gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Mwanza: Tamasha la siku mbili la utamaduni wa Mtanzania limeanza leo katika viwanja vya msalaba mwekundu

    Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) kwa kushirikiana na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza wameandaa tamasha kubwa la utamaduni lenye lengo la kurithisha utamaduni wetu kwa vizazi vyetu vya sasa litakalofanyika katika viwanja vya Redcross Kisesa Jijini Mwanza kuanzia leo Jumanne Septemba 07...
  2. Analogia Malenga

    Serikali yalipa bilioni 212 kwa ajili ya ndege 5

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
  3. B

    Gerson Msigwa aipongeza MSD kwa kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, ameipongeza Bohari ya Dawa (MSD) kwa jitahada zake za kuanzisha viwanda vya dawa na vifaa tiba kwani vitaipunguzia serikali gharama ya kuagiza dawa nje ya nchi. Msigwa ametoa pongezi hizo hii leo, wakati...
  4. Stephano Mgendanyi

    Aliyoyazungumza msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa wakati akizungumza na wanahabari leo jumamosi septemba 04, 2021

    ALIYOYAZUNGUMZA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI NDUGU GERSON MSIGWA WAKATI AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI LEO JUMAMOSI SEPTEMBA 04, 2021. 1. BEI YA MAFUTA. Palitokea taarifa mbili, EWURA walitoa taarifa ya kupanda kwa bei ya mafuta na baadae kusitisha bei hizo. Ufafanuzi wa Serikali ni kwamba baada ya bei...
  5. B

    Maeneo aliyoyatolea ufafanuzi Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

    Mapema leo Jumamosi Agosti 28, 2021 Msemaji wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa- amezungumza na Waandishi wa habarih katika Ofisi za Habari-Maelezo Jijini Dodoma. Haya ndiyo aliyoyazungumza Ndugu Msigwa wakati akitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya Serikali. Haya ni sehemu ya maeneo...
  6. mshale21

    Gerson Msigwa: Iko nchi Ulaya GB1 unanunua kwa Dola 15

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15" ------- Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa...
  7. Nyankurungu2020

    Gerson Msigwa amelewa madaraka, anadhani kila mwananchi ana kipato kama chake

    "Kumekuwa na malalamiko ya vifurushi vimepanda, lakini niwaambie sisi ni kati ya nchi 5 Afrika zenye gharama za chini za bando, ziko baadhi ya nchi za Ulaya ambazo gharama zake ni kubwa, ninafahamu iko nchi ambayo unanunua GB 1 kwa Dola 15"- @MsigwaGerson #MsemajiWaSerikaliPress...
  8. The Sheriff

    Gerson Msigwa, mwanahabari nguli, anaswa na mtego wa habari potoshi

    Nimeshangazwa sana na Ndg. Gerson Msigwa kunaswa na mtego huu. Sina hakika kama kafanya hivi makusudi akiwa anajua uhalisia, ama anajua huu ndiyo uhalisia. Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Sasa Msemaji Mkuu wa Serikali ameshindwa kuona kwamba hii video imetengenezwa tu kwa...
  9. B

    Kiwanda cha kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku? Hizi 'exaggerations' zitatuua

    Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana? Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
  10. K

    Gerson Msigwa, mashaka yangu ni kuwa dola laki moja ni sawa na Shilingi trilion 2.3

    Akizungumza na wanahabari amesema serikali imesaini na kutoa lesi mbili, moja huko Songwe na nyingine Mwanza. Hizi ni leseni za uchimbaji wa madini. Najiuliza kwanini migodi hii miwili iliyokatika maeneo tofauti gharama au thamani zake zifanane ambazo anadai ni trilioni 2.3 au dola laki moja...
  11. M

    Serikali ya Rais Samia yagoma kuondoa tozo za miamala ya simu

    Katika muendelezo uleule wa kudanganyadanganya wananchi serikali ya Samia imeanza kupiga chenga juu ya kupunguza tozo kubwa sana za miamala ya fedha. Baada ya kelele kubwa na kukasirishwa kwa wananchi juu ya tozo kubwa za miamala ya fedha, serikali ya Samia ilijifanya kupoza kelele hizo kwa...
  12. Analogia Malenga

