Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.
Anaandika Godbless J Lema
TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA.
Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
Leo asubuhi Lema alitoa ushauri ufuatao wa namna ya kudili na machawa wanajibaraguza wa wanasiasa na kuacha kusimama na wananchi ambao ndiyo nguzo kuu yao:
"Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.
Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga...
Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga
Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema:
"Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii
Sasa kilichotekea ni hivi
======
Post ya juu (nabii_bashando):
“Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo nimemaliza…. Ujumbe nilioupata ni juu ya huyu nabii wa CHADEMA kwamba atengeneze mambo ya nyumbani kwake...
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi.
Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo...
LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata.
Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata
Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana
Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia.
Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake.
Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki?
Ni...
RE: NOTICE OF DEMAND FOR RETRACTION, APOLOGY & PAYMENT OF DAMAGES FOR DEFAMATION AGAINST HON. GODBLESS JONATHAN LEMA
We act for Honourable Godbless Jonathan Lema (“our Client”).
It has come to our Client’s attention that on or about 14th Nov 2025, you published on the social media platform...
Godbless Lema ameonya kuwa “endapo vitendo vya upumbavu havitazuiwa, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa uhasama wa kidini.”
Kwa mujibu wa Lema, haiwezekani kuficha uovu kwa kujificha nyuma ya dini, akisisitiza kuwa CCM kutumia dini kutetea makosa ni njia isiyo sahihi na inaweza...
Godbless Lema, aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini na kwa sasa Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, amewakosoa vikali viongozi wa dini nchini kwa ukimya wao katika kipindi ambacho taifa limejeruhiwa na mauaji ya raia wasio na hatia, akisema viongozi hao wamekuwa wakiona matukio makubwa yakitokea...
Nilipokuwa lockup Osterbay, sero ya pembeni yangu kulikuwa na wasichana wengi wadogo wa kike walikuwa wanaomba na kuimba.Nafikiri waliimba na kuomba usiku kucha na asubuhi pia. Nami nikajikuta nasema moyoni , hata kama Mungu yuko busy sana huko aliko , lakini nina uhakika kuwa haya maombi ya...
Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata katika orodha hiyo akiwepo Godbless J. Lema, leo 08/11/25, Godbless Lema amekamatwa maeneo ya USA River, Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya...
Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X,
Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
Godbless anadai amekuwa akifuatiliwa na watu wasiojuilikana, Lema ameandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ujumbe huu....
Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa nikifuatiliwa na watu wasiojulikana wanaotumia gari ambalo limekuwa likizunguka maeneo ninayoishi na kufuatilia mienendo yangu...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Godbless amemjibu Msemaji wa jeshi la Polisi baada ya kuambiwa kuwa anazua taharuki....
Pengine huna TAARIFA, Bwana Msemaji. Nilifika Polisi jana usiku kutoa taarifa na niliwaomba waniweke ndani kama njia muhimu zaidi ya usalama wangu. Lakini hawakutaka kunipa...
Hao ndo wanachama na Viongozi wa CHADEMA watakaoenda Kukiwakilisha Chama Kwenye Mazishi ya Raila Odinga yatakayofanyika hapo Jumapili.
NB: Usishangae Kusikia awamezuiwa Airport na Mamlaka wakati huo huo Kikwete na Mpango wakipepea hewani kwenda kwenye Mazishi hayo
"Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama".
Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.