google

  1. JamiiForums Tanzania Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600?

    Ndugu zangu kwema? Hivi hii Google Drive inaweza kuhifadhi audio 600 au ina kikomo? Msaada kwa anayefahamu. forgive me.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye CV za majaji waliohusika kesi ya DP World naomba please; naona wametumia zaidi kiingereza cha Google. Lugha rahisi wameifanya ngumu

    Watanzania tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya fikra; majaji waliohusika katika hukumu hii wamefanya mambo mepesi kuwa magumu. Wameandika maamuzi yaliyojaa maneno ya kiingereza magumu bila hata sababu ya msingi. Nikisoma hii hukumu nabaini hata maneno baadhi yaliyoandikwa wao wenyewe...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwa smartwatch, Google na Samsung hawana mpinzani

    Kwa wale wapenzi wa hizi Smart watch, Samsung na Google hawana mpinzani. Designing zao ni za sayari nyingine kabisa. Binafsi navutiwa sana na hizi Smart watch za Android hasa kutoka Google na Samsung. Apple nadhani kitu kinaitwa designing sio kipaumbele chake.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Wapi napata kioo cha smart tv brand ya tcl google TV 32 inch?

    Kioo cha Smart google TV, TCL brand 32inch.
  5. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Google pixel 4xl

    Google pixel 4xl - Used Ram 6GB Internal memory 64GB Face ID Bei: 320K Phone number: 0629 153 727
  6. JamiiForums Tanzania Je, unamfahamu Sundararajan Pichai? Maarufu kama Sundar Pichai?

    Huyu ndio CEO wa Google na alphabet Inc. Ni mtu mwenye asili ya kihindi na marekani, alizaliwa June, 10, 1972 huko Tamir Nadu India, alipata shahada yake ya Kwanza Katika chuo cha Stanford university na baadae akaongeza elimu yake katika master ya maswala ya biashara chuo cha pessylvania...
  7. JamiiForums Tanzania Google pixel 7 pro

    Naomba kujua kwa watumiaji wa Google pixel 7 pro,pamoja na wadau wenye uelewa wa hii simu. Je, nawezaje kuitambua kama ni simu original? Je Kuna test ambazo naweza kuzifanya kutofautisha copy na original
  8. JamiiForums Tanzania Nimesikitika sana kuona muhitimu wa degree ya TEHAMA (ICT) hajui kutumia Google Map

    Nikiwa dukani kwangu napitia mahesabu ya mapato na matumizi ya wiki iliyopita, akaja mteja anataka madawa fulani, madawa hayo ni slow moving items hivyo huwa yanakaa store, hayapangwi dukani. Basi nikaona si mbaya huyo mteja akiwa anahudumiwa (akisubiri dawa zake) aje ofisini kwangu anywe walau...
  9. JamiiForums Tanzania Karibu ujipatie Bidhaa za kielectronic simu, PC, Tablet, Fridge, Sabufa na Tv kwa uaminifu mkubwa

    Bidhaa zote za kielectronic Simu, Pc, Tablet, Sabufa, Tv na Fridge vinapatikana kwa bei rahisi sana, simu zetu zipo used from Dubai na Full boxed mpya kabisa tunauza Iphone, Samsung, Google pixel, Sony, Oppo na Infinix warranty ni uhakika Tv pia zipo Hisense, Samsung ukubwa tofauti tofauti...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google Kama Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search engine...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samsung kuachana na Google kama Default Search Engine

    Imeripotiwa kuwa Samsung wana mpango wa kuanza kutumia Bing ya Microsoft kama default search engine. Taarifa zinasema kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya AI chatbot ambapo ChatGPT iliyo chini ya Microsoft kuonekana kuwavutia wengi imefanya Samsung wafikirie kutumia Bing kama default search...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Google, Diamond Platnumz ndio msanii anaefatiliwa zaidi Africa 2023

    Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
  13. JamiiForums Tanzania Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  14. JamiiForums Tanzania Mmezipata habari za ChatGPT? Automation inatishia ajira za watu

    ChatGPT ni artificial intelligence iliotengenezwa na openAI, unaweza iuliza ikuandikie barua, report, inaweza kutengeneza website na mengine mengi, yajayo ni hatari sana
  15. JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni Google watuambie kwanini wamempa Mo Dewji umiliki wa Tanzania

    Kwenye mada "Nani anamiliki Tanzania..." Mwana JF Kinyungu akagugo kwa kutumia neno " Who is the owner of Tanzania" na jibu likaja Mo Dewji. Alipoweka hilo jibu kwenye ile mada nikadhani ni maskhara ama utani, lakini na mimi jibu likaja hilo hilo, nikashangaa sana. Imekuwaje Google waseme Mo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa Blog niche ambazo ni rahisi kurank 1 position google search

    Mambo vipi wakali wa hizi kazi za SEO. Rejea title hapo juu nimekuwa nikitengeneza makala nyingi kwenye niche mbali mbali lakini imekuwa kipengele kurank #1 position pale google Yaani narank position ya 15 huko. Wadau hivi ni niche zipi ambazo hazina competition kubwa kwamba hata sisi blogger...
  17. JamiiForums Tanzania Google imeanza kuweka sehemu ya Magic Eraser kwa watumiaji wa iOS (iPhone)

    Google imeanza kuweka uwezo wa kufuta vitu na watu kwenye picha. Kwa kawaida feature hii inapatikana bure kwa watumiaji wa Google Pixels 6 na Google Pixel 7. Kwa wiki hii Google imeanza kuweka feature hii bure kwa watumiaji wa iOS ambao wanalipia huduma ya Google One. Huduma hii ya Google One...
  18. JamiiForums Tanzania Google Pixel 4a 5G

    Google pixel 4a 5G Specifications Ram 6 Storage gb 128 Battery 3500mAh Internet 5G Bei 380,000 ofa ya week 1 Delivery✅ Tupo kariakoo mtaa wa Agrey na likoma Piga 0699517063 uhudumiwe haraka
  19. JamiiForums Tanzania Ukiona daktari wakati wa kukutibu anababaika babaika na anatumia google, mheshimu sana

    Ukiona unaenda kwenye matibabu na daktari anakuwa kama hajiamini hivi, anababaika-babaika katika kutafuta ugonjwa wako, na hata anatumia google jua kuwa upo kwenye mikono salama. Magonjwa ni mapana sana na yanaingiliana sana dalili. Ukiona Daktari anakudiagnose fastafasta jua kuwa hafahamu...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli naweza kuingiza hela kupitia blog bila kutumia Google Adsense?

    Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli. Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…