godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ole Sendeka: Lema tunajua wanaokulipa, soko la Tanzanite halitarudi Arusha kamwe

    Mirerani. Mbunge wa Simanjiro Mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka amemtaka Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema kutokuhadaa wafanyabiasha wa madini ya tanzanite wa kutwa soko la madini hayo litarudishwa jijini Arusha, akisema kiongozi huyo anadandia treni kwa mbele. Lema...
  2. Godbless Lema na kitabu Nchi ya wasioona(The country of the blind)

    Kulikuwa na hekaya kuwa huko juu milimani kuna bonde ambalo wakazi wake wote ni vipofu. Siku moja mpanda milima mmoja kwa bahati mbaya aliteleza na kuporomokea kwenye bonde refu sana. Bonde lililokuwa limezungukwa na milima iliyosimama wima pande zote. Bahati akakuta kuna watu wanaishi...
  3. Godbless Lema: Nitaenda gerezani kumtembelea Sabaya

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini ambaye pia ni Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini, Godbless Lema “Nitaweka presha kubwa kila mahali waliofanya makosa wakishirikiana na Sabaya nao wahojiwe au Sabaya aachiwe.” “Mbona Serikali inachagua, kama ni hivyo basi...
  4. Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mapokezi mazito ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, Jioni hii tena kuna Mkutano kabambe wa hadhara unaofanyika viwanja vya...
  5. Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  6. J

    Naona CHADEMA wanamtengenezea Umaarufu wa Mchongo Godbless Lema, nini matarajio au ndiye Mwenyekiti ajaye?

    Naona kila kukicha mabango na vipeperushi vya Mapokezi ya vinazidi kuongezeka mitaani, kwani kuna nini? Mbona kwa Tundu Antipas Lissu haikuwa Hivi? Au ndiye anayeandaliwa na chama kubeba mikoba?
  7. Lema, hii siyo kuomba Asali CCM kiaina?

    Godbless Lema, kwa tweet yako hii nimelazimika kuamini kwamba baada ya kugundua kwamba kuna maslahi yanakupita na huwezi kumhoji Mwenyekiti wako, na kwasababu unao uhitaji mkubwa wa mapene ni rasmi sasa umemuomba katibu mkuu wa CCM Ndugu na komredi Chongolo akukumbuke pindi utakapofika nchini...
  8. Lema awa Makamu Rais wa kampuni ya Canada barani Afrika, aleta mradi wa gari solar zinazopaa Tanzania

    Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc ametoa scholarship kwa ajili ya watanzania kujifunza kuongoza gari solar zinazopaa. Pia Makamu Lema...
  9. Ujio wa Lema Arusha, nakushauri Gambo katafute kazi ya kufanya mapema

    Tarehe 1. 3. 2023 ndiyo siku rasmi atakapokuwa anakanyaga ardhi ya nyumbani kwake jiji Arusha. Nikiwa mwana CHADEMA na mkaazi wa hapa Arusha nawaomba na kuwakumbusha wana CHADEMA tujitokeze kwa wingi wetu tukampokee mbunge wetu. Wakati huo huo namshauri Gambo kuwa sasa safari ya kurudi uvinza...
  10. Godbless Lema kurejea nchini hivi karibuni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama na aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema, atarejea nchini March 01, 2023, siku ya Jumatano, saa sita kamili mchana kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...
  11. Godbless Lema unarudi Tanzania kufukuzia ubunge. Ila tambua mambo yalishabadilika, 2010 sio 2025. Gea ya ukimbizo nayo ilishakuchafua

    Hii sio siri. Ni suala ambalo lipo wazi kabisa. Kuwa Godbless Lema hukukimbia mateso ya kisiasa. Bali baada ya kukosa ubunge 2020 ulitafuta fursa. Leo hii unarudi kupigia mahehasabu ubunge 2025. Kumbuka kuwa 2010 sio sawa na 2025. Nina maanisha kuwa Chadema tulivyokubalika 2010 sio sawa na leo...
  12. Godbless Lema acha uongo na utapeli wa kisiasa. Taifa letu halijawahi kuwa na mkimbizi kama wewe. Ulikosa Ubunge ndio ukatafuta fursa

