Huu ndio ukweli halisi wa maisha hasa kwenye mahusiano. Good or nice guys are too kind, considerate, understanding, calm, not aggressive and cooperative.
Mfano hapa JF watabaki kulike na kutaniana na mrembo wanaemwelewa ila kuzama pm au ku-make move ya kukutana au kupewa namba wanachelewa...