    Gerson Msigwa: Chanjo za COVID-19 kuanza kutolewa kuanzia Agosti 2, 2021

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Zoezi la chanjo litaanza kutolewa kesho kuna vituo kama 550 vilivyoandaliwa, chanjo hazijaleta madhara kwa waliotumia kama tulivyokuwa tunasikia. Chanjo zitaendelea kuletwa baada ya zile dozi milioni 1 kuna nyingine zitaendelea kuletwa Vilevile Msigwa...
  13. beijing_07

    Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  14. Shujaa Mwendazake

    Clouds 360: Mahojiano na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, akifafanua mambo mbalimbali

    "Hayati Magufuli alikuwa anafanya kazi sana. Alikuwa analala akiwa na usingizi tu kama hana basi alikuwa halali. Na asipolala hata sisi hatuwezi kulala". "Rais Samia anafanya kazi sana. Ukiona anapanda ndege anashuka unaweza ukahisi ni maisha mazuri lakini hapumziki. Tuna bahati ya kuwa na...
  15. chiembe

    Hassan Abass na Gerson Msigwa wameshindwa kufafanua maamuzi ya Serikali kuhusu tozo. Je, Serikali iendelee kuwaamini?

    Ilitarajiwa Wizara ya habari kupitia taasisi zake na wasemaji wake wahakikishe ujumbe wa serikali unafika na unaeleweka kwa Watanzania. Mtihani mkubwa kwa wizara hii ni kuelezea bajeti ya nchi kwa lugha rahisi ieleweke, sio bajeti tu, bali maamuzi mbalimbali ya serikali. Lakini kitu nilichoona...
  16. GENTAMYCINE

    Jaffar Haniu na Gerson Msigwa, kubalianeni nani wa kutoa Habari za Rais. Mnatuchosha na kutuboa tu

    Yaani ukifungua Ukurusa wa Haniu unaikuta Habari hiyo hiyo ambayo Msigwa nae ameiweka kitu ambacho nadhani kungekuwa na Utaratibu mzuri tu wa Kiutendaji basi Jukumu hilo angekuwa analifanya Mtu Mmoja pekee. Nadhani (Ushauri wangu Binafsi) hiki Cheo cha Ukurugenzi wa Ikulu kingeongezewa pia na...
  17. Zero IQ

    Je, Gerson Msigwa na Peter Msigwa ni ndugu?

    Ndugu zanguni naombwa nifahamishwe je Gerson Msigwa aliyewahi kuwa mbunge wa Iringa 2010--2020 na Ndugu Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali, msemaji wa rais kwa Sasa ni Ndugu? Kama ni Ndugu, Je ni ndugu wa namna gani? Ni ndugu kwa maana wa damu(baba moja mama moja) Ni ndugu kwa maana mtoto...
  18. B

    Gerson Msigwa tumia taaluma yako kukwepa kuonekana unafanya kazi za Jaffar Haniu

    Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais( Ikulu) ni nafasi mbili tofauti zenye majukumu tofauti. Lakini kwa uteuzi wa Gerson Msigwa na Jaffari Haniu itakuwa vigumu sana kutenganisha majukumu haya na kuleta picha kwamba Gerson anamfunika Jaffari au anaingilia kazi zake. Kwanini...
  19. Erick Kalemela

    UTEUZI: Jaffar Haniu ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais (Ikulu); amrithi Gerson Msigwa

    Amteua Bw. Jaffar M. Haniu kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano ya Raisi (Ikulu)
  20. Geza Ulole

    Kwanini account ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko "verified"?

    Hivi kati ya Account ya Msemaji Mkuu wa Serikali na ile ya binafsi ya Gerson Msigwa ipi ni ya muhimu zaidi? Mbona ya Msemaji Mkuu wa Serikali haiko verified lakini ya binafsi ipo? Ni makusudi au?
Back
Top Bottom