Godbless Lema: Arusha inaharibiwa na uselamavi

Huihui2

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
9,521
Reaction score
14,208
Screenshot_20260730_100137_Instagram Lite.jpg

Je haya madai ya Godbless Lema yana ukweli? Imekuwaje Jiji la Arusha ambalo lina sifa zote za kitalii likaendekeza uselamavi na wadudu?
 
Arusha kila mtu ni mbabe ustaarabu upo kwa mbali sana yaani ngumi mkononi dakika yeyote na mtu yeyote awe Mwanamke au Mwanaume wanajiamini hao kama wanaweza vita jana kuna tukio limetokea huko Sanawari ya juu kwa Wameru Mwanamke kamchinja koromeo mume wake usiku hadi kufa..
 
Kama tatizo ni mitandao ya kijamii, najiuliza kwanini mitandao ya kijamii ionekane kuharibu vijana wa Arusha zaidi kulinganisha na maeneo mengine?

Je, kweli hili tatizo ni kubwa kama linavyozungumzwa kwenye hizi forum?

Kwamba leo mtu yeyote akienda Arusha, basi lazima atakutana na hali isiyo ya kawaida machoni pake, ambayo hajawahi kuiona maeneo mengine hapa Tanzania?

Siwatetei hao vijana wa Arusha Mjini, lakini nijuavyo kila sehemu ina watu wake waliovurugwa.

Kama tatizo ni kuogopa mavazi, nadhani hao watoto wa kike wanaweza kuolewa na wale wanaopenda mavazi hayo, kwani wapo pia wanaovaa madera siku zote na bado hawajaolewa.

Hii dunia haijawahi kueleweka, ukijisumbua kuielewa utachanganyikiwa, mtengeneze kwa kwako nyumbani.
 
Je chanzo cha ubabe ni hiyo kitu inaitwa "Cha Arusha" au ni kwa sababu wanakula sana nyama ??

Au ni kwa sababu Arusha imezungukwa na mbuga za wanyama kama Ngorongoro, Seronera, Meru, Manyara etc??
 
Kama tatizo ni mitandao ya kijamii, najiuliza kwanini mitandao ya kijamii ionekane kuharibu vijana wa Arusha zaidi kulinganisha na maeneo mengine?

Je, kweli hili tatizo ni kubwa kama linavyozungumzwa kwenye hizi forum?

Kwamba leo mtu yeyote akienda Arusha, basi lazima atakutana na hali isiyo ya kawaida machoni pake, ambayo hajawahi kuiona maeneo mengine hapa Tanzania?

Siwatetei hao vijana wa Arusha Mjini, lakini nijuavyo kila sehemu ina watu wake waliovurugwa.

Kama tatizo ni kuogopa mavazi, nadhani hao watoto wa kike wanaweza kuolewa na wale wanaopenda mavazi hayo, kwani wapo pia wanaovaa madera siku zote na bado hawajaolewa.

Hii dunia haijawahi kueleweka, ukijisumbua kuielewa utachanganyikiwa, mtengeneze kwa kwako nyumbani.
Kwani na wewe sister denoo G ni mwana Arusha?
 
Mh. Lema kaona kitu na tahadhari ichukuliwe mapema na yote hii imetokana na mmomonyoko katika malezi. Wazazi tulee watoto wetu kama sie tulivyolelewa hii kuwa bize na utafutaji haina faida kama watoto wataendelea kujilea wenyewe na hizi ndizo hasara zake sasa tuchukue hatua katika suala la malezi.
 
Juzi nimemsimamisha dada wa Arumeru hapa Maji ya Chai, mzuri sana wa sura, akasema je inakuaje ba mnyong'odee!!! Nikaishiwa maneno nikahisi naongea na Thomas
 
Au jamii za wafugaji zinawaathiri?
Ukitaka kujua hembu fanya ziara ofisi za laki laki Kisongo kila Jmapili ujionee ushenzi vijana wanavo fanya mapiki piki. Wanafunga bara bara, wanakula mirungi na bangi, viongozi wamekaa kimya wanaona sifa sijui tutafika wapi. Serikali inaona inatengeneza ila italeta kizazi kibayaa sana
 
Arusha kila mtu ni mbabe ustaarabu upo kwa mbali sana yaani ngumi mkononi dakika yeyote na mtu yeyote awe Mwanamke au Mwanaume wanajiamini hao kama wanaweza vita jana kuna tukio limetokea huko Sanawari ya juu kwa Wameru Mwanamke kamchinja koromeo mume wake usiku hadi kufa..
Duh!
 
Back
Top Bottom