gsm

The Global System for Mobile Communications (GSM) is a standard developed by the European Telecommunications Standards Institute (ETSI) to describe the protocols for second-generation (2G) digital cellular networks used by mobile devices such as mobile phones and tablets. It was first deployed in Finland in December 1991. By the mid-2010s, it became a global standard for mobile communications achieving over 90% market share, and operating in over 193 countries and territories.2G networks developed as a replacement for first generation (1G) analog cellular networks. The GSM standard originally described a digital, circuit-switched network optimized for full duplex voice telephony. This expanded over time to include data communications, first by circuit-switched transport, then by packet data transport via General Packet Radio Service (GPRS), and Enhanced Data Rates for GSM Evolution (EDGE).
Subsequently, the 3GPP developed third-generation (3G) UMTS standards, followed by the fourth-generation (4G) LTE Advanced and the fifth-generation 5G standards, which do not form part of the ETSI GSM standard.
"GSM" is a trade mark owned by the GSM Association. It may also refer to the (initially) most common voice codec used, Full Rate.
As a result of the network's widespread use across Europe, the acronym "GSM" was briefly used a generic term for phones in France and in Wallonia, Belgium.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ishu ya Msuva ni GSM au Mo Dewji nani kuibuka mshindi?

    Kumekuwa na tetesi kuwa timu kubwa vigogo hapa nchini za Simba na Yanga zote zinaiwania saini ya straika Simon Msuva. Msuva yupo nchini tangu mwezi Juni mwaka huu, baada ya kumaliza mkataba na klabu yake ya Al-Qadsiah, ya Saudi Arabia. Yanga imeripotiwa kurdi tena upya kufanya mazungumzo nae...
  2. Jana ndio nimeelewa kwanini GSM, MO, ASAS, BAKHRESA wote ni CCM

    Naskia huko Mwanza kuna Bar moja imefungiwa kwa kukwepa Kodi kwa miaka miwili na ipo kwenye halmashauri ya Ilemela. Basi nikajiuliza miaka miwili wameweza vp kukwepa ila kumbe ishu nyuma ya pazia ni mambo ya Bandari. Matajiri wakubwa nchini wote ni CCM unadhani wamependa kua CCM wapo ili kulinda...
  3. Dkt. Damas Ndumbaro: GSM aliweka mkono lakini timu ikashuka daraja

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro anaeleza sababu ambazo zilipelekea timu ya Majimaji ya Songea kufa licha ya GSM kuwa msimamizi wa timu hiyo ukizingatia amezaliwa Songea. Chanzo: Jahazi (Clouds FM)
  4. Mo Dewji nakupasulia huu Ukweli ambao GSM wa Yanga SC nae naomba auchukue juu ya Uwekezaji Simba na Yanga

    GENTAMIYCINE nilidhani ukiwa Tajiri basi hata na Uwezo wako wa Kufikiri nao unakuwa ni wa Kitajiri ( nikimaanisha ni mkubwa ) kumbe hali ni tofauti kabisa. Matajiri Mohammed Ghullum Dewji wa Simba SC na Gharib Said Mohammed wa Yanga SC kwa Historia Kubwa ya Simba na Yanga hasa katika Siasa za...
  5. R

    MO na GSM wako kimya suala bandari Rostam amewawakilisha

    Kuna mjadala nimeukuta mahali watu wanahoji kwanini Mfanyabiashara Maarufu Mohamed Dewji maarufu MO na Mfanyabashiara Maarufu Gharib Mohamed Maarufu GSM ambao ndiyo wadau wakubwa wa bandari kuingiza mizigo nchini kwamba mbona hawajasema chochote kuhusu mjadala wa DP Wold kuhusu Bandari. Mimi...
  6. Ukatili huu wanaoufanya GSM dhidi ya Yanga SC haukubaliki; wana-Yanga tuungane kuupinga

    Wanayanga hivi kweli sisi ni wakupewa 1300 kwa kila mauzo ya jezi moja? Kwa data nikizonazo msimu huu tumeuza jumla ya jezi 100,000/- Hembu tufanye mahesabu ya haraka hapa 35,000 kwa jezi moja zidisha 100,000 idadi ya jezi tulizouza msimu huu = 3.5 billion Haki kila mauzo ya jezi moja...
  7. C

    Quality ya nguo za GSM na Waikiki siyo nzuri

    Mwaka jana mwezi wa 12 niliamua kufanya shopping ya nguo kwa watoto wangu. Nilianza na Woolworth. Woolworth bei za nguo za watoto ni juu sana kwa kweli. Nilinunua nguo chache lkn kwa gharama kubwa. Baada ya hapo nikaamua kwenda Mlimani City. Hapo ndipo nikagundua kumbe naweza kununua nguo...
  8. Zayed Bakhressa na Mo GSM, tafsiri sahihi ya wakishua