    Lini wewe ulikuwa mkimbizi wa kisiasa? Mbona ulipokuwa Mbunge wa Arusha mjini hukukimbia? Ulipokosa Ubunge ndio ukakimbia? Acha uzushi 👇
  13. Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

    Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
  14. "Technically" Godbless Lema hawezi kurejea nchini mpaka baada ya miaka Mitano (5)

    Leo ngoja niandike kitu kimoja watu wapate uelewa hasa MATAGA wanaosema mbona Tundu Lisu na Lema hawarudi. Nitaongelea zaid kwa Lema. Katika maisha wanasema "golden chance never comes twice" katika kitu Lema amekipata cha maisha yake yote ni kupata ukimbizi wa kisiasa "asylum seeker" inchini...
  15. H

    Mstaafu Lema, acha Mama afanye kazi yake

    Mstaafu Lema, nimeona Tweet yako ya leo iliyojaa fitina na ukosoaji wa vijana wenzako walipata nafasi ya kuitumia nchi yetu kwa weledi mkubwa. Inasikitisha sana kutokuona juhudi zinazofanywa na vijana hawa kwa nguvu na jasho la damu kupigania Watanzania iwe sehemu bora zaidi. Hata kama...
  16. J

    Godbless Lema, kama ni kweli Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa mbona Makonda na Ole Sabaya hawajateuliwa?

    Nimekusikiliza mbunge mstaafu wa Arusha mjini mh Lema kule kwa Maria ukidai Watumishi wanaodhibiti Wapinzani huteuliwa vyeo vikubwa. Hii siyo kweli bwashee Lema. Mbona Makonda, Ole Sabaya, Mnyeti na hata Kasesela hawajateuliwa? Hata hivyo hongera kwa Mkoa wako kutoa viongozi wakuu wa Jeshi la...
  17. M

    SI KWELI Tundu Lissu na Godbless Lema Kuhudhuria vikao vya Baraza Kuu la CHADEMA

    Kumeibuka dondoo kuwa Viongozi wa CHADEMA walio nje ya nchi Tundu Lissu na Godbless Lema wanatajwa kuwemo kwenye Vikao vya Baraza kuu la Chadema vitakavyofanyika 11/5/2022 Nchini Tanzania. Aidha, inadaiwa pia wawili hao mpaka sasa wanazo tiketi mikononi mwao kwa ajili ya kuanza safari za...
  18. M

    Wafanyakazi wa Watanzania hata wasipoongezewa Mishahara, 85% yao ni wabadhirifu na hawakuwahi kuwa na 100% ya Ufanisi kazini

    Kuna hasara kubwa sana kwa Watanzania kutokana na Wafanyakazi kutopandishwa mishahara, maana hawatofanyakazi kwa ufanisi na wataanza kutafuta vipato vya ziada ili kujikimu. Taarifa: Godbless_lema Na usichokijua tu ni kwamba Wafanyakazi wa Kitanzania ( hasa wa Public Sector ) walishanusa Siku...
  19. S

    Godbless Lema: Kuna mtu mkubwa anataka kujenga hoteli Ngorongoro

    Hii ni kauli ya Godbless Lema kupitia mariaspace muda mfupi uliopita. Kaongeza kuwa wanasubiri wapate makaratasi/ karatasi kuna siku watamtaja. Swali: Mtu huyu ni nani?
  20. Unabii wa Godbless Lema unazidi kuwatia hofu wanasiasa wanaopindisha sheria na kutenda maovu katika jamii

    Hakika huyu jamaa ni Prophet, kama angeamua kuanzisha kanisa basi asingepungukiwa na wafuasi chini ya buku (1000). Alianza na Mzee wetu Hayati Magufuli, wafilisti wakamsweka ndani miezi 4 na ushee kwa kesi ya uchochezi. Yakatokea yaliyotokea! Akaja kwa bwa'mdogo aliyeko nyuma ya nondo akilia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…