ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,336
- 89,738
My Take
Tutaelewana tuu, tena Bora CCM huko CHADEMA kumejaa watu ambao wanawaona kina Heche na Lisu ni miungu watu ambao Kila wanachoambiwa wao ni ndio Mzee
Ni hivi zile zama za zidumi fikra sahihi za Mwalimu ndio ziko huko CHADEMA Kwa sasa, na Bado watakuwa na kutumikishwa sana huko.
Wazee wamesema ufisadi wa tonetone na michango ya wadau unatisha huko Chadomo 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/Dasv6bADXkd/?igsh=MXF3bzkwcThtNHJucg==