    Pichani ni mjukuu wa Bakhresa ajulikanaye kama Zayed Bakhressa (katikati) akiwa na Mo GSM mtoto wa GSM na Rakin. Watoto wa kishua. Zayed Bakhressa ana account twitter mastaa wote wa bongo wamemfollow. Yaani akipost chochote unakuta mastaa wanajichekesha kwenye comment. Dogo anaishi bongo kama...
  9. GSM kupitia Rais wa Yanga Eng. Hersi Said mmeiheshimisha sana Yanga kwa msimu huu, ila naona kuna kazi kubwa sana msimu ujao

    Kwasasa kuna watu wanabaki kusonya sonya tu wengine kutoa visababu vya kujifariji, mara mashindano waliofeli, mara ooh Yanga imecheza na vibonde mara zinaletwa historia za miaka 47 huko lakini yote kwa yote msimu huu Yanga mpaka sasa ndio timu pekee iliyopata mafanikio zaidi kwa timu za ukanda...
  10. Siasa zinaamua pia mpira: Kipindi cha Rais wa Pwani / Zanzibar GSM huwa anachapisha pesa, Timu anayoidhamini itaendelea kutawala hadi 2030

    Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy. Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira. Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda Rais wa...
  11. Yanga SC na GSM Wanasajili, Simba SC na Mo Dewji wanafanya Mzaha

    Kama kumbe kigezo cha kusajili Mchezaji siku hizi ni kwanza ajue kupiga kanzu, nawaombeni mje mnisajili na mimi GENTAMYCINE kwani pamoja na huu uzee (ukongwe) wangu wa miaka 60 sasa huku mitaani katika ligi zetu huwa napiga mno mikanzu kuliko hata Sewakubwa wenu. Halafu tukisema kuwa Yanga SC...
  12. Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  13. Familia ya GSM ilivyotembea kwa magoti korido za Ikulu kuomba Hayati Magufuli asiwafunge

    Tunaendelea na visa na mikasa ya hayati JPM.. Hakuna siri JPM hakuwa chaguo la wana CCM mwaka 2015, hata mwenyekiti wa chama hakumtaka awe Rais bali alizidiwa na nguvu ya asili. Mwenyekiti alimkusudia kumrithisha kijiti rafiki yake wa kitambo Bernard Membe,lakini wana CCM walimtaka Edward...
  14. Kwanini hawa Matajiri Ndugu Wawili Gharib na GSM na Saalah na Silent Ocean yake Wameliteka mno Soko la Tanzania Kibiashara?

    Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa Falsafa (PhD) ya Utu na Huruma kutoka UDSM?
  15. Je, Muokoaji Majaliwa asingekuwa Shabiki wa Yanga SC akina GSM na Klabu ya Yanga ingempa hizi Fedha nyingi nyingi?

    Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba? Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
  16. Biashara ni wazo.

    Biashara bwana, najua kuna watu wanatamani mafanikio ya bakhresa au Mo au GSM au mafanikio ya tajiri yoyote yule, Husitamani mafanikio ya bakhresa, mo, gsm au yoyote aliyefanikiwa. Unajua chakutamani ni nini....?? Binafsi natamani ningekuwa na ujuzi kama MO, natamani ningekuwa na uzoefu katika...
  17. Mimi ni dereva, nina uzoefu wa Uber na Bolt. Natafuta kazi

    Naitwa shedrack hussein salim natafuta gari ya mkataba nina uzoefu wa miaka6 kufanya kazi na bolt na Uber kama una gari mpya nitafute tutaongea kama amboyo imetumika pia tutaongea kama itafaa kufanya kazi mawasiliano yangu 0752782204 na 0787404979
  18. GSM na Yanga SC huu Uhuni ipo Siku utawagharimu na mtalaanika vibaya sana

    Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka. GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
  19. B

    PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  20. Yanga SC yaingia mkataba na GSM wa miaka 5 kutengeneza vifaa vya michezo wenye thamani ya bil 9.1

    => Tumeingia mkataba mpya wa kutengeneza jezi na vifaa vya michezo kwa miaka 5 na kampuni ya GSM Group Of Companies wenye dhamani ya Tshs Billion 9.1" Rais wa Young Africans SC Hersi Ally Said => Mkataba wa pili utakua ni wa udhamini ambapo GSM italipa Tsh. Milioni 300 kwa mwaka, itakayokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…