii.
  13. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Rais wa TLS kuhusu kufunga kanisa la Gwajima

    NINA LAANI NA KUKEMEA UNYANYASAJI NA SHAMBULIO LA KIIMANI LINALOFANYWA DHIDI YA WAUMINI WA KANISA LA UFUFUO NA UZIMA.Ni Vema Viongozi wa Serikali wakatambua kwamba 1.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Tanganyika nitachagua Yesu. 2.Nikiambiwa nichague kati ya Yesu na Ukimya munao uita amani...
  14. V

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa Kanisa la Gwajima, Uhuru wa Kuabudu na Hatima Yetu

    Tafadhali mods naomba muuache uzi huu ili tuulizane na kupata majibu ya maswali yanayohusu hatima yetu. Wadau wa JF na Watanzania wote. Ni juma la tatu sasa Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Askofu Gwajima limefungwa na kusababisha Waumini kunyimwa haki yao ya Kikatiba juu ya uhuru wa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Picha: Gwajima kwa haya yaliyofanywa na Polisi kanisani kwako jana na wewe kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge CCM wewe ni mwehu?!

    Huwezi kuamini mambo haya yanatokea hapa Tanzania. Waumini wanazuiwa kuabudu na kupigwa kama wahalifu! Cha ajabu ni kiongozi wao askofu Josephat Gwajima kukimbilia ofisi za CCM kwenda kuchukua fomu ya kugombea ubunge kwa ticket ya CCM!!! Nafikiri kuna kitu sio sawa kwa Gwajima na ndio maana...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Watu 52 mbaroni kwa kufanya mkusanyiko usio halali eneo la Kibo

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema kuwa Jeshi la Polisi linawashikilia watu 52 kwa kufanya mkusanyiko usio halali jijini humo. Amesema leo Juni 29 huko maeneo ya Kibo Ubungo Dar es Salaam, jeshi hilo limewakamata watu hao waliokuwa wakisali kanisa la...
  17. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Leo naona wafuasi wa Gwajima walijitahidi kuwabishia polisi wakidhani huo ndio utaratibu wa kubishana na mamlaka na kupata haki yao

  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Tazama video hii polisi wakimpiga virungu muumini wa kanisa la Askofu Gwajima

    Askari wa Jeshi la Polisi wakivutana na waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima waliokuwa wakisali katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Muumini wa kanisa la Askofu Gwajima awaombea polisi, asema 'nawafuta kazi'

    Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro. Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika.
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo kanisani kwa Askofu Gwajima licha ya kanisa kufungwa

    Waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima(Glory Of Christ Tanzania Church) wameonekana kuendelea kuwa na ari kubwa ya kuimba na kufanya maombi huku wakitaja jina la "Yesu" na wengine wakifanya maombi hata baada ya kukamatwa na kuwekwa kwenye magari ya Jeshi la Polisi. Waumini hao wamekamatwa baada...
Back
Top Bottom