Niende tu moja kwa moja kwenye mada husika. Niko najiuliza, hivi siku hizi huko shule watoto wetu wanafundishwaje aisee. Nauliza hivi maana toka majuzi sielewi mwanangu kaona nini na wapi. Amekuwa ananiuliza na hii leo ni mara ya pili, "Baba, rais anaongoza na nchi? nikajibu ndio mwanangu...