gharama kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jamaikatz

    Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?

    Mkoa gani unaongoza kwa gharama kubwa za maisha?
  2. M

    Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

    Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini. Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii. Na yaona ya muasisi wa chadema. Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi...
  3. M

    Trump: "Iran msiache kuandamana, msaada utafika hivi karibuni, Hifadhini majina ya wauaji watalipa gharama kubwa, "

    Ameandika hivyo Rais wa Marekani Donald Trump kwenye mtandao wake wa Truth
  4. Robert Heriel Mtibeli

    Ni kosa kujipa matumaini hewa. Kuna mambo yanahitaji gharama kubwa

    Hamjambo wote! 1. Matumaini hewa ni kujidanganya 2. Kukwepa wajibu! 3. Kuukimbia ukweli. 4. Ukweli ni kuwa kuna mambo yanahitaji gharama kubwa ikiwezekana kulipia gharama ya uhai ikibidi ili kuyapata. 5. Maisha ni muhimu sana. Uhai ni zawadi ya mara mara moja. Lakini siku zote ukiogopa kufa...
  5. Heritage123

    Jinsi nilivyogundua machimbo yaliyofichwa Kariakoo na kuanza biashara yangu bila kuwa na stoki, duka wala gharama

    “Kariakoo sio soko. Ni vita ya akili. Wachache wanaotoka na faida ni wale wanaojua wapi pa kuchimba.” — Sehemu ya maneno niliyosikia kwa fundi mmoja nikiwa nimepotea Kariakoo mwaka 2019. KILICHONIKUTA SIKU YA KWANZA KARIAKOO Mwaka 2019 nilikuwa na wazo tu la biashara — kuuza viatu mtandaoni...
  6. Roving Journalist

    Doreen Kissia: Serikali ituletee umeme katika Mgodi wa Ikombo Hill - Kijiji cha Matonya (Mpwapwa) ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji

    Mmiliki wa mgodi wa Ikombo Hill uliopo katika Kijiji cha Matonya, Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Bi. Doreen Kissia, ameibuka kuwa mfano wa kuigwa katika sekta ya uchimbaji wa madini ya shaba, akiwa mwanamke pekee anayeongoza mgodi unaotoa ajira kwa zaidi ya asilimia 98 ya wakazi wa vijiji vya...
  7. W

    Kuna muda ubahili una gharama kubwa sana, ni kitu gani umewahi kujibana kikakugharimu zaidi ?

    Kuna muda huwa tunabana pesa aidha kwa kununua bidhaa zilizotumika, bidhaa zenye ubora mdogo, kununua kitu cha dili, kujaribu kutumia bidhaa mbadala, n.k.lakini consequences zinatugharimu sana. Nilikuwa na laptop yangu, upande wa hard disk umelegea, matengenezo ni elf 15, nikajifanya mjuaji...
  8. Imani rubaba

    Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  9. M

    Jinsi yakufuga nguruwe bila kudumaa na kupata uzito 117 kg kwa miezi 6 bila gharama kubwa

    Je Nguruwe wako wamedumaa? wamekonda? wamedhohofika?, vifo vya mara kwa mara? wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara? umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe . Pole sana na karibu Mfugo plus group...
  10. R

    Vilio vingi ni matokeo ya kuweka bajeti kubwa kwenye vifaa bila kuzingatia mafundi wenye CV na Uzoefu, Maiko atajenga hata kwa robo bei ila ujipange

    Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
  11. Kudasai

    Hivi kwanini Shipping ya mizigo kutoka 🇯🇵 kuja Tz ni gharama kubwa?

    Wasalaam! Kwa kweli hili jambo limekuwa linanipa shida sana tena kwa muda mrefu! Ni kwanini kusafirisha mizigo kutoka Japan kuja Tz ni gharama kubwa? Mfano: Mzigo usiozidi 2kg utasafirisha kwa $30 by Sea freight, $230 by UPS na $295 by DHL! Why is it so expensive? Tena kwa njia ya Sea freight...
  12. U

    Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

    Wadau hamjamboni nyote? Lebanon imechoshwa na vita vya nchi nyingine Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 23, 2025 Lebanese president tells Iranian parliament speaker: Country is ‘tired of others’ wars’ Lebanese President Joseph Aoun tells Iranian Parliament Speaker Mohammad...
  13. Saad30

    Uaminifu na Heshima

    Habari wakuu. Katika haya Maisha vitu vyenye thamani kubwa ni UWAMINIFU na HESHIMA. Kama wewe ni bosi na una mtu huyo katika ofisi yako au usimamizi wa miradi yako basi mzingatie sana huyo mtu.
  14. youngkato

    Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  15. A

    KERO Gharama kubwa za kufanya maombi ya kazi kwa baadhi ya Taasisi za Serikali

    Kama kichwa cha habari hapo juu. Baadhi ya taasisi za serikali kama TAA, TANROADS nk zimekuwa zikitoa mahanadi za kazi na kuwataka waombaji waombe kwa mfumo wa Posta tu, lakini pia hutakiwa kucertify vyeti. Gharama ni kama zifuatazo; 1. Photocopy ni zaidi ya elfu 2 mpaka 3 2. Kucertify vyeti...
  16. Dalton elijah

    Bunge Uganda Lahoji Gharama kubwa ya Kununua Mbuzi

    Bunge limehoji kuhusu Sh7.4M ( dola 2000 ) & Shs400,000 ( dola 109) zilizotumiwa na Wizara ya Kilimo katika ununuzi wa kila mbuzi wa kigeni na wa kienyeji mtawalia, Mbuzi 409 kati ya 850 waliosambazwa kwa wakulima walikufa ndani ya wiki ya kwanza . Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati ya...
  17. Nyani Ngabu

    Iran yarusha Makombora takriban 200 kuelekea Israel, Rais Biden aagiza Jeshi la Marekani kuyazuia

    Oct 1 (Reuters) - The Israeli military said on Tuesday that missiles had been launched from Iran towards Israel, and that Israel's home front command had provided life-saving guidelines to people in various parts of the country. Televisheni ya taifa ya Iran imeangazia taarifa kutoka kwa...
  18. U

    Mteja tusiyemfahamu kasahau chaji yake ya gharama sana hapa kijiweni. Bado tunamtafakari

    Wadau hamjamboni nyote? Tuko Kijiweni muda huu hapa maskani Kuna chaji ya simu ipo hapa mezani Ina rangi nyeupe tena ya gharama kubwa imeachwa na mteja mmoja aliyekuja mapema leo asubuhi Hatujui kaisahau kwa bahati mbaya au la na pia hakuna amjuaye mtu huyu anatokea wapi Waliomuona asubuhi...
  19. Bosspraise

    Modern contemporary house plan design

    Modern contemporary house plan Do you need other samples ? Check me on +255742892195 call text whatsapp WE design and build your dream home
  20. mtwa mkulu

    Bongo Fm ya TBC mnaogopa nini kumtaja aliyeleta VAR ya Gharama kubwa sana?

    Hawa vijana wa Bongo Fm sijajua ama Kwa kusahau ama Kwa kuona si muhimu wamerusha taarifa hii Kwa kuweka kipande tuu Cha maneno ya Mh waziri Mkuu. Najiuliza sana kipi kinawatisha kumtaja aliyetoa VAR?
Back
Top Bottom