Serikali mpaka sasa zimebaki siku 4 tuu kufikia 9 dec Watanzania wenzangu tusiandamane maana sasa hivi vita ni kati ya TEC na serikali ya Tanzania, BAKWATA NA TEC hii vita vya udini ni mbaya sana
In God we Trust
Dec 04, 2025
The United States values its longstanding partnership with the people of Tanzania, which has brought prosperity to our populations and security to the region. Recent actions by the Government of Tanzania, however, raise grave concerns about the direction of our bilateral...
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amesema kuwa miundombinu ya intaneti haipaswi kumilikiwa au kutawaliwa na kampuni binafsi, akisisitiza kuwa udhibiti wa serikali ni muhimu ili kuhakikisha gharama zinabaki kuwa nafuu kwa wananchi.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
Residents of Shinyanga Region have recognized and expressed gratitude for the Government’s efforts, through its security organs and mining experts, in the ongoing rescue operation for miners affected by the Nyandolwa mine accident.
So far, seven (7) miners have been recovered. Four were rescued...
AN EXPERT OPINION FOR THE ATTENTION OF CHIEF JUSTICE MASAJU: THE JUDICIARY HAS NO POWER TO DEROGATE THE PEOPLE'S RIGHT TO ORGANISE FOR ELECTORAL SELF-DETERMINATION SO AS TO PARTICIPATING IN THEIR GOVERNMENT
Dear George Mcheche Masaju,
The Chief Justice
Of the United Republic of Tanzania...
Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika...
Wakuu wale wanaharakati wa Kenya na Uganda waliodai kufanyiwa vitendo vya kikatili na Tanzania wamesema lazima wadai fidia kwa Serikali ya Tanzania. Haya yameandikwa kwenye gazeti maarufu la Uingereza la The Guardian
Mi najiuliza hawa hawawezi kusuka mpango wa kukamata ndege zetu kweli kama...
INTRODUCTION
Dear President Samia, the saying that "actions speak louder than words" means that a person's behavior and actions are a more reliable indicator of their true intentions and feelings than what they say.
The wisdom of this saying fully applies to your government's actions between...
Introduction
In the course of this year’s budget discussions, there has been limited emphasis on reducing government spending. Despite increases across ministries and public institutions, the focus on implementing cost-cutting measures has been inadequate. This raises concerns about the...
Vijana wanaoanza kazi, ajira mara nyingi nimekuwa nikiwaona wanapitia changamoto nyingi katika mazingira ya ugenini huku wakiugulia maumivu mbalimbali kutokana na kipato kidogo wanachopata wakati huo huo wakiwa hawawezi kukwepa kutoa msaada kwa ndugu zao wa karibu ambao mara nyingi ndio...
Wakuu habari za siku mingi.
Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane.
Merry yupo tunasonga na maisha.
Nimekuja leo naombani ushauri.
Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na...
Sijui huu uoga ni wa nini
Kwanini mtu tulomshinda kwa ushindi mkubwa hivi atupe hofu
CCM inakubalika kwa 99% hata mwenyekiti wa tume angekuwa Lema bado tungewashinda Sasa hofu yetu ninin Hadi kutumia nguvu nyingi KIASI hiki kudhibiti watu wasio na nguvu yeyete sio ya umma Wala...
The government is on Autopilot ??
Yani Mkuu wa mkoa kutoka chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya Naibu Waziri Mkuu anamdhalilisha Mbunge wa Chama cha Mapinduzi CCM Mbele ya wananchi huku Vyombo vya habari vikiwa Live 🧎🏽♂️hii ni mara ya pili .
1.Je Makonda ni nani??
2. Makonda anamamlaka gani Juu...
African Gen Z are increasingly leaning toward forging a path to unite the continent as one.
The Kaluta Blueprint for a trustless global government powered by AI and blockchain technologies offers the perfect special-purpose vehicle to form an African Union with the potential to surpass any...
Introduction
Education is the heartbeat of a nation’s progress. It is the foundation upon which we build our economy, empower our citizens, and shape our future. In Tanzania, both public and private schools are integral to this mission, tirelessly nurturing the next generation of leaders...
Habari wakuu
Kama title inavyojieleza naomba kufahamu hivi page ipo chini ya taasisi ya serikali au ipo chini ya mtu binafsi.
Ni kwasababu mara nyingi nimeona caption zake zinaanza na neno " nime... " Nimefanya hivi n.k
Lakini kuna vingine pia ni kama havihusiani na page au viko kibinafsi...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali tayari imeshanunua treni 10 za mchongoko ambapo treni 8 zimeshawasili na kati ya hizo 8, treni moja siku ya Jumamosi Januari 25, 2025 inakamilisha majaribio yake kutoka...
Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko yashuhudia ongezeko kubwa la hamasa kupitia kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC), ambapo elimu ya sheria inaendelea kutolewa kwa wananchi kwa kasi kubwa. Wananchi wamehamasishwa kuhusu masuala ya ardhi, mirathi, ndoa, haki za kijinsia, ajira, na mbinu za...
Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.