gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jicho la Tai

    JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus na Matangazo mabovu kutoka Ikulu Mawasiliano

    Nimekuwa mara kadhaa nikifutilia ukurasa wa Matangazo ya live (Youtube) ya Ikulu Mawasiliano. Tangu kipindi cha Msigwa na hata sasa kipindi cha Zuhura Yunus. Leo nimeona tatizo linaendelea sasa naomba nikiri wazi kuna mambo yanakwenda ovyo sana kwenye urushaji wa matangazo Youtube live kipindi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 inavyochanga vyema karata kukabiliana na tatizo la ajira nchini kwa kutengeneza ajira milioni 8

    AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8. Na Bwanku M Bwanku. Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua namna Serikali ya Rais Samia inavyokabiliana na tatizo la ajira nchini. Changamoto...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Gerson Msigwa yupo sawa? Baba wa Rihanna akistaafu atakuja kuishi Zanzibar itasaidia nini Watanzania?

    Msikilize hapa huyu Mkuu wa kitengo cha Maelezo. Anajitambua kweli? 👇
  6. B

    JamiiForums Tanzania Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Gerson Msigwa, New York alipaswa akifanye Siku Zote Ikulu. Zuhura Yunus Asiwe Bubu!

    Wanabodi, leo nilikuwa naangalia TBC Ardhio. Nikashuhudia Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akirudia kazi yake ya zamani ya utangazaji wa TV Reporting akiripotia TBC live mubashara moja kwa moja kutokea jijini New York, nchini Marekani kutuarifu maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya Royal...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuongoza uzinduzi wa filamu ya Royal Tour

    🔥NI LEO, KUANZIA SAA 7 USIKU HUU, FILAMU YA ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI, KUWAFIKIA WATU BILIONI 1 DUNIANI KOTE. Na Bwanku M Bwanku. Historia inaandikwa rasmi kuanzia Saa 7 usiku wa leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kwenye Anga za Kimataifa ambapo Royal Tour, Filamu Maalum ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Royal Tour kuzinduliwa rasmi 18 Aprili 2022 New York

    KESHO NDIO KESHO, ROYAL TOUR KUZINDULIWA RASMI NEW YORK- MAREKANI. Na Bwanku M Bwanku. Kesho ndio Kesho, Jumatatu Aprili 18, 2022 Dunia nzima itasimama wakati Filamu Maalum ya kutangaza Utalii wetu wa Tanzania ikizinduliwa pale New York, USA. Mhe. Rais Samia ni Mhusika Mkuu (Tour Guider)...
  10. B

    JamiiForums Tanzania TPA na kampuni ya Dangote waingia makubaliano ya kibiashara kupitia bandari ya Mtwara

    Mamlaka ya usimamizi wa bandari Tanzania (TPA) Leo Jumatano Machi 16, 2022 imeingia makubaliano ya kibiashara na kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mkoani Mtwara yenye lengo la kurahisisha usafirishaji wa Saruji kwa kutumia bandari ya Mtwara. Makubaliano hayo Yanawezesha kampuni ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere: Tunaenda kuondoa tatizo la mgao wa umeme na kukatika mara kwa mara

    Na Bwanku M Bwanku. Moja ya mradi mkubwa wa kimkakati unaotekelezwa na Taifa letu kwasasa ni Mradi wa kufua umeme kwa kutumia nguvu ya maji maarufu kama Mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwenye Mto Rufiji mkoani Pwani. Mradi huu mkubwa kabisa wa kufua umeme kwa maji utazalisha...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wamenikwaza sana! Rais Samia na Mamlaka zake zisikubali huo mtego

    Jana Jumatano Machi 02, 2022 Viongozi wetu wa Dini walikutana na Rais Samia Suluhu Hassan na kufanya nae mazungumzo mbalimbali pale Ikulu. Katika hali iliyonishangaza Mimi na nadhani hata kwa Watanzania wengine wengi ni hatua ya Viongozi wa Dini kuomba Rais Samia na Mamlaka zake zitumie busara...
  13. B

    JamiiForums Tanzania SHAKA: Rais Samia hatazuiwa kuingia mawindoni kutafuta maendeleo ya Watanzania

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka ametolea ufafanuzi kuhusu ziara za Rais Samia Suluhu Hassan kwenye Mataifa mbalimbali ambazo zimeendelea kulifungua Taifa zaidi Kiuchumi, Uwekezaji na Biashara.
  14. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Exposure katika kazi ni muhimu. Je, Watanzania wana wivu, chuki na ushamba?

    Niliwahi kuandika uzi kuhusu uelewa wa watanzania wengi upo chini ya kiwango kinachotakiwa kimataifa, na uzi wenyewe ni huu Uelewa wa mambo kwa Watanzania ni mdogo sana, Ujinga na upumbavu unaongezeka kila mwaka Mjadala wa kujadili mtu badala ya uwezo wake binafsi ni matokeo ya watu waliokosa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Gerson Msigwa, iheshimishe ofisi uliyopewa...tumia mitandao Kwa maslahi mapana ya utumishi

    Nadhani Gerson Msigwa anaomba mama afuatilie kuona kama anafaa au amteme. Mambo anayopost Msigwa siyo mambo yakupamba kurasa za watu wa kariba yake. Ukurasa wake wa mtandao wa kijamii unasave purpose yake binafsi na Serikali pia. Account yake inategemewa kuendelea kuitangaza Nchi, kumbuka...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Ufafanuzi juu ya pesa za serikali zilizotumika kujenga barabara ya Morroco- Mwenge

    UFAFANUZI. Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada wa Japan zimetumika kujenga barabara za njia 4 zilizozinduliwa na Mhe. Rais Samia.
  17. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia muwajibishe Gerson Msigwa na Mramba, wameongopa kuhusu ongezeko la uzalishaji umeme

    Rais Samia sikupangii ila inapaswa kumuwajibisha Msemaji mkuu wa serikali na Felchesim Mramba ambae sasa ni kamishna wa umeme na nishati Tanesco. Kwanini uwawajibishe Tarehe 10 mwezi huu wa 11, wiki moja iliyopita kulikuwa na mkutano wa waandishi wa habari na mawaziri na watendaji mbalimbali wa...
  18. Kinuju

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hayati Rais Magufuli asipolala, hamlali

    Msemaji Mkuu wa Serikali bwana Gerson Msigwa amefichua siri kuwa Hayati Rais Magufuli alikuwa analala anapokuwa na usingizi tu na ikitokea hana usingizi usiku mzima basi na wasaidizi wake wote hamtalala usiku huo. Gerson Msigwa alikuwa Msemaji wa Ikulu kwenye Serikali ya awamu ya tano.
  19. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  20. Suphian Juma

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa aniombe radhi hadharani kupitia chombo cha habari alichonichafulia jina na Utu wangu

    RAIS WANGU SAMIA, MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, GERSON MSIGWA ANIOMBE RADHI HADHARANI. Mheshimiwa Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wangu wa Chama cha Mapinduzi, Awali ya yote naomba nikupe Pole na hongera kwa majukumu mazito unayoendelea kutufanyia kwa weledi na mafanikio makubwa sisi wananchi wako...
Back
Top Bottom