Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.
Hao ndo wanachama na Viongozi wa CHADEMA watakaoenda Kukiwakilisha Chama Kwenye Mazishi ya Raila Odinga yatakayofanyika hapo Jumapili.
NB: Usishangae Kusikia awamezuiwa Airport na Mamlaka wakati huo huo Kikwete na Mpango wakipepea hewani kwenda kwenye Mazishi hayo
"Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama".
Hii ni kauli ya kijanja na kuweka kwanza maslahi ya familia...
Godbless Lema, a CHADEMA member and former Member of Parliament for Arusha Urban (2010–2020), who also served as the party’s Shadow Minister for Home Affairs and currently sits on the Central Committee, has written a powerful message to President Samia through his social media pages, expressing...
Anaandika Godbless Lema kwenye mtandao wa Instagram hivi leo
Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze...
Kada wa chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Godbless Lema aliwahi kusema " Mimi ningekuwa na mamlaka ya kichama Wenje hakutakiwa kuwa mwanachamaa wa CHADEMA leo".
Anaandika mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa X
1. Kanda ya Nyasa aliyetekwa ni mmoja
Jina: Abedinego Sanga
Cheo: Mwenyekiti BAVICHA Jimbo la Lupembe, Mkoa wa Njombe
Umri: Kati ya miaka 28-30.
Mahali alipotekwa Kijiji cha Matembwe akiwa kwenye duka lake la...
Nimekutana na hii video ikimuonyesha Godbless Lema akishikana mashati na askari polisi katika maeneo tofauti.
Sasa Juzi wakati Wakili Wakili Deogratius Mahinyila anakamatwa pale Mahakamani kihuni, niliona maoni ya watu wengi wakimlaumu sana Lema.
Inawezekana alizingua kiasi lakini Godbless...
Wakati Adv Mahinyila akipambana na Polisi, Godbless Lema akajifanya busy anakwenda kwa Msajili wa Mahakama Kuu. Angalia clip hapa:-
Wakati huohuo Elizabeth Mambosho mwanamama mjumbe wa mkutano mkuu CDM aliweza kumuokoa mwananchi kwenye kundi la askari 30. Angalia clip hapa:-
Chuma hiki hapa;-
Mjumbe wa Kamati Kuu Mhe. Godbless Lema na Mwenyekiti wa Kanda ya Unguja Mhe. Hashim Juma wakiwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini inayomkabili Mhe. Tundu Lissu ambapo leo itaanza kusikilozwa.
Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Godbless Lema ameandika kupitia mtandao wa X (zamani Twitter) amewataka Jambo na Millard Ayo wasiwe na hofu ya kutoa ushahidi wa kweli endapo Jamhuri itawahitaji, akisisitiza kuwa ukweli ndio kinga ya kwanza ya haki na kesi zinazohusu dhamiri ya taifa haziwezi...
Siku za hivi karibuni mbunge wa zamani wa jimbo la Arusha mjini bwana Godbless Lema amejipa utukufu wa kutabiria watu kufa na wanapokufa anajitokeza hadharani kushangilia!
Hii dhambi itamuhusu kama na yeye atakufa, ila kama ataishi milele hatakufa basi dhambi hii haitamuhusu.
Godbless Lema...
Waziri Husein Bashe. Serikali imenunua ndege kwa ajili ya kunyunyizia viuatilifu mashambani kwa gharama ya shilingi bilioni 6. Hii ni sawa na zaidi ya USD 2.3 milioni bei ambayo ni mara tatu hadi nne ya bei halisi ya ndege hizo sokoni.
Kwa mfano, ndege maarufu kama Air Tractor au Thrush...
Kumekuwa na poster ambayo inazagaa kwenye mitandao ya kijamii ususani wa facebook akimutuhumu Godless Lema kwa kutumia fedha za TONETONE kwa manufaa Binafsi Jambo ambalo Boniphace Jacob ameona sio zuri.
WARAKA WA GODBLESS LEMA KWA MBOWE!Mhe. Godbless Lema amemuandikia waraka Mhe. Freeman Mbowe. Kwa kuwa waraka huo umebeba maudhui yenye maslahi mapana, sisi tunauweka hapa kusudi kupanua wigo wa fikra.Je, nini kimekushangaza?
Je, nini maoni yako?Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!Askofu Emmaus...
Huyu jamaa anakuwaga kama na kautabiri flan, mimi nayoikumbuka ni ile alowahi kusema bungeni kuwaambia wabunhe wa chama tawala kuwa "SIMNAFURAHIA WAPINZANI TUNAVYOFANYIWA NA SERIKALI, WAKIMALIZA KWA UPINZANI WATAHAMIA KWENU"
Nikirejea hayo maneno yake naona kama ndo kinachotokea sasa kwa Baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.