gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tengeneza Njia

    Gerson Msigwa na Precision Air

    Msemaji wa Serikali - Kama cheo kinavyoonyesha uzito wake. Bora leo usingeisemea tu hii serikali ukalala au ukaenda zako Barra Beach kula prawns. Umeshindwa kujisikiliza mwenyewe kwanza chumbani kwenye kioo na kufanyia majaribio hiki ulichokisema kwa wananchi juu ya ajali kubwa kama hii na...
  2. mr mkiki

    Gerson Msigwa, helicopter zingesaidia hata evacuation na rescue, au helicopter zinaweza kupeperushia bendera ya Sensa tu

    We need mabadiliko makubwa sana yan hata tunayodhani tunahitaji basi tunahitaji zaidi haya . Nimejaribu kutafakari press ya Msigwa nimengundua tuna safari ndefu sana na hawa viongozi, Kuna haja gani ya maelezo? kama haya ndio maelezo ya Ikulu basi ni bora wangekaa kimya kungekuwa bora zaidi...
  3. Roving Journalist

    Msigwa: Taasisi zote zinatakiwa kutoa taarifa kwa wananchi na kutoa ufafanuzi mbalimbali kwenye vyombo vya habari

    Na Grace Semfuko, MAELEZO Msemaji Mkuu wa Serikali na Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO Bw. Gerson Msigwa amewataka Viongozi wa Taasisi za Serikali Nchini, kutoa taarifa za mafanikio ya utendaji kazi wa taasisi hizo kwa Vyombo vya Habari, ili kuwaonesha Wananchi maendeleo yanayofanywa na...
  4. S

    Gerson Msigwa anavyotetea tozo ya serikali

    Hizi ni tweets zake kuhusiana na tozo zinazolalamkiwa:
  5. kevylameck

    Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  6. kevylameck

    AUGUST ni Mwezi wa SENSA! Mwezi wa kutambulika

    Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu. Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sensa nyingine kulingana na...
  7. The Palm Beach

    Sakata la nyongeza ya 23.3% ya mishahara ya watumishi wa umma: TUCTA na serikali wanajadiliana nini katika hatua hii?

    Msemaji wa serikali ndg Gerson Msigwa akitoa mrejesho wa kinachoitwa kikao cha serikali na TUCTA leo tarehe 26/7/2022 Lugha gongana. Msemaji wa serikali anasema hivi, TUCTA wanasema vile. Ni kama kuna kurushiana mpira. Gerson Msigwa anaongea kana kwamba TUCTA ndiyo mwajiri na mlipa mshahara...
  8. M

    SoC02 Bei ndogo shina moja la Mahindi hulipwa Tsh 60/= mifugo inapokula mazao fidia inayowatesa wakulima

    Ripoti ya wizara ya mifugo kwa mwaka 2019 inaonesha kwamba sekta ya mifugo inachangia 6.9% ya pato la taifa,na kwa upande wa taarifa ya wizara ya Kilimo ya mwaka 2020 inaonesha kwamba sekta ya Kilimo inatoa robo tatu ya mauzo ya nje ya bidhaa,inachangia 95% ya mahitaji ya chakula nchini,26.8% ya...
  9. kyagata

    Gerson Msigwa punguza utoto

    Mara anajipost anasonga ugali, Mara sijui yuko anapiga masarakasi, mara anapiga mamisamba. Naona anachokifanya compared na cheo chake ni utoto mtupu. Halafu naona kama toka atumbuliwe pale ikulu hajakaa sawa kisaikolojia.
  10. J

    Wamasai wapiga simu kwa fujo kwenye press ya Gerson Msigwa na kuzungumzia Loliondo

    Nilikuwa nasikiliza press ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ambapo kati ya mambo mengi akizungumzia suala la Lolindo na kusema kauli ya Waziri Mkuu ilikuwa sahihi. Sasa baada ya taarifa aliruhusu simu kutoka kwa waandishi na wananchi ambao wengi walikuwa ni Wamasai. Wamasai hao...
  11. Jicho la Tai

    Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  12. B

    Awamu ya 6 inavyochanga vyema karata kukabiliana na tatizo la ajira nchini kwa kutengeneza ajira milioni 8

    AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8. Na Bwanku M Bwanku. Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua namna Serikali ya Rais Samia inavyokabiliana na tatizo la ajira nchini. Changamoto...
  13. B

    Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  14. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  15. M

    Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  16. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  17. Pascal Mayalla

    Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!

    Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal...
  18. B

    Rais Samia kuongoza uzinduzi wa filamu ya Royal Tour

    🔥NI LEO, KUANZIA SAA 7 USIKU HUU, FILAMU YA ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI, KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Historia inaandikwa rasmi kuanzia Saa 7 usiku wa leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kwenye Anga za Kimataifa ambapo Royal Tour, Filamu Maalum ya...
  19. B

    Royal Tour kuzinduliwa rasmi 18 Aprili 2022 New York

    KESHO NDIO KESHO, ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI. Na Bwanku M Bwanku. Kesho ndio Kesho, Jumatatu Aprili 18, 2022 Dunia nzima itasimama wakati Filamu Maalum ya kutangaza Utalii wetu wa Tanzania ikizinduliwa pale New York, USA. Mhe. Rais Samia ni Mhusika Mkuu (Tour Guider)...
  20. B

    TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
Back
Top Bottom